Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

Basi endelea nae,mpaka siku atakayo kushika tako ndio akili zitakukaa sawa.
Mada nyingine za kingese tuu, mtu anakufanyia yote hayo bado unamuita rafiki? bad enough unatuomba ushauri ufanye nini, SERIOUSLY?? Kama ni basha wako ndio anakuweka mjini Sema acha kuzunguka u idiot.

Hamna mkuu ni aina tu ya marafiki ambao tunakutana nao katika maisha ya kila siku
 
Nilitaka nikupe ushauri. Lakini kwakuwa umesema NI RAFIKI YAKO SANA acha aendelee kukunyoosha kwasababu hakuna RAFIKI achilia RAFIKI SANA anayeweza kuwa hivyo
 
Achana naye...! Simple and clear!
 
Sawa mkuu labda ww hujawahi Kutana na marafiki wa namna hii kwa hii dunia, yani huyu ni rafiki ambaye nikisema nimchane kuhusu hii tabia lazima igeuke vita balaa
Bara vita vinavyoeleweka kuliko vita vya chini chini vinavyokuumiza wewe. Usichokijua ni kwamba huyo jamaa anakupiga vita na wewe umetulia tu. Bora mpigane wote uone kitu gani kitatokea.
 
Una uhakika RAFIKI yako no mwanaume kweli🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…