Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Endelea tu kuandika ugoro humu jf ,Lakini Mbowe awamu hii lazima amwagwe kamasi pale haiEbu wajaribu tu kuacha kutumia police kwenye huu uchaguzi kama watafanikiwa kupata jimbo hata moja watapata.
Alafu yule demu wa sabaya aliepigwa simu na wahuni pale kabesta idi kashaipata
Mtafutieni kazi nyingine Mbowe ,Ole Sabaya kashammwaga kamasi kule haiDah!! Sijajua uelewa wetu wa vitu hapa jamvini. Lakini katika hali halisi mtu ambae vyombo vyote vya ulinzi vina mtii , anaetoa amri ili kumfurahisha aliyemteua uje umshindanishe na Mh. Mbowe ambae ndani ya serikali hii anaishi kama mnyama pamoja na vijana wake ndani ya chama. Tabu na mateso vimekua sehemu ya maisha yao. Kisiasa Mh.Mbowe ni extra miles kwa Sabaya. Ila ndani ya maboksi ya kura bila ya tume huru au waangalizi wa kimataifa sio Sabaya tu..hata wewe uliyeandika hii thread unaweza kushinda if and only if utakua candidate kupitia CCM
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.
Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.
Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.
Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.
Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.

Ila ole Sabaya kajua kumnyoosha mbowe Hadi kawa mdogo hahahaa
Yaani Kwa kazi zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa awamu hii lazima pingapinga fc wakimbieSabaya sio level ya Mbowe fanyeni masihara tu. Nje ya maamlaka ya dola Sabaya is no body.
Hajatukanwa Bali anakumbushwa kurudia kazi ya udj mapema kule hai kuna Ole Sabaya atamtoa damu akileta utaniYaani siasa za Bongo bwana, unakuta huyu anayeamka anantukana mbowe hata chai ya 500 hajanywa, kwanini mnashindwa siasa za kistaarabu?
Hvi ulishawahi kujiuliza hvi vyama vya siasa visigekuwepo ungeishije? Kueni na heshima .
Mbowe alifanya mikutano akashushwa jukwaani kwa kupopolewa na wananchi ,sasa Ole Sabaya kumzuia ni kumwokoa asijeakauliwa na wananchi waliochoka ubwatukaji wakeHayo mapambio na matarumbeta mnayo piga hayaana ala za muziki zinazo weza kuchezeka, kwasababu kama kweli sabaya Anaweza kupambana na mbowe mbona miaka yote minne amekuwa akizuia mikatano ya mbowe jimboni ? Haitiwasaidia saana wengine jela znawasubiri Mara baadae ya utawala huu kufika mwisho wake , tusubiri tu hamtaamini
Yupo lockdown. Au ameshatoka?Mbowe hivi sasa yupo kama paka mfua vyungu kila aendako fimbo tu!
Mbowe kuacha ubunge yeye ni mfanyabiashara za kiuporaji. Atachokosa ni zile laki tanotano za wabunge wa kuchaguliwa na 1.5 million million za wabunge wanawake aka viti maalumu kila mwezi. Pia bado analipwa million 50 kila mwezi za riba alizokopesha chadema. Hafi njaa hata akikosa ubunge.Mtafutieni kazi nyingine Mbowe ,Ole Sabaya kashammwaga kamasi kule hai
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.
Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.
Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.
Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.
Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.
johnthebaptist huyu komred hana shida sana!Yaan huyu Bia yetu na wenzake wakina johnthebaptist inahitaji kuwapotezea kwa namna hiyo...
Kwa msaada wa polisi lkn si uwezo binafsiHeshima kwa ole sabaya, amezima siasa za kihuni za Mbowe
Mwanaume smart akamilishwi kwa kubebwa polisi Bali kwa nguvu binafsiKwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.
Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.
Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.
Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.
Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.
Yule sio mzawa wa hai labda apewe viti maalumuOle Sabaya atumie kanuni ya ulipotupo.Unamfata adui nyoka alipo unasaga kichwa.
Mbona anazuia mikutano ya mbowe Mara ale hela ya Jimbo.Hapo Nani anamuogopa mwenzakeKiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Kiki ilibuma!Yupo lockdown. Au ameshatoka?