Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #21
Sijui wamepewa nini hawa viongozi na hawa waarabu!!!Au afuatilie mikutano ya CHADEMA Nchi nzima,
Wanapiga kura ya WAZI, Kwa wanaopinga na wanaokubali mkataba wa DP World.
Hadi sasa, hajatokea hata mmoja mwenye kuukubali mkataba Ule fake na BATILI.
Wote wanasema HAPANA waziwazi akiwemo Kishimba PM.
RUSHWA hupofusha ufahamu!!!Sijui wamepewa nini hawa viongozi na hawa waarabu!!!
Ma v 8RUSHWA hupofusha ufahamu!!!
Unamuona na Kitenge sasa hivi katugeuka sasa pamoja na kuwa ndiyo kazi za kijitonyamaSijui wamepewa nini hawa viongozi na hawa waarabu!!!
Huyo jamaa sasa hivi watu wengi wamemdharau sana.Unamuona na Kitenge sasa hivi katugeuka sasa pamoja na kuwa ndiyo kazi za kijitonyama
Kipi cha maana kilichompeleka , huko urabuniMhe, Rais, kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini.
Mhe. Rais ,mijadala mingi inaibuka na kupita, ila huu wa Bandari ni wazi umekuwa na utakuwa endelevu, hivyo fanya jambo la tofauti ,na hili si lingine bali kuitisha kura ya maoni isiyo rasimi kupitia mitandao na hapa napendekeza utumie mtandao wa twitter au ukiweza kupitia hapa JamiiForums vile vile.
Au ikiwezekana, jukumu hilo wape wasaidizi wako kama vile Msemaji wa Serikali ambae nae ana akaunti X
Swali la msingi liwe ni je, unaunnga mkono mkataba huu wa uwekezaji kwenye bandari zetu?
Majibu yawe ni ya kuchagua kati ya haya yafuatayo:
1. NDIO
2.HAPANA
3.SIJUI
Hilo swali mnaweza kuliuiza kwa kuliandika mnavyoona inafaa, ila ujumbe uwe ni huo huo.
Mhe. Rais, nukuu hii hapa chini ya Baba wa Taifa ikuongoze.
Julius Nyerere: Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.
UKISHAAKULA VYA WATU LAZIMA UONE AIBUPengine sababu zinazofanya ashindwe au aone aibu kusitisha zipo nyuma ya pazia ama huwenda zipo nje uwezo wake au akisitisha yaliyonyuma ya pazia yatawelwa wazi na yatamfedhehesha sana na kulitia aibu taifa
V 8 haizidi milioni 400....Ma v 8
Ogopa sana fweeeza na ahadi ya kupewa jimbo moja kati ya Tabora na dsmHuyo jamaa sasa hivi watu wengi wamemdharau sana.
Mbowe alilamba kwa "AR"...yale ya MARA 2005....akayarudia katika kuwasaliti akina Dr.Slaa na Lipumba 2015.....[emoji1787][emoji1787]RUSHWA hupofusha ufahamu!!!
Haturudi nyuma....Atakuja kujilamu kama alivyofanya Mkapa kwenye kitabu chake na hawa kina Zitto watakuwa ni wasomaji tu kama watu wengine.
Sisi tunamkosoa na kumpa ushauri.
Unataka useme hujui walichopewa ???Sijui wamepewa nini hawa viongozi na hawa waarabu!!!