Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Watanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanaoUtakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.
Unazani hao wa ulaya waliyapokea maendeleo Kama kuangua tunda mtini, lazima tuwajibike kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, mh Rais wetu ameongoza njia hiyo hatuna budi kumpongeza na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, tutakuwa tegemezi mpaka lini,tutarishwa mpaka lini, tutahudumiwa mpaka lini, chini ya mama yetu tunataka tuijenge Tanzania Yetu kwa mikono yetu wenyewe
Asali ndio hizi huduma ambazo tumesogezewa karibu yetu na mh Rais wetu mpendwa, juhudi za mh Rais wetu katika kutuinua kiuchumi Ni kubwa Sana na tunapaswa kumuunga mkono Rais wetu, hatupaswi kumkatisha tamaa Bali kumpa faraja maana amejitolea kututumikia watanzania kwa nguvu zake zoteMaisha magumu isipokuwa kwa walamba asali kama wewe