Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

[emoji419][emoji419][emoji419]

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwenye nidhamu ya kazi hapo, wa tz wengi hawaendi bila " intimidation" aanze kutumbua wapuuzi wapuuzi wengine watajipanga wenyewe.
Asiogope mtu.Wakati wa vita hata aliyekaribu yako akikusaliti mtumbue utaona matokeo yake.Wale wote wenye kujihusisha na watangulizi wako waondoe.Tuko wengi wa kukusaidia na tuna uzoefu wa kutosha kulivusha jahazi.
 
Ameweza sana.Nyinyi ndio mnaotaka kutuburuza tuone kwamba kashindwa.Naona hii kasi imekuwa kubwa tangu mama arudi ziara yake ya ghuba.Acheni ujinga.Kule alikwenda kidiplomasia kama wale wa kwenu wanavyojikomba Ulaya na Vatican.
Acha kuweweseka, soma kwa makini hoja za mleta mada.
SSH anazidi kuwa mwepesi kwenye hiyo nafasi siku hadi siku.
 
Umeandika uongo mtupu.Wananchi wote tunampenda Rais wetu.Acha uvivu fanyakazi fursa za kazi ni nyingi tu.Umekalia uvivu,hutaki kufanyakazi.
 


Kwenye demokrasia unamtoa mtu kwa kura sio mipasho! Kama hafai uchaguzi ujao piga kura kwa anaye faa
 
Kesho akisema mshahara kima cha chini 1mil, tutashangilia na kusema huyu ndiye Rais wa mioyo yetu. Tunapenda ahadi sana na strory mpaka tukampigia deki barabara jamaa fulani miaka fulani.
Wtz wamekuwa kama madem kutongozwa kwa ahadi za uwongo
 
Mleta mada andika kutoa stress rudi ndani lia futa machozi yako ulaze kishimo chako. Hakuna nchi rahisi hivyo duniani. Mwaga uharo kulee
 
Acha uvivu fanyakazi,ukiwa mvivu hutaki kazi,umekaa nyumbani tu,wasubiri vya bure,utamlaumu kila unayemjuwa na usiyejuwa.Asiefanyakazi asile.
Katafute kazi za kufanya,upate kipato.
Umeandika uongo mtupu,biashara ziko wazi,wanapata wateja,maduka,supermarket,masoko,petrostation, mahospital ya binafsi,majumba mapya yanajengwa,bidhaa kutoka nje zinaingia,magari yanaingia,watu wanasomesha watoto wao shule za kulipia.Mahotel yamejaza watu,kumbi za starehe zimejaza watu,wewe wasema hakuna pesa.Fanyakazi,acha uvivu.
 
Mmeanzisha mada nyingi leo...
Lile kundi...
 
Kama CCM wangemchagua Samia Suluhu kuwa mombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK.
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia.

Sanasana Magufuli angewapiga risasi au kuwateka au kuwanyang'anya fedha kwenye akaunti zao
 
Endelea kupigwa miti huko mpigamiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…