Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Uliona wapi jogoo akatunza kifaranga, kazi ya kutunza vifaranga ni ya mtetea.
Kama hataki kuwa na mahusiano na huyo mchepuko, anatakiwa afanye maamuzi magumu; avunje mawasiliano.
Ila kama ndio anataka aendelee kuonja onja kwa huyo mchepuko, atasumbuliwa sana.​
 
Sometimes mnalaumugi hawa wanawake tu hata kwa makosa ya chululuu zenu.... Men you gaa yo family already, Then instead of focusing on caring of your family and future unaanza kutangatanga tena nje. Okay no problem you decided to be a hoe basi tumia kinga au acha kumwagia mwagia ndani kama mpumbavu... So sad unakuta mtu kama huyu ndo tunaekewa awe viongozi fulani aongoze vichwa zaidi ya vitano wakati hata kichwa chake cha chululuu kimemshinda.

Muambie huyo jamaa hayo ndo matokeo ya kuendekeza hamu za kimwili.
 
Kumlaumu kwa Sasa sioni Kama Ni Jambo la busara Sana, tuangalie Kwanza kumnasua Kisha tutamlaumu.
 
Alipafahamu vipi hapo anapoishi na Mke wake huyo binti?
Walipokua Kwny mahusiano alimwonesha anapoishi, na madam alijua fika jamaa anaishi mwnyw bila mke, lilivozuka suala la kung'ng'ana ahamie kwa Jamaa, ikabd jamaa afunguke wazi kua kaoa, na pale sio kwake, Bali kwake na mkewe alieko mkoani, hivyo hawawez kuishi nyumba iyo pamoja.
 
Daah mimi kwakweli nimeshindwa jamaa nimwambie nn ila kazingua big time sana.
 
Ni mkandarasi serikalini, mkewe Ni mtendaji. walijenga apa dar baadae jamaa kaja kuhamishiwa mkoani kikazi,ikabd mkewe nae kikazi ahamie uko uko mkoani wilaya alipo Mumewe. Hivyo nyumba Yao ya Hapa dar wakaipangisha
Serikalini kuna nafasi ya Mkandarasi?
 
Mshikaji ana mzazi/mlezi wa kike aliye hai na mwenye nguvu ya kumsaidia kulea watoto mpaka wafikie umri wa kuanza shule? Kama ndiyo, awaombe wamsaidie. Atoe taarifa kazini na ustawi wa jamii wasitishe makato, then aachane na huyo malaya.
 
Back
Top Bottom