Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

Hilo la kuwajengea uwezo watu ndani ya vyama ili wawe viongozi bora nakubaliana nawe kabisa. Suala hili tulishalizungumzia sana kwamba; kwa mtu kujiunga na chama, hilo pekee halimsababishi awe kiongozi bora , bali ni lazima pawe na namna ya kumjengea uwezo kwa nguvu kubwa ili akipata nafasi ya kuwa kiongozi awe kiongozi wa maana.

Kwa bahati mbaya jambo hii halijawahi kuchukukiwa kwa uzito unnaostahili na chama chochote nchini.
Nadhani tusingekuwa na viongozi wanaosimama na kujibu. Kijana ambaye hajapata mkopo labda ni raia wa kenya ama asiyetaka tozo ahamie burundi. OVYO kabisa, tunahangaika na vijana wanaoona bora wasifie tu ilimradi waonekane wapate teuzi kuendeleza mfumo wa kijinga.
 
Acha kupuuza mamlaka alikuwa nayo Rais. Usifanye aonekane Sanamu.
Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.

Kazi ya kiongozi ni kutengeneza misingi na mifumo then kila mtu apambane kwa nafasi yake.
 
Hilo la kuwajengea uwezo watu ndani ya vyama ili wawe viongozi bora nakubaliana nawe kabisa. Suala hili tulishalizungumzia sana kwamba; kwa mtu kujiunga na chama, hilo pekee halimsababishi awe kiongozi bora , bali ni lazima pawe na namna ya kumjengea uwezo kwa nguvu kubwa ili akipata nafasi ya kuwa kiongozi awe kiongozi wa maana.

Kwa bahati mbaya jambo hii halijawahi kuchukukiwa kwa uzito unnaostahili na chama chochote nchini.
Mimi sizungumzii ndani ya chama mazee. Nasemea viongozi wanaopatika kutuongoza. Hayo ya vyama tuachie kila chama kinavyoona kwani tukiwa na mfumo mzuri, chama kikizembea basi kitakufa kifo cha mende chenyewe. Kwa mfano wewe unaweza kuwa na mawazo kuwa ''hakuna chama mbadala kwa CCM sasa hivi'' lakini wananchi wakaamua vingine. Mimi nia yangu ni kutaka tuwe na mfumo mzuri wenye ushindani na hayo ya kusema ''hakuna chama mbadala'' yataamuliwa na wananchi.
 
Jisemee wewe siyo uweke sisi wananchi, yeye siyo mwananchi? Ulipewa mamlaka hayo na nani uwe msemaji wa wananchi?
Nasema kwa kuwa ninaishi na kukutana na watanzania wengi tu huku mtaani kwangu ambako watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu na wanaridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watu hasa wanyonge
 
Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.

Kazi ya kiongozi ni kutengeneza misingi na mifumo then kila mtu apambane kwa nafasi yake.
Mazee kwa nini unashindwa kuona logic iliyo kwenye hoja? Rais mzuri pekee hawezi kuwa suluhisho, wala katiba nzuri pekee haiwezi kuwa suluhisho bali ni mwanzo mzuri wa kuikwamua hiyo jamii. Ni lazima tuwe na sehemu ya kuanzia.
 
Shida sio Mama Samia, uwezo mdogo wa fikra kwa 90% ya watendaji ndani ya serikali.

President, ni head of state aliyezungungwa na watu ambao wanapaswa kuwa wabobezi katika kila nyanja ili kwa pamoja nyaya zikiungwa ndio unaoana Taifa linaendelea.
Sytema iliyopo inavuta kokoro lenye kila aina ya wapumbavu ambao mwisho wa siku kazi yao nikuhakikisha wanaendelea kuexist karne na karne, ukijaribu kuishi kwa kufuata taratibu za kisomi watu hawa huwezi kuwaweza.

INATAKIWA CHIZI MMOJA AMBAYE HATOJALI WALA KUSIKIA LA MTU KUSAMBARATISHA WAJINGA WOTE KILA MAHALA KWENYE MIFUMO.
 
Hujasikia utafiti wa twaweza, sisi tumekubali kulipa maana tunachohitaji Ni maendeleo na katika Hilo tunampongeza Sana mh Rais wetu mpendwa maana tunayaona matunda ya tozo zetu kwa kuwa tunaona miradi mbalimbali ikijengwa kutokanaa na tozo zetu, mama tunaendelea kumuunga mkono Sana tu na bado Tunamuhitaji ili aendelee kutuongoza watanzania
Mama apumzike tu 2025 atatua na tozo.
 
Nasema kwa kuwa ninaishi na kukutana na watanzania wengi tu huku mtaani kwangu ambako watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu na wanaridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watu hasa wanyonge
Utakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.
 
Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.

Kazi ya kiongozi ni kutengeneza misingi na mifumo then kila mtu apambane kwa nafasi yake.
Unakaa ulaya? Wewe utakuwa mtu wa kusoma na sio practices.
 
Hujasikia utafiti wa twaweza, sisi tumekubali kulipa maana tunachohitaji Ni maendeleo na katika Hilo tunampongeza Sana mh Rais wetu mpendwa maana tunayaona matunda ya tozo zetu kwa kuwa tunaona miradi mbalimbali ikijengwa kutokanaa na tozo zetu, mama tunaendelea kumuunga mkono Sana tu na bado Tunamuhitaji ili aendelee kutuongoza watanzania
Maisha magumu isipokuwa kwa walamba asali kama wewe
 
Shida sio Mama Samia, uwezo mdogo wa fikra kwa 90% ya watendaji ndani ya serikali.

President, ni head of state aliyezungungwa na watu ambao wanapaswa kuwa wabobezi katika kila nyanja ili kwa pamoja nyaya zikiungwa ndio unaoana Taifa linaendelea.
Sytema iliyopo inavuta kokoro lenye kila aina ya wapumbavu ambao mwisho wa siku kazi yao nikuhakikisha wanaendelea kuexist karne na karne, ukijaribu kuishi kwa kufuata taratibu za kisomi watu hawa huwezi kuwaweza.

INATAKIWA CHIZI MMOJA AMBAYE HATOJALI WALA KUSIKIA LA MTU KUSAMBARATISHA WAJINGA WOTE KILA MAHALA KWENYE MIFUMO.
Hata hivyo mama atawanyoosha tuu subiria apate mrejesho wa namna ya kuboresha utendaji Kazi wa Public service na Vyombo vya dola..

Mama ameshasema atakata bil.500 zinazopotea kwa uncessary expenditure na Amesema atafuta mashirika na kuunganisha mengine..

So systems are working wewe subiria mda utapata majibu tuu..
 
Mimi sizungumzii ndani ya chama mazee. Nasemea viongozi wanaopatika kutuongoza. Hayo ya vyama tuachie kila chama kinavyoona kwani tukiwa na mfumo mzuri, chama kikizembea basi kitakufa kifo cha mende chenyewe. Kwa mfano wewe unaweza kuwa na mawazo kuwa ''hakuna chama mbadala kwa CCM sasa hivi'' lakini wananchi wakaamua vingine. Mimi nia yangu ni kutaka tuwe na mfumo mzuri wenye ushindani na hayo ya kusema ''hakuna chama mbadala'' yataamuliwa na wananchi.
Sasa ukisema huna shida na vyama wakati viongozi ni zao la vyama, ni sawa na kusema huna shida na mbegu, wewe unataka mazao tu.

Halafu ushindani sio ishu sana ikiwa wanaoshindana wote ni hopeless.

Halafu unazungumzia wananchi waamue, sio lazima anayechaguliwa na wengi awe ndio wa maana. Mara ngapi watu wanachaguliwa kwa kishindo na hawana jambo la maana?

Kwa mfano; kwenye jamii inayopenda kuona watu wengine wanateseka, akitokea mgombea mmoja akaahidi kutesa kundi fulani (pengine dogo) na mwingine akaahidi kulilinda unadhani atashinda na ni? Na je atakayeshinda hapo maana yake ndio kiongozi wa maana?
 
Utakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.
Watanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanao

Unazani hao wa ulaya waliyapokea maendeleo Kama kuangua tunda mtini, lazima tuwajibike kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, mh Rais wetu ameongoza njia hiyo hatuna budi kumpongeza na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, tutakuwa tegemezi mpaka lini,tutarishwa mpaka lini, tutahudumiwa mpaka lini, chini ya mama yetu tunataka tuijenge Tanzania Yetu kwa mikono yetu wenyewe
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
Sasa tayari tuna Rais Mzuri (kwa kuanzia), suala la katiba liko kwenye pipeline (rejea hotuba yake na taarifa ya CCM miezi michache iliyopita) na sasa ndio maana tunasema pamoja na hayo tufanye initiatives mbalimbali kubadili mitizamo ya kijamii ambayo nayo ni tatizo kubwa.

Sasa mleta kama yeye anataka Rais aondoke tena, wakati tushakubaliana ndio hatua ya kwanza ya kuanzia.
Mazee kwa nini unashindwa kuona logic iliyo kwenye hoja? Rais mzuri pekee hawezi kuwa suluhisho, wala katiba nzuri pekee haiwezi kuwa suluhisho bali ni mwanzo mzuri wa kuikwamua hiyo jamii. Ni lazima tuwe na sehemu ya kuanzi
 
Hata hivyo mama atawanyoosha tuu subiria apate mrejesho wa namna ya kuboresha utendaji Kazi wa Public service na Vyombo vya dola..

Mama ameshasema atakata bil.500 zinazopotea kwa uncessary expenditure na Amesema atafuta mashirika na kuunganisha mengine..

So systems are working wewe subiria mda utapata majibu tuu..
Atakuwa too late. 2023 hyo hapo, wananchi michosho sana siku hz, usilolijua ni sawa na usku wa giza. Kila ovu lina mwisho wake, rafu zilizofanikiwa zote usidhani kila mwaka wa uchaguzi ztafanikiwa. Yajayo yatahuzunisha
 
Back
Top Bottom