Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 Kama analo wazo la kuendelea kutuongoza...
Yaan apumzike halafu atoke wa imani hileee,ambayo wakiongoza wao nchi mambo yanakuwa magumu zaidi, ns matukio ya hovyo yanashika kasi.

Nyie watanzania hamjulikani mnataka nini, akipatikana kiongozi muungwana bado mnalialia tu, dawa ndio hiyohiyo, mkamuliwe hadi akili ziwakae sawa ,maana hamjielewi kabisa
 
Kazi ya kiongozi mkubwa kama Rais sio kuchukua hatua kwa mtu mmoja mmoja ispokuwa kwa wateule wake tu wa moja kwa moja...
Watu siyo wa ovyo ila mfumo ndo unajenga watu wa ovyo. Laiti mfumo ungekuwa wa imara basi kila mmoja angewajibika kwa nafasi yake, mhimili mmoja ukienda kinyume na matarajio ya mhimili mwingine basi unastahili kuwajibika kwa mhimili fulani unaojiona ndo mambo yote.

In short kuna watendaji vivuli ambao maamzi yao yanalengo kumfurahisha mwingine. Assad aliuita ni dhaifu na ndo tulitarajia uwe connected kwa kuelezea matatizo ya wananchi na kuiwajibisha serikali.
 
Tunakaribia kukamilisha zoezi la Sensa. Ewe mwananchi hakikisha umehesabiwa. Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais amenitumia huo ujumbe
 
Sheria zinawabana sana wanaokosoa matendo ya serikali kama aliyetumbuliwa juzi tu kisa kuongelea tozo...
Kuhusu suala la mafuta; solution ya kudumu ya suala hili ni kuhamia kwenye nishati mbadala. Kwa mfano magari madogo ya umeme na hivyo kupunguza uhitaji wa nishati ya mafuta. Vinginevyo mwenendo wa bei za mafuta huathiriwa zaidi na sababu za nje kuliko za ndani.
 
Mama hana ujasiri wa kuchukua hatua kwa wezi na wazembe, tunamshukuru kwa miaka yake aliyotufusha 2025 apumzike tu
Halafu aje nani ndio mtamkubali majinga nyie??! Nyie kila rais kwenu hafai, dawa mkamuliwe tozo hadi akili ziwakae sawa,

Bora ya samia kuliko dikteta
 
Mfumo ndio hujenga watu, au watu ndio hujenga mfumo? Kipi ni zao la kipi?
Watu siyo wa ovyo ila mfumo ndo unajenga watu wa ovyo. Laiti mfumo ungekuwa wa imara basi kila mmoja angewajibika kwa nafasi yake, mhimili mmoja ukienda kinyume na matarajio ya mhimili mwingine basi unastahili kuwajibika kwa mhimili fulani unaojiona ndo mambo yote. In short kuna watendaji vivuli ambao maamzi yao yanalengo kumfurahisha mwingine. Assad aliuita ni dhaifu na ndo tulitarajia uwe connected kwa kuelezea matatizo ya wananchi na kuiwajibisha serikali.
 
Yaan apumzike halafu atoke wa imani hileee,ambayo wakiongoza wao nchi mambo yanakuwa magumu zaidi, ns matukio ya hovyo yanashika kasi.

Nyie watanzania hamjulikani mnataka nini, akipatikana kiongozi muungwana bado mnalialia tu, dawa ndio hiyohiyo, mkamuliwe hadi akili ziwakae sawa ,maana hamjielewi kabisa
Kalia imani tu utafikiri zinakulisha wala kukuletea maendeleo. Utakuwa hujielewi wewe unayehusisha imani kwenye utawala. Mi leo namkubali sana Dr. Mwinyi wa zanzibar ni mchapakazi
 
Kalia imani tu utafikiri zinakulisha wala kukuletea maendeleo. Utakuwa hujielewi wewe unayehusisha imani kwenye utawala. Mi leo namkubali sana Dr. Mwinyi wa zanzibar ni mchapakazi
Unaruhusiwa kuhamia kiembe samaki unguja
 
Halafu aje nani ndio mtamkubali majinga nyie??! Nyie kila rais kwenu hafai, dawa mkamuliwe tozo hadi akili ziwakae sawa,

Bora ya samia kuliko dikteta
Mlamba asali lamba taratibu bahati haiji mara mbili,mama atoboi 2025
 
Kapumzike ww shida ni zako ww unazani kuna serikali itakayo kuletea chakula nyumbani kwa ko twende na sami hadi 2030
Ombi la kura ndugu katika andiko langu
 
Rais Mama Samia ni mpango wa Mungu.
Mungu alikuwa na makusudio yake aitawale nchi yetu hadi 2030.
Tutaedelea kumuunga mkono na kumsaidia kwa njia zote ili atimize wajibu wake kama ilivyo kusudiwa.
 
baada ya mama ccm watatuletea jitu gani tena lingine!
Hakika mawazo kama haya yatazidi kuididimiza Tanzania. Mtu umeshakariri kabisa kuwa kuwa CCM ndiyo wana haki ya kukuletea mtu. Ama! Kwa nini usipiganie haki ya kuchagua kiongozi anayefaa na unakubali kuletewa ''jitu''?
 
Mlamba asali lamba taratibu bahati haiji mara mbili,mama atoboi 2025
Ombi la kura ndugu katika andiko langu
 
Katiba Mpya ndio itakuwa muarobaini wa haya yote.
Itasaidia kiasi fulani lakini sio sana. Jamii yenye wahuni na wasanii wengi hata itokee malaika ashuke na katiba toka mbinguni, haisaidii sana.

Kinachiweza kusaidia sana (pamoja au bila katiba mpya) ni jamii kuamua kustaarabika. Ustaarabu hujenga imani, imani huleta kuaminiana, kuaminiana huleta maendeleo ya kweli.

Wewe ukifungua tu MPesa, ukaweka mtu, uwezekano wa huyo mtu kukuibia na kutoroka in most cases ni zaidi ya 80℅ sasa hapo Rais au katiba vifanyeje kwa mfano? Au watu wataendelea kukosa ajira tu!
 
Back
Top Bottom