Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Uliona wapi jogoo akatunza kifaranga, kazi ya kutunza vifaranga ni ya mtetea.
Kama hataki kuwa na mahusiano na huyo mchepuko, anatakiwa afanye maamuzi magumu; avunje mawasiliano.
Ila kama ndio anataka aendelee kuonja onja kwa huyo mchepuko, atasumbuliwa sana.