Hili ni bandiko bora na mwandiko bora na mpangilio bora na ushauri bora na adimu sijui sasa kama watakuelewa😢😢😢Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality" (Uhalali wa Kisheria) na "Legitimacy" (Kukubalika na Umma).
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi kigumu kuliko vyote tangu uhuru (Wazee watanisaidia zaidi). Matukio ya Oktoba 29 na kabla na baada ya siku hiyo (Vifo, ukatili, na kuzimwa kwa mawasiliano) yameacha kidonda kibichi. Hali ya sasa, ambapo viongozi wa dini na siasa wanahubiri chuki za wazi ("kuchinja", "ubaguzi wa kidini"), ni ishara ya "State Fragility" (Dola iliyo hatarini kuporomoka).
Mhe. Rais, Desemba 9 inakaribia. Nchi haiwezi kuhimili tena "Oktoba 29" nyingine. Uchumi wetu utaporomoka, na heshima yetu kimataifa itafutika. Kama kijana wa Kitanzania Chukua hatua hizi nne (4) za haraka ili kutuliza hasira za umma na kunusuru Taifa:
1. Kiri Tatizo na Uondoe Kinga kwa Waliohusika na Mauaji (Accountability)
Hasira iliyopo mtaani siyo tu kwa sababu ya kura, bali ni kwa sababu ya DAMU. Hakuna mzazi anayeweza kusahau mtoto wake aliyeuawa au kupotea kisa uchaguzi ama serikali..
- Ushauri: Achana na Tume za kuchunguza kwa miaka. Chukua hatua zinazoonekana sasa. Wale wote (Polisi au Usalama) waliotumia nguvu iliyopitiliza watajwe na wasimamishwe kazi hadharani.
- Faida: Hii itapunguza kiu ya "kisasi" kwa wananchi. Itaonyesha kuwa Dola haibariki mauaji. Bila 'Accountability', wananchi watajichukulia sheria mkononi.
2. Tangaza Mchakato wa KATIBA MPYA wenye Tarehe (Time-Bound Roadmap)
Kiapo chako kimekulinda kisheria, lakini hakijafuta hitaji la mabadiliko ya mfumo. Sababu kuu ya watu kutaka kuandamana ni hisia kwamba "Njia za kisheria zimefungwa".
- Ushauri: Badala ya kusema "mchakato utaanza", tangaza Roadmap yenye tarehe kamili. Mfano: "Kufikia June 2026 tutakuwa na Rasimu Mpya" Na hapa tukitumia Ile ya jaji Warioba ni rahisi kuiboresha kidogo tu..
- Faida: Hii inawapa watu "Matumaini ya Kesho" (Hope for the future). Watu wenye matumaini hawaandamani kuvunja nchi; wanasubiri mabadiliko waliyoahidiwa. Hii ndiyo "Soft Landing" pekee ya kisiasa iliyobaki.
3. Kemea Vikali "Wapambe" Wanaochochea Udini na Chuki
Kosa kubwa linalofanyika sasa ni baadhi ya viongozi (wa dini na serikali) wanaojifanya wanakutetea kwa kutumia lugha za vitisho ("tutawachinja", "sisi wa imani hii dhidi ya wale").
- Ushauri: Mhe. Rais, jitokeze hadharani WAKEMEE watu hawa, hata kama wako upande wako. Waambie kuwa wewe ni Rais wa Watanzania wote, si wa dini moja au chama kimoja.
- Faida: Hii itarudisha imani kwa wale wanaohisi wametengwa. Nchi ikigawanyika kidini, hakuna jeshi litakaloweza kuituliza. Udini ni saratani itakayomaliza utawala wako haraka kuliko maandamano.
4. 'General Amnesty': Futa Kesi za Kisiasa na Uachie Wafungwa
Kuweka watu ndani kwa makosa ya kisiasa au "kubambikiza" kesi za uhaini n.k hakuzuii maandamano, bali kunayatengeneza.
Nahitimisha kwa kusema...
- Ushauri: Tumia mamlaka yako kutoa msamaha kwa makosa yenye asili ya kisiasa yaliyotokana na uchaguzi huu (Kabla, wakati na Baada).
- Faida: Hii inaitwa "De-escalation Strategy". Unapunguza joto la nchi,, Unawapa watu sababu ya kurudi kwenye meza ya mazungumzo badala ya kwenda barabarani.
Mheshimiwa Rais, Dunia inatuangalia, wawekezaji hawaweki fedha kwenye nchi ambayo wananchi wanapigwa risasi barabarani, Uchumi wetu utakufa, na tutageuka kuwa ombaomba.
Usisikilize wanaokuambia "Piga tu, watazoea" Historia inaonyesha nguvu ya umma ikifikia kikomo, hakuna risasi inayotosha,Tumia Busara (Wisdom) badala ya Nguvu (Force). Niliwahi kusema "siku wa kufa wakipatikana kama waliotayari kuuwa walivyosasa itakuwa ni hatari kubwa, na sasa wa kufa wapo tayari wamepatikana"
Mama Nakushauri kama mwanao anavyoweza kukushauri....
Okoa Desemba 9 yetu. Okoa Tanzania yetu.
Wako katika Ujenzi wa Taifa,
(Mtanzania888i)
Aondoe kinga kwa nani wakati kiongozi mkuu wa mauaji ni yeye na watu wake wa karibu? Watanzania tafakari zetu na uelewa wa mambo ni mdogo mno. Hivi mpaka sasa wewe hujajua tatizo liko wapi au limesababishwa na nani? Unadhani kuna kikundi kingeweza kufanya yale mauaji ya kutisha namna ile bila kupewa GO ahead na yeye? Hukusikia hata matamshi yake na kuona matendo yake kabla, wakati na baada ya uchaguzi?Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality" (Uhalali wa Kisheria) na "Legitimacy" (Kukubalika na Umma).
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi kigumu kuliko vyote tangu uhuru (Wazee watanisaidia zaidi). Matukio ya Oktoba 29 na kabla na baada ya siku hiyo (Vifo, ukatili, na kuzimwa kwa mawasiliano) yameacha kidonda kibichi. Hali ya sasa, ambapo viongozi wa dini na siasa wanahubiri chuki za wazi ("kuchinja", "ubaguzi wa kidini"), ni ishara ya "State Fragility" (Dola iliyo hatarini kuporomoka).
Mhe. Rais, Desemba 9 inakaribia. Nchi haiwezi kuhimili tena "Oktoba 29" nyingine. Uchumi wetu utaporomoka, na heshima yetu kimataifa itafutika. Kama kijana wa Kitanzania Chukua hatua hizi nne (4) za haraka ili kutuliza hasira za umma na kunusuru Taifa:
1. Kiri Tatizo na Uondoe Kinga kwa Waliohusika na Mauaji (Accountability)
Hasira iliyopo mtaani siyo tu kwa sababu ya kura, bali ni kwa sababu ya DAMU. Hakuna mzazi anayeweza kusahau mtoto wake aliyeuawa au kupotea kisa uchaguzi ama serikali..
- Ushauri: Achana na Tume za kuchunguza kwa miaka. Chukua hatua zinazoonekana sasa. Wale wote (Polisi au Usalama) waliotumia nguvu iliyopitiliza watajwe na wasimamishwe kazi hadharani.
- Faida: Hii itapunguza kiu ya "kisasi" kwa wananchi. Itaonyesha kuwa Dola haibariki mauaji. Bila 'Accountability', wananchi watajichukulia sheria mkononi.
2. Tangaza Mchakato wa KATIBA MPYA wenye Tarehe (Time-Bound Roadmap)
Kiapo chako kimekulinda kisheria, lakini hakijafuta hitaji la mabadiliko ya mfumo. Sababu kuu ya watu kutaka kuandamana ni hisia kwamba "Njia za kisheria zimefungwa".
- Ushauri: Badala ya kusema "mchakato utaanza", tangaza Roadmap yenye tarehe kamili. Mfano: "Kufikia June 2026 tutakuwa na Rasimu Mpya" Na hapa tukitumia Ile ya jaji Warioba ni rahisi kuiboresha kidogo tu..
- Faida: Hii inawapa watu "Matumaini ya Kesho" (Hope for the future). Watu wenye matumaini hawaandamani kuvunja nchi; wanasubiri mabadiliko waliyoahidiwa. Hii ndiyo "Soft Landing" pekee ya kisiasa iliyobaki.
3. Kemea Vikali "Wapambe" Wanaochochea Udini na Chuki
Kosa kubwa linalofanyika sasa ni baadhi ya viongozi (wa dini na serikali) wanaojifanya wanakutetea kwa kutumia lugha za vitisho ("tutawachinja", "sisi wa imani hii dhidi ya wale").
- Ushauri: Mhe. Rais, jitokeze hadharani WAKEMEE watu hawa, hata kama wako upande wako. Waambie kuwa wewe ni Rais wa Watanzania wote, si wa dini moja au chama kimoja.
- Faida: Hii itarudisha imani kwa wale wanaohisi wametengwa. Nchi ikigawanyika kidini, hakuna jeshi litakaloweza kuituliza. Udini ni saratani itakayomaliza utawala wako haraka kuliko maandamano.
4. 'General Amnesty': Futa Kesi za Kisiasa na Uachie Wafungwa
Kuweka watu ndani kwa makosa ya kisiasa au "kubambikiza" kesi za uhaini n.k hakuzuii maandamano, bali kunayatengeneza.
Nahitimisha kwa kusema...
- Ushauri: Tumia mamlaka yako kutoa msamaha kwa makosa yenye asili ya kisiasa yaliyotokana na uchaguzi huu (Kabla, wakati na Baada).
- Faida: Hii inaitwa "De-escalation Strategy". Unapunguza joto la nchi,, Unawapa watu sababu ya kurudi kwenye meza ya mazungumzo badala ya kwenda barabarani.
Mheshimiwa Rais, Dunia inatuangalia, wawekezaji hawaweki fedha kwenye nchi ambayo wananchi wanapigwa risasi barabarani, Uchumi wetu utakufa, na tutageuka kuwa ombaomba.
Usisikilize wanaokuambia "Piga tu, watazoea" Historia inaonyesha nguvu ya umma ikifikia kikomo, hakuna risasi inayotosha,Tumia Busara (Wisdom) badala ya Nguvu (Force). Niliwahi kusema "siku wa kufa wakipatikana kama waliotayari kuuwa walivyosasa itakuwa ni hatari kubwa, na sasa wa kufa wapo tayari wamepatikana"
Mama Nakushauri kama mwanao anavyoweza kukushauri....
Okoa Desemba 9 yetu. Okoa Tanzania yetu.
Wako katika Ujenzi wa Taifa,
(Mtanzania888i)
Halina ubora wowote. Badiko bora kaweka hydroxo ''Hili ni bandiko bora na mwandiko bora na mpangilio bora na ushauri bora na adimu sijui sasa kama watakuelewa😢😢😢
Sijui hata anaongelea vitu gani huyu?Aondoe kinga kwa nani wakati kiongozi mkuu wa mauaji ni yeye na watu wake wa karibu? Watanzania tafakari zetu na uelewa wa mambo ni mdogo mno. Hivi mpaka sasa wewe hujajua tatizo liko wapi au limesababishwa na nani? Unadhani kuna kikundi kingeweza kufanya yale mauaji ya kutisha namna ile bila kupewa GO ahead na yeye? Hukusikia hata matamshi yake na kuona matendo yake kabla, wakati na baada ya uchaguzi?
6.Piga Chini wakuu wa vyombo vyote vya dola.5.Aachie madaraka kwa kujiuzulu kwani sio rais halali wa nchi yetu.
Hana ridhaa ya wananchi wengi pia uchaguzi uliomuingiza madarakani haukuwa wa haki na huru.
MKUU HAPO NAONGEZEA HILI MOJA KUBWA KULIKO YOTE:Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality" (Uhalali wa Kisheria) na "Legitimacy" (Kukubalika na Umma).
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi kigumu kuliko vyote tangu uhuru (Wazee watanisaidia zaidi). Matukio ya Oktoba 29 na kabla na baada ya siku hiyo (Vifo, ukatili, na kuzimwa kwa mawasiliano) yameacha kidonda kibichi. Hali ya sasa, ambapo viongozi wa dini na siasa wanahubiri chuki za wazi ("kuchinja", "ubaguzi wa kidini"), ni ishara ya "State Fragility" (Dola iliyo hatarini kuporomoka).
Mhe. Rais, Desemba 9 inakaribia. Nchi haiwezi kuhimili tena "Oktoba 29" nyingine. Uchumi wetu utaporomoka, na heshima yetu kimataifa itafutika. Kama kijana wa Kitanzania Chukua hatua hizi nne (4) za haraka ili kutuliza hasira za umma na kunusuru Taifa:
1. Kiri Tatizo na Uondoe Kinga kwa Waliohusika na Mauaji (Accountability)
Hasira iliyopo mtaani siyo tu kwa sababu ya kura, bali ni kwa sababu ya DAMU. Hakuna mzazi anayeweza kusahau mtoto wake aliyeuawa au kupotea kisa uchaguzi ama serikali..
- Ushauri: Achana na Tume za kuchunguza kwa miaka. Chukua hatua zinazoonekana sasa. Wale wote (Polisi au Usalama) waliotumia nguvu iliyopitiliza watajwe na wasimamishwe kazi hadharani.
- Faida: Hii itapunguza kiu ya "kisasi" kwa wananchi. Itaonyesha kuwa Dola haibariki mauaji. Bila 'Accountability', wananchi watajichukulia sheria mkononi.
2. Tangaza Mchakato wa KATIBA MPYA wenye Tarehe (Time-Bound Roadmap)
Kiapo chako kimekulinda kisheria, lakini hakijafuta hitaji la mabadiliko ya mfumo. Sababu kuu ya watu kutaka kuandamana ni hisia kwamba "Njia za kisheria zimefungwa".
- Ushauri: Badala ya kusema "mchakato utaanza", tangaza Roadmap yenye tarehe kamili. Mfano: "Kufikia June 2026 tutakuwa na Rasimu Mpya" Na hapa tukitumia Ile ya jaji Warioba ni rahisi kuiboresha kidogo tu..
- Faida: Hii inawapa watu "Matumaini ya Kesho" (Hope for the future). Watu wenye matumaini hawaandamani kuvunja nchi; wanasubiri mabadiliko waliyoahidiwa. Hii ndiyo "Soft Landing" pekee ya kisiasa iliyobaki.
3. Kemea Vikali "Wapambe" Wanaochochea Udini na Chuki
Kosa kubwa linalofanyika sasa ni baadhi ya viongozi (wa dini na serikali) wanaojifanya wanakutetea kwa kutumia lugha za vitisho ("tutawachinja", "sisi wa imani hii dhidi ya wale").
- Ushauri: Mhe. Rais, jitokeze hadharani WAKEMEE watu hawa, hata kama wako upande wako. Waambie kuwa wewe ni Rais wa Watanzania wote, si wa dini moja au chama kimoja.
- Faida: Hii itarudisha imani kwa wale wanaohisi wametengwa. Nchi ikigawanyika kidini, hakuna jeshi litakaloweza kuituliza. Udini ni saratani itakayomaliza utawala wako haraka kuliko maandamano.
4. 'General Amnesty': Futa Kesi za Kisiasa na Uachie Wafungwa
Kuweka watu ndani kwa makosa ya kisiasa au "kubambikiza" kesi za uhaini n.k hakuzuii maandamano, bali kunayatengeneza.
Nahitimisha kwa kusema...
- Ushauri: Tumia mamlaka yako kutoa msamaha kwa makosa yenye asili ya kisiasa yaliyotokana na uchaguzi huu (Kabla, wakati na Baada).
- Faida: Hii inaitwa "De-escalation Strategy". Unapunguza joto la nchi,, Unawapa watu sababu ya kurudi kwenye meza ya mazungumzo badala ya kwenda barabarani.
Mheshimiwa Rais, Dunia inatuangalia, wawekezaji hawaweki fedha kwenye nchi ambayo wananchi wanapigwa risasi barabarani, Uchumi wetu utakufa, na tutageuka kuwa ombaomba.
Usisikilize wanaokuambia "Piga tu, watazoea" Historia inaonyesha nguvu ya umma ikifikia kikomo, hakuna risasi inayotosha,Tumia Busara (Wisdom) badala ya Nguvu (Force). Niliwahi kusema "siku wa kufa wakipatikana kama waliotayari kuuwa walivyosasa itakuwa ni hatari kubwa, na sasa wa kufa wapo tayari wamepatikana"
Mama Nakushauri kama mwanao anavyoweza kukushauri....
Okoa Desemba 9 yetu. Okoa Tanzania yetu.
Wako katika Ujenzi wa Taifa,
(Mtanzania888i)
Lakini mie nawaza mfano kweli kaachia madaraka je ni nini kinafuata baada ya hapo?5.Aachie madaraka kwa kujiuzulu kwani sio rais halali wa nchi yetu.
Hana ridhaa ya wananchi wengi pia uchaguzi uliomuingiza madarakani haukuwa wa haki na huru.
Yes.6.Piga Chini wakuu wa vyombo vyote vya dola.
Kama kungekuwa na uchaguzi huru na haki wa kumpata rais,makamu wake Emanuel Nchimbi angeshika madaraka ya urais na angeendelea kuwa rais kwa muda wa miaka mitano.Lakini mie nawaza mfano kweli kaachia madaraka je ni nini kinafuata baada ya hapo?
Kwahiyo kwa kipindi hicho chote za harakati za kuanda huo uchaguzi mpya tena huru na wa haki nchi inakuwa inaongozwa na nani wakati huo?Kama kungekuwa na uchaguzi huru na haki wa kumpata rais,makamu wake Emanuel Nchimbi angeshika madaraka ya urais na angeendelea kuwa rais kwa muda wa miaka mitano.
Lakini kwa vile uchaguzi wa mwaka huu umekosa sifa zote za kuwa uchaguzi wa kidemokrasia na kinyume chake rais amepatikana kwa hadaa na wizi huku majeshi yetu ya polisi na JW yakimlinda na kumsimika kuwa rais,hatuna budi isipokuwa kuitisha uchaguzi mpya utakaokuwa huru na wa haki.
Kuitisha uchaguzi mpya ndio utatuzi ulio sahihi zaidi.
Kabisa kabisa...shida ni huyo anaelezwa ...KAZI KWELI KWELIHili ni bandiko bora na mwandiko bora na mpangilio bora na ushauri bora na adimu sijui sasa kama watakuelewa😢😢😢
Nchi itakuwa chini ya spika wa bunge.Kwahiyo kwa kipindi hicho chote za harakati za kuanda huo uchaguzi mpya tena huru na wa haki nchi inakuwa inaongozwa na nani wakati huo?
Halafu TUNDU aje kuwa rais au wale makenge wa dodoma?5.Aachie madaraka kwa kujiuzulu kwani sio rais halali wa nchi yetu.