chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Anyway tozo zisizo na manufaa, miradi Mingi imekwama, wizara ya Nishati (TANESCO),hawatendei haki wananchi na hakuna wa kuwatetea, Serikali imekuwa ya mipasho, uwajibikaji umeshuka, rushes ndo kila kituSababu tafadhali
Serikali inafanya biashara badara ya kutoa huduma, mfano:-
Sabuni mcheni ilikuwa 2000 saivi 4000
Mafuta ya kupika Lita ilikuwa 2500 saivi 6000
Mfuko wa mbolea ulikuwa 50000 saivi 120000
Unga ulikuwa kilo 700 saivi 1800
Petrol ilikuwa 2500 saivi 3437
Mchele kilo ilikuwa 1500 saivi 2500
Bei ya rimu ilikuwa 9500 saivi 24000
Unga wa ngano kilo ilikuwa 1200 saivi 2200
Mafuta ya taa 1200 Hadi 2600
Tambi 1500 Hadi 2500
Soda ilikuwa 500 saivi 600
Bati ilikuwa 285000 kwa Sasa ni 345000
Daftari ilikuwa 500 saivi 800
Whitedent kutoka 1000 hadi 2500
Mahindi debe ilikuwa 10,000 saizi 18,000
Nyama kutoka 6000 Hadi 8000
Mahindi gunia ilikuwa 60000 sasa ni 100,000
Ukinikuna vizuri na mimi nitakukuna