Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Yep yep chapa huyuWewe ni jamii ya watu ambao mnaoigiza kama wahanga kwenye matatizo Mnayoyasababisha wenyewe .
Unastahili adhabu ya kifo kutoka kwa huyo jamaa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yep yep chapa huyuWewe ni jamii ya watu ambao mnaoigiza kama wahanga kwenye matatizo Mnayoyasababisha wenyewe .
Unastahili adhabu ya kifo kutoka kwa huyo jamaa .
siyo rafiki yako, rafiki kamwe hawezi kufanya unayoyaongeleaNisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi.
*Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa.
*Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke yeye anaanzisha nae mahusiano.
*Hapendi kunitafuta, ila akisikia kuwa nimepewa mchongo wa pesa na mtu, atahakikisha anamjua huyo mtu then ataanza kunigombanisha nae kwa kumwambia maneno mabaya kuhusu mimi.
_Ni rafiki yangu sana huyu msela na hayo matimbwili yake najitahidi sana kuyakwepa ila sasa nimeshindwa, nahitaji ushauri wenu wadau.🙏🙏
We jamaa ni mjinga kweliNikisema nimfuate direct nimwambie lazima tutakuwa maadui na mm sitaki tuwe maadui.
Watoto wa 2000 bwana
Rafiki anakutafutia watu wakupige. Wewe ndio utakuwa unamng'ang'ania na yeye hakutaki. Itakuwa mambo ya upindeMimi wa miaka ya 90's mkuu
Rafiki anakutafutia watu wakupige. Wewe ndio utakuwa unamng'ang'ania na yeye hakutaki. Itakuwa mambo ya upinde
Wewe ni kiazi hakuna rafiki hapo. We ni mpumbavu. JikataeNisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi.
*Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa.
*Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke yeye anaanzisha nae mahusiano.
*Hapendi kunitafuta, ila akisikia kuwa nimepewa mchongo wa pesa na mtu, atahakikisha anamjua huyo mtu then ataanza kunigombanisha nae kwa kumwambia maneno mabaya kuhusu mimi.
_Ni rafiki yangu sana huyu msela na hayo matimbwili yake najitahidi sana kuyakwepa ila sasa nimeshindwa, nahitaji ushauri wenu wadau.🙏🙏
Mbona kama wewe ndio una lazimisha urafiki na una mwogopa
Kwani unashindwa kumkabili na kumwambia huo ni uwaki
Pathetic
Wewe ni dhaifu sana
Kauli zako zinaonyesha una umama ndani yakoSio dhaifu mkuu yaani huyo jamaa nikisema nimchane ukweli atahakikisha anafanya na masela wengine wote wanione mimi mbaya, yaani ni kama ana kipaji cha kumfanyia mtu fitina, So nikimchana pia nihakikishe natafuta new cycle of friends, yani mkuu kuna mapepo yanaishi duniani mmoja wapo ni huyo msela wang
Kwahiyo wakisema we mbaya na wewe sio mbaya inakusumbua niniSio dhaifu mkuu yaani huyo jamaa nikisema nimchane ukweli atahakikisha anafanya na masela wengine wote wanione mimi mbaya, yaani ni kama ana kipaji cha kumfanyia mtu fitina, So nikimchana pia nihakikishe natafuta new cycle of friends, yani mkuu kuna mapepo yanaishi duniani mmoja wapo ni huyo msela wang
Sasa ushauriwe nini mkuu?_Ni rafiki yangu sana huyu msela na hayo matimbwili yake najitahidi sana kuyakwepa ila sasa nimeshindwa, nahitaji ushauri wenu wadau.🙏
Sasa ushauriwe nini mkuu?
Kwamba wewe huna akili kabisa??
Yaani shingo yako imebeba kichwa kisicho na ubongo?
Yaani ni maji matupu?
Yaan wazazi wako wamepata hasara kukuzaa??
Bora wangefuga umbwa?
😳😳😳