Hili ni tatizo la maaskofu wetu na viongozi wa dini kwa ujumla, kujihesabia haki, kujiona wana kundi kubwa la wakatoliki wanaowapa mabilioni ya pesa za mavuno basi wanajawa na kiburi.
Kumbuka kuna mashekhe wa uamsho walifungwa miaka saba bila ya kusomewa hukumu yao, huyo Dr Slaa alijisahau na kuongea mambo ya kijinga kwa kigezo hicho hicho cha jeuri ya ukatoliki wake.
Mkuu hivi sasa kuna IGA nyingi sana zinafanya kazi ndani ya mikataba mingi, hawa wanaopiga kelele wameshaona kimeandikwa nini ndani ya hizo IGA?. Tupunguze ujuaji.