Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Yeye anataka awabembeleze watumishi ili wafanye kazi[emoji23] anasahau kuwa 8O% ya watumishi bongo wanaenda ofisini ili wajikimu na maisha tu sio kwamba hata wanapenda kazi na kujituma. Bills ndio zinawapeleka ofisini ndio maana output ya maana hakuna.

Sasa mtu wa aina hii bila vitisho na alarms za mara kwa mara unategemea atafanya kazi kivipi? Magufuli aliweza kurudisha uwajibikaji by 8O% sababu alitumbua watu.
Wavivu kwa kulalamika,ndio kawaida yenu.Fanyakazi,anzisha miradi,fuga kuku,kuku wa nyama,kuku wa mayai.Lima bustani ya mboga mboga,fuga ng'ombe wa maziwa, fuga mbuzi,acheni uvivu.Watu wavivu wa kazi,hamuachi kulalamika.
 
Wengi wanaolalamika ni wavivu wa kazi.Fuga kuku,kuku wa nyama,kuku wa mayai,ng'ombe wa maziwa,lima bustani ya mboga,fuga mbuzi,acheni uvivu.
 
Point nyngine ni kukithiri kwa rushwa
Dereva wa daladala za kutokea huko ...kwenda Kawe kupitia Mikocheni ..kituo kimoja kabla ya cha JKT mtaniunga mkono juu ya hili. Wale Askari pale gari haipiti...

Mnaoenda ku - renew leseni pale TRA Makumbusho mnalijua hili yule Dada pale ndani ukienda bila kupitia kwa agent unazungushwa .. hadi upitie kwa agent ili utoe Rushwa ya sio zaidi ya 100,000 ndipo upate leseni na unaelezwa kabisa kwenye hii pesa 10,000 ni ya askari.
 
Unaelewa maana ya kichaa?. Kwa hivyo marekani na intelligence yao yote wakaokota kichaa wakampa urais?. Tatizo mtu akijisimamia na misimamo yake tunamuita majina Kama kichaa nk kisa tunapenda wanafiki.
Kichaa Ina tafsiri nyingi sio hio unayomaanisha
 
Ingefaa raisi akifa madarakani uchaguzi urudiwe Ili kupata mtu sahihi aliyeshindanishwa ,uraisi sio zawadi,wala sio sehemu ya kwenda kujifunzia kuongoza,uraisi ni Maisha ya watu, Hakunaga Makamu wa raisi smart wote huwa ni dhaifu Ili iwe rahisi kuwaburuza. Ukiwa raisi huwezi chagua msaidizi mwenye uwezo kukuzidi. Naunga mkono.
Kwani Yule Jiwe kichaa alistahiki nyie vipi? Mnamfananisha mama na Jiwe mnaakili za wapi rais PhD holder anashindwa kunyosha sentence moja iliyo nyoka ya kiengereza?

Alifanya nini Zaid ya kutaka kuwafilisi kila aliemuona amefanikiwa?

Alifanya nini zaidi ya Kufanya Bodi ya Mikopo kama kifaa chakuwakamulia pesa wanafunzi maskin

Mmesahau utekaji wakijinga UTAWALA wakilimbukeni ushamba uliokisir

Unaongoza Nchi kisha unajitenga na dunia eti mabeberu diplomas ya dunia huifahamu kisha ujenge Nchi Kwa kujifungia CHATO

KAFUGENI NGOMBE UTAWALA C KAZI YENU

TUKUTANE 2030
 
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.

1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi ungekuwa thabiti hakika uchumi ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10 zenye uchumi bora Africa mpaka nje ya top 10 na kuzidiwa na vinchi kama Ghana na Angola

2: Laiti kama uongozi ungekuwa imara nidhamu na uwajibikaji kazini ungekuwepo. Leo hii tunashuhudia wananchi wakihoji kuhusu hali ya umeme nchini pasipokuwa na majibu au majibu yenye uwalakini. Lakini pamoja na hayo bado viongozi wamebaki wakiwa maofisini pasipo kuwajibika kwa namna yoyote.

3: Kwa miaka kadhaa Tanzania imekuwa ikiifanya juhudi kubwa kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mikubwa na ya kimkakati. Licha ya kwamba tangu awamu ya sita iingie madarakani hakuna mradi wowote wa kimkakati ulioanzishwa bali pia hata ile miradi iliyokuwa ikiendelea imekuwa ikisuasua

4: Serikali ingekuwa makini hakika Umeme usingekuwa wa mgao.Tangu Rais S.S.H aingie madarakani hali ya upatikanaji wa umeme nchini imekuwa mbaya sana. Hali hii imepelekea kurejea kwa mgao wa umeme ambao watanzania wengi walishausahau tangu miaka kadhaa iliyopita.Hali inayopelekea kuwatesa wananchi hususan wale wanaotegemea umeme kujipatia vipato katika shughuli zao za kila siku.

5; Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa ya kusuasua. Kwa miezi kadhaa hususan katika jiji la Dar es salaam pamekuwa na mgao wa maji. Hali iliyopelekea kukosekana kwa maji kwa muda mrefu katika maeneo mengi.Hali ambayo hakuwahi kushuhudiwa hapo awali.

6: Tozo zisizokuwa na tija na zilizoua uchumi wa wengi.Serikali ya awamu ya sita imedhulumu na kunyang'anya kwa nguvu fedha za wananchi kwa kigezo cha tozo katika miamala ya simu. Mama mjane anapomtumia mgonjwa wake hospitali kwa ajili ya matibabu anakatwa fedha ambayo kimsingi haikuwa ya biashara. Kwa mujibu wa report kutoka Vodacom hivi karibuni miamala ya simu imepungua kwa asilimia zaidi ya 30!. Hili si jambo la kupuuza hata kidogo kwa uchumi wa nchi.Ni sawa na kutoa fedha mfuko wa kushoto na kuhamishia Kulia.

7: Kupanda kwa bei ya Mbolea.Mara tu baada ya awamu ya sita kuingia madarakani bei ya mbolea ilipanda karibu mara mbili ya bei ya awali.Hii ni imepelekea uchumi wa watanzania wengi ambao ni masikini na wanategemea kilimo kudhoofika.

8; Kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia
9; Kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol
10; Kupanda kwa bei ya bidhaa za ujenzi kama cement,Nondo n.k
11; Teuzi za viongozi wasiokuwa na weledi kwa kigezo cha favour/Undugu/Kujuana (Mf. Riziwani Kikwete,Nape Nauye n.k) Tanzania ina vijana wasomi na wenye upeo mpana wa kifikra. Lakini cha kushangaza teuzi zimekuwa hazina matumaini ta kuipeleka Tanzania kule tunapotarajia.

12: Ukosefu wa uzalendo na ubadhirifu miongoni mwa watumishi wa umma.Siku si nyingi tumeshuhudia kiongozi mkuu wa serikali akiwaasa watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao. Hii inaashiria kwamba hata kiongozi mkuu anashiriki katika ulaji huo. Hali hii ni hatari kwa rasilimali za nchi.

13; Wananchi hususan wa hali ya chini kukosa nafasi katika nchi yao. Siku si nyingi tumeshuhudia wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga wakinyanyaswa kwa kuhamishiwa katika maeneo yasiyokuwa tija kwao. Vuta nikuvute hii imepelekea hali ya unyonge na sintofahamu miongoni mwao na kupelekea kuongezeka kwa umasikini miongoni mwa watanzania

14; Mikopo isiyokuwa na tija kwa taifa. Tangu Tanzania ipate uhuru viongozi wake wote walisisitiza kufanya mambo yetu kwa fedha zetu wenyewe bila kutegemea wahisani. Tanzania imebarikiwa rasilimali za kila aina. Mito, Maziwa, Bahari, Madini kama Tanzanite, Mbuga za wanyama, Gesi n.k Inashangaza Sana kuona kiongozi badala ya kusisitiza au kubuni namna ya kuzitumia rasilimali hizi ziweze kuwa na tija kwa watanzania,Badala yake tumekuwa tukijivunia mikopo!

15 ; Kuongezeka kwa gharama za uunganishaji umeme kutoka 27,000 iliyokuwepo mpaka zaidi ya 300,000 ya hivi sasa. Hali hii imepunguza mno kasi ya usambaaji wa umeme

16 ; Muingiliano baina ya mihimili kwa kigezo cha uchama. Inasikitisha kuona kiongozi wa mhimili mmoja anakosa uwezo wa kuikosoa na kuurekebisha mhimili mwingine kwa kuhofia kibarua chake. Hili tumelishuhudia baada ya kuona spika wa bunge la JMT kujiuzulu baada ya kuhoji kuhusu mikopo na tozo.

17 ; Safari zisizokuwa na tija wala umuhimu kwa taifa. Tumeshuhudia safari nyingi mno za nje ya nchi, Safari hizi zimekuwa zikiigharimu nchi fedha nyingi. Safari za vikao visivyokuwa na tija kama mkutano wa kujadili athari za gesi ya ukaa sidhani kama ina tija hususan kwa nchi ambazo bado uchumi wake ni mdogo. Ni sawa na mzazi anayemiliki baiskeli kwenda kuhudhuria kikao cha adha wanayopitia wamiliki wa magari kwa tairi zao kukosa ubora.

18 ; Kukosekana uhuru na ukandamizaji wa demokrasia. Tunaweza kusema kwamba pia hata katika awamu zilizopita hili lilikuwepo, Lakini hili la sasa limekuja kwa namna tofauti. Wakati mwingine baba anaweza kumpa mtoto adhabu ya kulima shamba,Mtoto akalia na kulaumu sana. Lakini shamba hilohilo baadaye likaleta chakula mezani wote wakala na kufurahia. Ila tofauti iliyopo sasa. Hakuna chakula kinachokuja mezani!

19 ; Kushughulikia zaidi mambo yasiyokuwa na tija kwa wananchi kuliko yale yenye umuhimu na tija kwa watanzania. Imekuwa jambo la kawaida kwa awamu hii kujihusisha zaidi na makongamano,Semina elekezi, Birthday Party pamoja na hafla mbali mbali badala ya kujikita katika kufufua na kubuni miradi ya kimaendeleo itakayosaidia kuwapunguzia wananchi mzigo wa umasikini na kuinua uchumi. Hafla ya machifu na watemi si muhimu kama hafla ya utiaji saini mradi wa uchimbaji na usambazaji wa gesi ya Mtwara!

20 ; Kukosekana ajira. Ubunifu na uibuaji wa miradi mipya si tu umekuwa na tija kiuchumi Bali umekuwa ukiajiri vijana wengi. Kukosekana kwa ubunifu na sera mbovu za serikali zimesababisha kukoseka kwa ajira miongoni mwa vijana wengi

21 ; Kuongezeka matukio ya uhalifu.
Mara tu baada ya awamu ya sita kushika hatamu sote tumeshuhudia jinsi wimbi la uhalifu lilivyoongezeka.Sio tu matukio ya wizi na ujambazi bali mpaka uchomaji wa masoko kama Kariakoo, mchikichini n.k wizi mauaji na utekaji nyara vimeongezeka kwa kasi mno. Hii inaonyesha udhaifu katika usimamizi wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama

22 ; Kuongezeka gharama za simu
Kutokana na kodi za miamala Kuongezeka kampuni za simu zimejikuta zikilazimika kupandisha gharama za muda wa maongezi na huduma zinginezo za simu kama vile huduma za vifurushi ili kuweza kubalance gharama za uendeshaji. Hali hii imesababisha mzigo mzito kwa wananchi hasa ukizingatia mawasiliano ni nyenzo muhimu sana katika shughuli zao za kila siku

23 ; Kutoa vipaumbele kwa mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa taifa hususan kwa wakati huu.Hapakuwa na ulazima kutumia gharama kubwa na uwekezaji katika kutumia kodi za wananchi kiongozi mkuu wa serikali kusafiri na kutumia muda mwingi kutengeneza filamu wakati fedha hiyo haina uhakika wa kurudi.Mfano fedha hiyo ingewekezwa kwenye timu maarufu zinazoshiriki ligi za ulaya ingekuwa na tija na matokeo zaidi na Rais angepata muda kutekeleza majukumu mengine ya kiserikali kuliko kupoteza muda mwingi kusafiri.

Hakika ni mambo mengi ambayo yamekuwa yakifanyika kinyume na matarajio ya watanzania wengi ambao waliwaamini viongozi wao na kuwaweka madarakani huku wakiwa na matumaini makubwa ya kuondokewa na maradhi, ujinga na umasikini ambao ndio maadui wakuu wa taifa kama ilivyobainishwa na Mwl Nyerere badala yake watanzania hao ambao wengi ni masikini na wameteseka kwa umasikini kiasi cha kusahau tarehe zao za kuzaliwa huku wakishuhudia wale waliowachagua wakikata keki ikulu!
Mh. Rais Mama Samia hakika kama unaupitia huu uzi, elewa kabisa lile kundi la yule mzee aliyekuambia adui yako yupo ndani ya CCM na lililokuaminisha kuwa mbaya wako alikuwa Dkt Magufuli na mfumo wake ndiyo hili ambalo linakuandalia shutuma/mashitaka kwa watanzania. Lengo lao tangu mwanzo ni kuhakikisha wanakupa ushauri wa kukupotosha ili uonekane hujui/huwezi kuongoza na wao tena wakushauri eti usiendelee na urais. Hili genge ni kubwa na ukikaa vibaya maandamano yataanza ili wakuondoe kwa kigezo umeshindwa kuendesha nchi ili waweke mtu wao. Kumbuka JF tulikupatia tahadhari tangu mwanzo kuwa wewe mama ulikuwa na msingi mzuri wa kutawala kwa sababu Dkt Magufuli alijenga mfumo ambao uliaminiwa na watanzania wote, wewe hukupaswa kabisa kuanza kujitutumua kuonesha wewe ndiye rais bali ulitakiwa ujue watanzania walikuwa tayari wanayaogopa na kuheshimu mamlaka ya rais, ila wewe tu ulipoanza hizo ngojera basi watu wakajua kumbe wewe ni dhaifu na haukuwa pamoja na Dkt Magufuli.

Chakufanya:
Bado muda unao na Watanzania Mama tunakupenda mno (yaani mpaka machozi), wewe ni mwanamke wa kwanza rais tena msomi mwenye exposures ya kimataifa.

Kaa ujitafakari wewe kama rais, tengeneza mfumo wako wa ushauri ambao wenye maslahi ya nchi. Angalia moja wa washauri wa Dkt Magufuli, watafute watumie.

Kubali tu kujitoa muhanga kwani bora ufe kwa kukataa masharti ya magenge ya waharifu.

Iga hata mfumo wa Dkt Mwinyi au wa Mwl Nyerere na ule wa Dkt Magufuli.

Ondoa kabisa wateule wenye viashiria vya kukosa maadili kama Nape, Makamba, Kinana (hapa nakukumbusha, yule mkwe wako Mchengerwa wala hakuna anayemsema vibaya kwa sababu ana maadili ya kiuongozi), ila hao akina Nape ni bomu.

Tengeneza imani kwa watanzania kwa kushusha mfumuko wa bei.
 
Kwani Yule Jiwe kichaa alistahiki nyie vipi? Mnamfananisha mama na Jiwe mnaakili za wapi rais PhD holder anashindwa kunyosha sentence moja iliyo nyoka ya kiengereza?

Alifanya nini Zaid ya kutaka kuwafilisi kila aliemuona amefanikiwa?

Alifanya nini zaidi ya Kufanya Bodi ya Mikopo kama kifaa chakuwakamulia pesa wanafunzi maskin

Mmesahau utekaji wakijinga UTAWALA wakilimbukeni ushamba uliokisir

Unaongoza Nchi kisha unajitenga na dunia eti mabeberu diplomas ya dunia huifahamu kisha ujenge Nchi Kwa kujifungia CHATO

KAFUGENI NGOMBE UTAWALA C KAZI YENU

TUKUTANE 2030
Hata kwa jeki atoboi bora tumpe Lisu, we lamba asali za mikopo za mwisho mwisho
 
Kelele nyingi kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Bepari2020 hapana kabisa nakataaa hivyo vitu siyo kisingizio. Mama yeye alijichanganya kwa kuanza kufuata ushauri potofu. Yaani kuna ka kikundi kapo busy kumpotosha ili achukiwe. Mama kama yeye hana tatizo ni kiongozi mzuri mno. Ukitaka kujua hana tatizo wewe ona tu mkwe wake Mchengerwa hakuna nayempigia kelele amuondoe ila cheki huyo Makamba na Nape na Kinana. Ningekuwa mi rais ningetumia mbinu ya kuwaondoa akina Makamba
 
Point nyngine ni kukithiri kwa rushwa
Dereva wa daladala za kutokea huko ...kwenda Kawe kupitia Mikocheni ..kituo kimoja kabla ya cha JKT mtaniunga mkono juu ya hili. Wale Askari pale gari haipiti...

Mnaoenda ku - renew leseni pale TRA Makumbusho mnalijua hili yule Dada pale ndani ukienda bila kupitia kwa agent unazungushwa .. hadi upitie kwa agent ili utoe Rushwa ya sio zaidi ya 100,000 ndipo upate leseni na unaelezwa kabisa kwenye hii pesa 10,000 ni ya askari.
Usinikumbushe balaa nililokutananalo Tazara wale wutu wanataka sio wanaomba nilipambanao walinipigisha kwata wiki nzima sikutoa hata mia ila chamoto nilikipata ofice za TRA za lesen sijui uhamiaji kutafuta pasport au kubadilisha passport jipange bila kupitia kwa vishoka utasumbuliwa sana,nfano kwenye kubadili passport ukiingia kwenye wesite ya uhamiaji kuomba form kuna kipengele kimewekwa makusudi kubabaisha watu ni lazima ujaze nchi unakotaka kwende nikajiuliza passport ninayo zaidi ya mika sita muda wake wa matumizi bado nalazimishwa kubadili gharama za kubadili nikubwa bado naulizwa nataka kubadili passport kwenda nchigani jambo la kusikitisha sana
 
Japo sijasoma kumaliza lakini nimeona ni maandishi yenye mundelezi wa kijinga jinga tu.
Mleta mada hauna akili kabisa. Rais mama Samia anaendeaha nchi vizuri sana kwa msingi wa kisheria na katiba.
Tanzania inapiga hatua mbele na kama kuna changamoto yoyote basi ni hali ya dunia yote kama Corona, na vita ya Ukraine iliyosababisha baadhi ya vitu kupanda kama Chakula na mafuta duniani kote

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.

1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi ungekuwa thabiti hakika uchumi ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10 zenye uchumi bora Africa mpaka nje ya top 10 na kuzidiwa na vinchi kama Ghana na Angola

2: Laiti kama uongozi ungekuwa imara nidhamu na uwajibikaji kazini ungekuwepo. Leo hii tunashuhudia wananchi wakihoji kuhusu hali ya umeme nchini pasipokuwa na majibu au majibu yenye uwalakini. Lakini pamoja na hayo bado viongozi wamebaki wakiwa maofisini pasipo kuwajibika kwa namna yoyote.

3: Kwa miaka kadhaa Tanzania imekuwa ikiifanya juhudi kubwa kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mikubwa na ya kimkakati. Licha ya kwamba tangu awamu ya sita iingie madarakani hakuna mradi wowote wa kimkakati ulioanzishwa bali pia hata ile miradi iliyokuwa ikiendelea imekuwa ikisuasua

4: Serikali ingekuwa makini hakika Umeme usingekuwa wa mgao.Tangu Rais S.S.H aingie madarakani hali ya upatikanaji wa umeme nchini imekuwa mbaya sana. Hali hii imepelekea kurejea kwa mgao wa umeme ambao watanzania wengi walishausahau tangu miaka kadhaa iliyopita.Hali inayopelekea kuwatesa wananchi hususan wale wanaotegemea umeme kujipatia vipato katika shughuli zao za kila siku.

5; Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa ya kusuasua. Kwa miezi kadhaa hususan katika jiji la Dar es salaam pamekuwa na mgao wa maji. Hali iliyopelekea kukosekana kwa maji kwa muda mrefu katika maeneo mengi.Hali ambayo hakuwahi kushuhudiwa hapo awali.

6: Tozo zisizokuwa na tija na zilizoua uchumi wa wengi.Serikali ya awamu ya sita imedhulumu na kunyang'anya kwa nguvu fedha za wananchi kwa kigezo cha tozo katika miamala ya simu. Mama mjane anapomtumia mgonjwa wake hospitali kwa ajili ya matibabu anakatwa fedha ambayo kimsingi haikuwa ya biashara. Kwa mujibu wa report kutoka Vodacom hivi karibuni miamala ya simu imepungua kwa asilimia zaidi ya 30!. Hili si jambo la kupuuza hata kidogo kwa uchumi wa nchi.Ni sawa na kutoa fedha mfuko wa kushoto na kuhamishia Kulia.

7: Kupanda kwa bei ya Mbolea.Mara tu baada ya awamu ya sita kuingia madarakani bei ya mbolea ilipanda karibu mara mbili ya bei ya awali.Hii ni imepelekea uchumi wa watanzania wengi ambao ni masikini na wanategemea kilimo kudhoofika.

8; Kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia
9; Kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol
10; Kupanda kwa bei ya bidhaa za ujenzi kama cement,Nondo n.k
11; Teuzi za viongozi wasiokuwa na weledi kwa kigezo cha favour/Undugu/Kujuana (Mf. Riziwani Kikwete,Nape Nauye n.k) Tanzania ina vijana wasomi na wenye upeo mpana wa kifikra. Lakini cha kushangaza teuzi zimekuwa hazina matumaini ta kuipeleka Tanzania kule tunapotarajia.

12: Ukosefu wa uzalendo na ubadhirifu miongoni mwa watumishi wa umma.Siku si nyingi tumeshuhudia kiongozi mkuu wa serikali akiwaasa watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao. Hii inaashiria kwamba hata kiongozi mkuu anashiriki katika ulaji huo. Hali hii ni hatari kwa rasilimali za nchi.

13; Wananchi hususan wa hali ya chini kukosa nafasi katika nchi yao. Siku si nyingi tumeshuhudia wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga wakinyanyaswa kwa kuhamishiwa katika maeneo yasiyokuwa tija kwao. Vuta nikuvute hii imepelekea hali ya unyonge na sintofahamu miongoni mwao na kupelekea kuongezeka kwa umasikini miongoni mwa watanzania

14; Mikopo isiyokuwa na tija kwa taifa. Tangu Tanzania ipate uhuru viongozi wake wote walisisitiza kufanya mambo yetu kwa fedha zetu wenyewe bila kutegemea wahisani. Tanzania imebarikiwa rasilimali za kila aina. Mito, Maziwa, Bahari, Madini kama Tanzanite, Mbuga za wanyama, Gesi n.k Inashangaza Sana kuona kiongozi badala ya kusisitiza au kubuni namna ya kuzitumia rasilimali hizi ziweze kuwa na tija kwa watanzania,Badala yake tumekuwa tukijivunia mikopo!

15 ; Kuongezeka kwa gharama za uunganishaji umeme kutoka 27,000 iliyokuwepo mpaka zaidi ya 300,000 ya hivi sasa. Hali hii imepunguza mno kasi ya usambaaji wa umeme

16 ; Muingiliano baina ya mihimili kwa kigezo cha uchama. Inasikitisha kuona kiongozi wa mhimili mmoja anakosa uwezo wa kuikosoa na kuurekebisha mhimili mwingine kwa kuhofia kibarua chake. Hili tumelishuhudia baada ya kuona spika wa bunge la JMT kujiuzulu baada ya kuhoji kuhusu mikopo na tozo.

17 ; Safari zisizokuwa na tija wala umuhimu kwa taifa. Tumeshuhudia safari nyingi mno za nje ya nchi, Safari hizi zimekuwa zikiigharimu nchi fedha nyingi. Safari za vikao visivyokuwa na tija kama mkutano wa kujadili athari za gesi ya ukaa sidhani kama ina tija hususan kwa nchi ambazo bado uchumi wake ni mdogo. Ni sawa na mzazi anayemiliki baiskeli kwenda kuhudhuria kikao cha adha wanayopitia wamiliki wa magari kwa tairi zao kukosa ubora.

18 ; Kukosekana uhuru na ukandamizaji wa demokrasia. Tunaweza kusema kwamba pia hata katika awamu zilizopita hili lilikuwepo, Lakini hili la sasa limekuja kwa namna tofauti. Wakati mwingine baba anaweza kumpa mtoto adhabu ya kulima shamba,Mtoto akalia na kulaumu sana. Lakini shamba hilohilo baadaye likaleta chakula mezani wote wakala na kufurahia. Ila tofauti iliyopo sasa. Hakuna chakula kinachokuja mezani!

19 ; Kushughulikia zaidi mambo yasiyokuwa na tija kwa wananchi kuliko yale yenye umuhimu na tija kwa watanzania. Imekuwa jambo la kawaida kwa awamu hii kujihusisha zaidi na makongamano,Semina elekezi, Birthday Party pamoja na hafla mbali mbali badala ya kujikita katika kufufua na kubuni miradi ya kimaendeleo itakayosaidia kuwapunguzia wananchi mzigo wa umasikini na kuinua uchumi. Hafla ya machifu na watemi si muhimu kama hafla ya utiaji saini mradi wa uchimbaji na usambazaji wa gesi ya Mtwara!

20 ; Kukosekana ajira. Ubunifu na uibuaji wa miradi mipya si tu umekuwa na tija kiuchumi Bali umekuwa ukiajiri vijana wengi. Kukosekana kwa ubunifu na sera mbovu za serikali zimesababisha kukoseka kwa ajira miongoni mwa vijana wengi

21 ; Kuongezeka matukio ya uhalifu.
Mara tu baada ya awamu ya sita kushika hatamu sote tumeshuhudia jinsi wimbi la uhalifu lilivyoongezeka.Sio tu matukio ya wizi na ujambazi bali mpaka uchomaji wa masoko kama Kariakoo, mchikichini n.k wizi mauaji na utekaji nyara vimeongezeka kwa kasi mno. Hii inaonyesha udhaifu katika usimamizi wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama

22 ; Kuongezeka gharama za simu
Kutokana na kodi za miamala Kuongezeka kampuni za simu zimejikuta zikilazimika kupandisha gharama za muda wa maongezi na huduma zinginezo za simu kama vile huduma za vifurushi ili kuweza kubalance gharama za uendeshaji. Hali hii imesababisha mzigo mzito kwa wananchi hasa ukizingatia mawasiliano ni nyenzo muhimu sana katika shughuli zao za kila siku

23 ; Kutoa vipaumbele kwa mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa taifa hususan kwa wakati huu.Hapakuwa na ulazima kutumia gharama kubwa na uwekezaji katika kutumia kodi za wananchi kiongozi mkuu wa serikali kusafiri na kutumia muda mwingi kutengeneza filamu wakati fedha hiyo haina uhakika wa kurudi.Mfano fedha hiyo ingewekezwa kwenye timu maarufu zinazoshiriki ligi za ulaya ingekuwa na tija na matokeo zaidi na Rais angepata muda kutekeleza majukumu mengine ya kiserikali kuliko kupoteza muda mwingi kusafiri.

Hakika ni mambo mengi ambayo yamekuwa yakifanyika kinyume na matarajio ya watanzania wengi ambao waliwaamini viongozi wao na kuwaweka madarakani huku wakiwa na matumaini makubwa ya kuondokewa na maradhi, ujinga na umasikini ambao ndio maadui wakuu wa taifa kama ilivyobainishwa na Mwl Nyerere badala yake watanzania hao ambao wengi ni masikini na wameteseka kwa umasikini kiasi cha kusahau tarehe zao za kuzaliwa huku wakishuhudia wale waliowachagua wakikata keki ikulu!
Mkuu
Umeanika nondo ambazo kila mwenye fikra akizipitia anazikubali...

Bunge butu haliwezi kumuwajibisha rais
 
Hata kwa jeki atoboi bora tumpe Lisu, we lamba asali za mikopo za mwisho mwisho
Umeongea point kwasabu gani ukifatili mtifuano ni ccm timu JPM na timu SSH sio kwamba wanauchungu na nchi bali wamekatiana milija ndiomaana wanasutana , hizi nyuzi zimeongezeka sana siku za karibuni tunasoma na kuzipita bilakuongea chochote hawa watu ni ccm tumbo moja mama tofauti
 
Hapa lengo la kumponda mama ni kutaka kumsifia Magufuli. Kwa ujanja sana hujamtaja ili tusione dhamira yako ilipo. Ni hivi, Magufuli alipora uchaguzi akaweka wanaccm kila mahali kuanzia watendaji, madiwani, mpaka wabunge. Sasa kama nchi inaongozwa na CCM ambao tuliambiwa ni wazalendo, kwanini hawahakikishi haya malalamiko yako yanafanyiwa kazi? Simsifii huyu mama wala kumtetea, lakini yeye ni bora kuliko Magufuli fullstop.
 
Sawa kabisa, halafu wanadhani hatujui dhamira yao ni nini? Hizi nyuzi za sasa za kumponda mama Samia, zinaletwa na kundi dhalimu la Magufuli wakiamini tumesahau ukatili tuliifanyiwa chini ya Magufuli. Hakuna mwanaccm bora, bali kuna afadhali tu kati yao.
 
Ulivyoitaja Ghana nikaacha kusoma
 
Hapa lengo la kumponda mama ni kutaka kumsifia Magufuli. Kwa ujanja sana hujamtaja ili tusione dhamira yako ilipo. Ni hivi, Magufuli alipora uchaguzi akaweka wanaccm kila mahali kuanzia watendaji, madiwani, mpaka wabunge. Sasa kama nchi inaongozwa na CCM ambao tuliambiwa ni wazalendo, kwanini hawahakikishi haya malalamiko yako yanafanyiwa kazi? Simsifii huyu mama wala kumtetea, lakini yeye ni bora kuliko Magufuli fullstop.
Wewe huoni huyu mama wanamzunguka,na yeye ame base Zanzibar??
 
Back
Top Bottom