Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Kuna mtu humu jukwaani amekuwa mpole sana, yaani toka ule msiba uishe alikuwa anatembea na ile slogan "Anaupiga mwingi" na kwa bahati mbaya niliutumia nikala 'burn' ila leo namuona kwenye mada kwa kuvizia sana.

Sijui anachowaza ila naendelea kusema "likitokea tukio usikimbilie kushangilia kungali na giza, subiri kuche".

Tulisema humu jukwaani mtulie muda bado, haya leo mnataka uchaguzi wa haraka ahahahaaa na bado!.
 
Wabongo tunapenda njia za mkato ndio maana tunapigwa ,mtu anakurupuka anakuja na hoja ya Rasi kujiusulu badala ya kupambana na katiba mpya na tume huru ili tumalize tatizo hivi utawashawi wachache sana
 
Wabongo tunapenda njia za mkato ndio maana tunapigwa ,mtu anakurupuka anakuja na hoja ya Rasi kujiusulu badala ya kupambana na katiba mpya na tume huru ili tumalize tatizo hivi utawashawi wachache sana
Ndio hapo sasa
 
Hao hao wanaccm wenzake hawamtaki Kiongozi wao.
 
Hapana, katika mazingira yuliuonayo sasa uchaguzi hauwezi kufanyika kwa haki wala huru.
Tunahitaji watu kama Col. Mamady Doumbouya wa Guinea kwa muda.
Hawezi kupatikana kwa sababu na wao wana kibuyu cha asali kwenye hii kampuni.
 
Ingelijuwa Raisi wa TUCRA, YANGA/SIMBA, n.k ningesema neno
 
Kumbe JF kuna mazombie km wewe na apoyoyo yanakuunga mkono? Moderator tafuta namna ya kuchuja huu upupu. Sikuwahi kuwaza km kuna binadamu mwenye akili ya hovyo km huyu mleta mada.
 
Maofisini ndio Rushwa imetawala mfano wa haraka ofisi za Ardhi hawawajibiki kabisa ni mlolongo mrefu na kama hujaweka mkono mfukoni ukute kila kitu unalala! Mh. Lukuki alipaweza Ardhi na alikuwa eneo husika kila wakati. Huyu wanasiasa na msaidizi wake wote ni janga la wizara hii.
Rais tangu amekalia kitu hajawahi ingia ofisi yoyote ile kujionea utendaji wa kazi! Anapigwa changa la macho tu wananchi wanaumia!
 
Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.

Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.

Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…