Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huyo mwanamke ni hatari sana. ILA jamaa kajifunza atajilinda kufungua zipu ovyoAtafute namna ya kulea watoto wake aachane nahuyo shangingi atamuongezea mawazo tu, ili abaki na kesi moja tu ya kuweka sawa ndoa yake.
Alipafahamu vipi hapo anapoishi na Mke wake huyo binti?Dah! Jamaa kawa Kama vile kachanganyikiwa
Kumlaumu kwa Sasa sioni Kama Ni Jambo la busara Sana, tuangalie Kwanza kumnasua Kisha tutamlaumu.Sometimes mnalaumugi hawa wanawake tu hata kwa makosa ya chululuu zenu.... Men you gaa yo family already, Then instead of focusing on caring of your family and future unaanza kutangatanga tena nje. Okay no problem you decided to be a hoe basi tumia kinga au acha kumwagia mwagia ndani kama mpumbavu... So sad unakuta mtu kama huyu ndo tunaekewa awe viongozi fulani aongoze vichwa zaidi ya vitano wakati hata kichwa chake cha chululuu kimemshinda.
Muambie huyo jamaa hayo ndo matokeo ya kuendekeza hamu za kimwili.
Walipokua Kwny mahusiano alimwonesha anapoishi, na madam alijua fika jamaa anaishi mwnyw bila mke, lilivozuka suala la kung'ng'ana ahamie kwa Jamaa, ikabd jamaa afunguke wazi kua kaoa, na pale sio kwake, Bali kwake na mkewe alieko mkoani, hivyo hawawez kuishi nyumba iyo pamoja.Alipafahamu vipi hapo anapoishi na Mke wake huyo binti?
Daah mimi kwakweli nimeshindwa jamaa nimwambie nn ila kazingua big time sana.Walipokua Kwny mahusiano alimwonesha anapoishi, na madam alijua fika jamaa anaishi mwnyw bila mke, lilivozuka suala la kung'ng'ana ahamie kwa Jamaa, ikabd jamaa afunguke wazi kua kaoa, na pale sio kwake, Bali kwake na mkewe alieko mkoani, hivyo hawawez kuishi nyumba iyo pamoja.
😂😂ngoja nitulize akili na mm huenda nikapta cha kumshauriHuu Mkeka Nitausoma Asubuhi
Serikalini kuna nafasi ya Mkandarasi?Ni mkandarasi serikalini, mkewe Ni mtendaji. walijenga apa dar baadae jamaa kaja kuhamishiwa mkoani kikazi,ikabd mkewe nae kikazi ahamie uko uko mkoani wilaya alipo Mumewe. Hivyo nyumba Yao ya Hapa dar wakaipangisha
Stupid nikampoomp women of nowdays, ...ndio hawa ndugu yangu Natafuta Ajira hua anawasema ndio kausha damuMabinti wa kizazi hiki ni changamoto sana