Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiingilie ugomvi usiokuhusu,ww huyo ni mamaako,ila kwa babaako mi just mwanamke( angekuwa kijana kumwita demu/mpenzi etc)mamaako huo kwake ni wivu wa mapenzi ambao hata ww kama unampenzi unao,cha muhimu kama kijana wa kiume wa kiafrika mkumbushe mzee acheze salama kama ni kweli ila atunze heshima yke na ya familia kama hawezi basi aachane naye au atafute mwingine wa mbaliWakuu salaam,
Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa.
SawaUsiingilie ugomvi usiokuhusu,ww huyo ni mamaako,ila kwa babaako mi just mwanamke( angekuwa kijana kumwita demu/mpenzi etc)mamaako huo kwake ni wivu wa mapenzi ambao hata ww kama unampenzi unao,cha muhimu kama kijana wa kiume wa kiafrika mkumbushe mzee acheze salama kama ni kweli ila atunze heshima yke na ya familia kama hawezi basi aachane naye au atafute mwingine wa mbali,la mwambie unajua mama anajua issue hivi na hivi keahiyo zinamuumiza jitahidi kufanyia mbali au kutokumuonesha waziwazi, otherwise mamaako ana play victim game kama walivo wanawake wengi kuwashirikisha watoto matatizo ya ndani ili aonewe huruma,ila suala la michepuko kwa wanaume wa kiafrika ni kawaida usiingilie ugomvi wa wapenzi hata kama ni wazazi wako!
Huo mziki siyo level yako kijana! Achana nao kabisa usijepata laana!Wakuu salaam,
Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa.
Mara ya mwisho mama kajaribu kumweleza mume wa huyo mchepuko kila kitu ila cha ajabu mzee yule kaamua kumtetea mkewe kuwa hana hizo tabia na hawezi kutoka kimapenzi na mzee wangu.
Upo ushahidi wakutosha kuwa mzee anatoka na huyo mama. Baada ya kuvumilia kwa miaka mingi mama ameamua anipigie simu kunishirikisha jambo hilo. Amenambia ameamua kunishirikisha mimi kwani ni kijana wake mkubwa na kwa hali ilivyo anaweza kupoteza maisha kwa pressure hivyo niangalie nini naweza kufanya.
Nimefikiria kumchukua bimkubwa niishi nae ila nahofia familia itajigawa. Ndugu wa mzee wameongea lakini mzee habadiliki kabisa, ndio kwaanza anachochea makaa kwenye treni. Nimefikiria kumvaa baba nimweleze kuhusu hilo tatizo nakwamba aache mara moja ila nahofia reaction yake. Wakuu; huu msala na utatua vipi ili ninusuru hii ndoa ya wazee wangu ambayo imedumu kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.
Mwisho: Ukihisi huwezi kuchangia naomba usome nakupita. Kama itakulazimu kuchangia kwa kutukana, naomba hayo matusi yaelekee kwangu ila sio kwa wazazi.
Wasalaam!
Huo ujasiri wa kumuuliza baba utumie kumuuliza mama anakwama wapi mpaka kazidiwa nahuyo mchepuko wa dingiWakuu salaam,

Huyo mchepuko anampa nini mzee wako hadi hajitambui?Asante mkuu.Hiki kikao Cha ukoo unashauri sisi Kama watoto au tuwaachie wazee? Kukufahamisha tu nikwamba ndugu waupande wa mzee wamefanya kila wanaloweza ndo ikabidi bimkubwa anishirikishe
Kuna uwezekano wanasaidiana kindugu!!! Chunguza vizuri.😀 😀 😀 😀ukijua sababu why baba mkubwa wako anamtetea mkewe na hasemi kitu utajua uanzie wapi kuna kitu hukijui .
Unaogopa nini kutaja umri halisi? Hakuna anayekujua humu!30-39
Asante mkuu. Pia mshauri kijana sepema kuwa kuna methali isemayo "hujafa hujaumbika". Yeye ni wa kiume na ameoa. Habari hii ya baba yake itakuja kutokea pia kwenye ndoa yake, mkewe atawaaminisha watoto kuwa sepema ana ubaya kadha wa kadha (si lazima iwe uzinzi, lakini linaweza kuwa jambo fulani tena la kweli), na watoto watalipokea na kumchukia baba yao.Kijana pambana na Hali yako acha kuingilia faragha ya Mzee wako utapata kulaniwa bure, mwambie mama yako apambane na ndoa yake, ninachokiona hapo Ni mama yako kutafuta huruma ya watoto na kutaka kumchoresha mme wake kwa watoto kuwa ana tabia mbaya, na lengo lake huyo mama yako ni kuweka mazingira ya ninyi watoto kumchukia Mzee wenu kuwa Ni mzinzi na anatesa mama yenu.
Kijana kuwa makini na wamama, mwache Mzee wako, Sasa Kama mwenye mke kasema mkewe hawezi fanya uzinzi kwanini ninyi mkazanie kuwa baba yenu anazini?
Kuwa makini na wanawake, fanya ufanyalo mwanamke akishaona kuwa watoto wake wamekuwa na wako njema kimaisha huanzisha Visa na kuweka madaraja Kati ya baba na watoto wake ili afaidi matunda ya watoto pekee yake.na wanawake wengine huenda mbali zaidi Hadi kuwaua waume zao.
Acha kabisa Mkuu kuingilia mambo yasokuhusu, yawezekana yeye huyo mama yako hampi haki ya ndoa mmewe Sasa unataka yeye Mzee aipate wapi hiyo haki Kama sio kwa wanawake.
Life is too short mwache mzee afurahie Maisha yake na nyinyi pambaneni na Maisha yenu