USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

Kwa mtu mwenye akili timamu, rijali, aliyepitia malezi bora ya wazazi wote wawili hawezi kuacha mke aliyeishi nae miaka 15 na kuzaa nae watoto wanne kisa alimficha kua alizaa kabla, hilo ni kosa dogo sana na linazungumzika.....

Na kama mtu hayupo tayari kuzungumza ya nyuma kwanini alazimishwe??? Kila binaadam ana siri yake na maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa, huwezi jua hilo tukio lilimuumiza vipi akaamua kulifukia na kuanza upya.
We mwanamke wa ajabu sana
 
Wanawake wabinafsi sana yaan mimi mmeo sista hili kumjua mke wangu really.
Sidhani kama imefikia ubinafsi wenu kwenye hii post

Nitafurahi sana.
Screenshot_20231009-212323_1.jpg
 
Sababu lazima anayo, hayo ni mambo yanayoongeleka na sio kuvunja ndoa, angemfumania hapo sawa ila sio hilo ni dogo sana kikubwa ni kumpa nafasi atoe sababu zake.
Dogo kwako,kuishi na binadamu aliyemficha mtoto kwa miaka 15 yataka moyo sana,ni mangapi amekuficha kwa mwendo huo??

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu mwenye akili timamu, rijali, aliyepitia malezi bora ya wazazi wote wawili hawezi kuacha mke aliyeishi nae miaka 15 na kuzaa nae watoto wanne kisa alimficha kua alizaa kabla, hilo ni kosa dogo sana na linazungumzika.....

Na kama mtu hayupo tayari kuzungumza ya nyuma kwanini alazimishwe??? Kila binaadam ana siri yake na maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa, huwezi jua hilo tukio lilimuumiza vipi akaamua kulifukia na kuanza upya.
Au na ww umemficha mumeo maana unalazimisha lionekane ni kosa dogo,hilo kosa kwa mwanaume yoyote mwenye akili timamu halina msamaha,linazua maswali mengi,hoja siyo mtoto ila ni udanganyifu kwa miaka yote tena ww na familia yako,yaan mpaka wazazi wako na ndugu zako wengine nawaona si wema kwangu,siwez kuishi na familia ya hivyo mimi!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini nisimuamini?
Jamani kila Mtu ana siri yake kama ameamua kuitunza as long as haikuwahi kuniletea madhara yoyote si basiiiii,

Tena haya mambo ya Mwanamke kuondoka mahali na kuacha mtoto kisha akaja kuolewa sehemu nyingine na kuzaa, mara nyingi huwasahau wale watoto wa mwanzo na kufocus na family mpya, hadi mtoto aje amtafute na hii sio kwa Mwanamke tu hata kwa Wanaume hutokea,

Mimi naona mnakuza vitu ambavyo kimsingi havina mashiko.
Binadamu unayeweza kusahau mtoto uliyemzaa mwenyewe kwq uchungu,vipi mm tuliyekutana ukubwani??

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Au na ww umemficha mumeo maana unalazimisha lionekane ni kosa dogo,hilo kosa kwa mwanaume yoyote mwenye akili timamu halina msamaha,linazua maswali mengi,hoja siyo mtoto ila ni udanganyifu kwa miaka yote tena ww na familia yako,yaan mpaka wazazi wako na ndugu zako wengine nawaona si wema kwangu,siwez kuishi na familia ya hivyo mimi!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app

Huyu mbona mlimshauri tofauti??
 
Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?

Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Sio kutaftiana sababu ila kichwa kinaweza sizii sababu ya mawazo,,,,kama jambo kubwa hivo mtu alikuficha unawaza ni mambo mangapi sijui kuhusu yeye????
 
Zamani ndoa kidole...unaambiwa kaoe paleee na unatiii
 
Back
Top Bottom