Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
ni mzigo tuHata hao wengine hakuna walichofanya kwasababu kesi za ardhi zimejaa Mahakamani, fikeni Mahakamani muone
kili nyingi za kuhongwa milioni kumi na kusema ni pesa ya mboga? Alikuwa wizara ya Ardhi nini ulifanya?Tibaijuka hawezi kuwa chini ya mama. Yeye ndo alipaswa aongoze nchi sio yeye aongozwe. Akili nyingi sana yule bibi.
Angefanya kipindi yupo wizara ya ArdhiHuyu Prof ana akili sana combination ya raisi Samia + Anna Tibaijuka tutapata kitu, ni Wanawake shupavu sana
Huyu JK alistaafu wakati wa JPM tu, napo kwa nguvu. Lakini baada ya JPM kuondoka siku hiyo hiyo JK alirudi madarakani Sasa anajiandaa kwa awamu ya mwisho sijui. Maana wengine wanasema ngoma mpaka 2035.Kwani JK uwezo wàke wa akili umepungua?; Kastaafu mwaka wa 9 sasa.
Wassira analea wajukuu CCM!Kwa umri wake alee tu wajukuu.
Uzoefu sio ishu, nadhani ampe ili amuweke karibu. Huyu mama akiruhusiwa press conference kama nne tu upepo wa kisiasa utabadilika.Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema
Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikimfuatilia katika speech zake niligundua ana akili sana lakini nikasikitika kuona hayupo tena kwenye mfumo wa Serikali
Huyu Profesa Tibaijuka ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya nje na ndani ya nchi na anaweza kutufikisha mahali tunapostahili
Binafsi nashauri apewe angalao hata Wizara moja hakikia tutavuna kitu kutoka kwake
Sana, ana akili sana naimani hata wanafunzi wake aliowafundisha vyuo vikuu walielewa vizuri sana, ana damu ya uongozi na ualimuTibaijuka hawezi kuwa chini ya mama. Yeye ndo alipaswa aongoze nchi sio yeye aongozwe. Akili nyingi sana yule bibi.
Binadamu anathaminiwa kwa uwezo wa akili sio umriHivi waafrika akili huwa zinakuja mkizeeka ama
Badala mfanye wenyewe bado mnasifia wazee
Hao mda wao umeisha lazima sasa nyie mshike kijiti ila masifa tu
Ndio maana ametoka wa miaka 74 sijui mkampa wa miaka 80
Akili anazo lakini akipiwa hicho cheo hawezi zitumia kuna vitu vitamkabaBinadamu anathaminiwa kwa akili sio umri, huyu Prof ana akili sana msimchukulie poa
Swala la kusema ni hela ya mboga ni kawaida sana kwasababu sifa ya kiongozi lazima uwe na uwezo wa fedha, huwezi kuongoza watu wakakuelewa kama ni maskini sana lakini kiongozi akiwa na uwezo wa fedha inampa sifa, kashfa ya hela ya mboga sio kosa kusema hivyo alitaka kuonesha uwezo wake wa fedha kwamba ana nguvu kubwa ya kiuchumi na hiyo ni sifa ya kiongoziA
kili nyingi za kuhongwa milioni kumi na kusema ni pesa ya mboga? Alikuwa wizara ya Ardhi nini ulifanya?
Akili nyingi kafanya nn Cha maana ? Wenye akili ni wale wa pale Dubai ,Singapore na china ...Miaka ya 90's nchi zao zilikuwa kawaida ila ona Sasa.Tibaijuka hawezi kuwa chini ya mama. Yeye ndo alipaswa aongoze nchi sio yeye aongozwe. Akili nyingi sana yule bibi.
Hakufanya vibaya kukosoa kwasababu hoja zake ni za msingi sana, alitaka kukumbushia swala la rasilimali na hasa ardhi huwa haiongezeki bali watu ndiyo wanaongezeka, kwahiyo tujifunze kutunza rasilimali zetu tusizigawe kwa watu kwani tutabaki mikono mitupuProf. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa! Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia. Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine? Pia soma Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu...www.jamiiforums.com
Aliyefanya ni nani sasa! Nchi za Afrika ni nchi zinazoendelea bado hatujafikia hatua ya kusema kafanya nini, bado zinahitaji kujengwa ndiyo maana ukimtafuta aliyefanya hutampataAkili nyingi kafanya nn Cha maana ? Wenye akili ni wale wa pale Dubai ,Singapore na china ...Miaka ya 90's nchi zao zilikuwa kawaida ila ona Sasa.
Wenzenu Wana uwezo wa kuiba maarifa huyo profesa wako kazi kukariri ,anaamini kutegemea wazungu milele ...Elimu au ujinga ?
Bado mdogo sana ,bado una akili za kukariri ...Huyo profesa wako Hana hata Cha kumzidi Lipumba ,ila Lipumba ni chenga tu kama yeye ...kuwa makini sana wenzenu walijitoa kwa uzalendo :Fuatilia speech ya kiongozi wa Singapore!Aliyefanya ni nani sasa! Nchi za Afrika ni nchi zinazoendelea bado hatujafikia hatua ya kusema kafanya nini, bado zinahitaji kujengwa ndiyo maana ukimtafuta aliyefanya hutampata