PostGE2025 Ushauri: Rais, ili kuepusha ‘D9’ kuwa siku ya damu na kuanguka kwa uchumi, zingatia haya manne

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa anaekitaka kifo atakipata kifo katika hilo hamna huruma , hataachwa hai nyumbu yoyote anaejaribu kuchoma mali ya mtu yoyote au kuiba mali ya mtu yoyote siku hiyo, kila mwizi au muharibifu wa mali atakufa mbele ya mali aliyoiba au kuharibu.

Katika hilo hamna huruma.
 
Halafu TUNDU aje kuwa rais au wale makenge wa dodoma?
Sio lazima awe tundu tu.

Yoyote atakayeshinda kihalali.

Awe Tundu Lissu,awe Samia,Awe Salumu Mwalimu yoyote yule.

Muhimu uchaguzi uwe huru na haki.

Watu wapige kura kihalali ili kiongozi halali apatikane.

Sio uhuni kama huu uliofanyika mwezi wa kumi.
Your browser is not able to display this video.
 
HAKUNA HATA MOJA AMBALO UMEONGEA SAMIA ANAWEZA KULIFANYA KI UKWELI ...SAMIA ANACHO JARIBU KUFANYA NI KUBUY TIME TU YA KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI
 
5.Aachie madaraka kwa kujiuzulu kwani sio rais halali wa nchi yetu.

Hana ridhaa ya wananchi wengi pia uchaguzi uliomuingiza madarakani haukuwa wa haki na huru.
Hiki ndiyo kitu kigumu chini ya jua ambacho atakifanya
 
HAK

UNA HATA MOJA AMBALO UMEONGEA SAMIA ANAWEZA KULIFANYA KI UKWELI ...SAMIA ANACHO JARIBU KUFANYA NI KUBUY TIME TU YA KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI
Daah ndiyo hivyo sijui tuseme Labda
 
5.Aachie madaraka kwa kujiuzulu kwani sio rais halali wa nchi yetu.

Hana ridhaa ya wananchi wengi pia uchaguzi uliomuingiza madarakani haukuwa wa haki na huru.
Hili ndio jibu hasa linalohitajika
 
1.kimataifa Hawatuelewi
2.Majirani hawatulewi
3.Ndani sisi kwa sisi hatuelewani
Ni balaa Yani tungeweza kutengeneza huku ndani tukaelewana ingekuwa vizuri
 
Hili ni bandiko bora na mwandiko bora na mpangilio bora na ushauri bora na adimu sijui sasa kama watakuelewa😢😢😢
Ulidhani hawajui Cha kufanya basi ndiyo hivyo tu
 
Hapo yeye ajiuzulu ndio tiba ya matatizo yote. Atawafunga polisi waliopiga risasi wananchi vipi wakati amri ilitoka kwake??
Ikiwa hatuna mifumo hata akijuizulu Bado tutakuwa na shida tu
 
Ushauri wako umetupiliwa mbali..
siku zingine usiweke hiyo picha yake

9dec tukutane ni siku ya UHURU.
 
Hivi mnajua mchakato wa katiba kuwa si kitu cha kukalisha ati wabunge etc ni kupata watu ambao wanaweza kuwa neutral bila kuweka maslahi yao mbele. Kwa watanzania ninaowajua, tutatengenezewa kama ile ya JK. Mpaka sasa tunampongeza Warioba kusimamia hili ingawa Policy Takers waliikataa, kwa vile haikuwa inaakisi maslahi yao.
 
Kabisa kama tukiweza kuanzia kwa Ile ya Warioba ilikuwa ni nzuri na Bado ni nzuri...maana kuuanza mchakato kutokea mwanzo ni ishu ... Watu wapo ila kupewa nafasi na kuruhusiwa Kisha watakacholeta kukubaliwa na waliopo juu ndiyo shida shida si watu maana waliotengeneza rasimu ya Warioba ni watanzania na wapo Bado watanzania Bora tu
 
We jamaa bana! Uko serious kweli kumshauri mgonjwa wa akili ambaye hawezi hata kukusikiliza
 
Ushauri mzuri sana ila Dkt Samia nadhani ana majini na hayo majini kuna mtu anayaongoza kufanya maamuzi yake yeye ila siyo yule Samia wa 2021. Tunachokiona leo siyo tu ni ujinga na upumbavu uliopotiliza bali siyo utanzania hata kodogo. Mpaka huyo jini aliyepo ndani yake atolewe labda anaweza jitambua. Hivyo ushauri wako ni HAUWEZI KUTEKELEZWA majini yake yanaamini lazima yamwage damu tena ili kumharibia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…