TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Huyo mama zaidi ya kamudomo hafai kabisaView attachment 3216526
Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema
Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikimfuatilia katika speech zake niligundua ana akili sana lakini nikasikitika kuona hayupo tena kwenye mfumo wa Serikali
Huyu Profesa Tibaijuka ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya nje na ndani ya nchi na anaweza kutufikisha mahali tunapostahili
Binafsi nashauri apewe angalao hata Wizara moja hakikia tutavuna kitu kutoka kwake
Naona ile pesa ya mboga imeisha sasa kaamsha kamudomo