Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Keep searching for a 'perfect' woman, hata usiku utapokwisha!

Kwa hesabu za haraka haraka hapo umetumia kama miaka minne ukiwa huna mwanamke mwingine zaidi ya huyo, tangu ile miwili ya umbali naye sijaona kama ulikuwa na wengine ukiacha yule mwanafunzi wa A-level!

Ila kwa imani yako unadhani ipo siku tu utampata the perfect missing rib of yours!

Kitu kimoja nina uhakika nacho, unateseka rohoni kwa kupigana vita mwenyewe... huyo mwanamke ni mke sahihi ila hujajua hilo kwa sababu unamlinganisha na hajakidhi matamanio yako uliyoona kwenye video.

Aaagrhgtidbfboe nimechoka bhana, just forget everything I’ve just said and live your life.
 
Mkuu umenena vyema
 
Pole sanaaa ,lakin kwa mapenz ya sasa ni heri uishi na mwanamke anayekupenda zaidi kuliko unavyompenda ww ....

Kiufupi utafurahia sanaaa hiyo ndoa maana heshima ,kujaliwa ,kusikilizwa kutakuwepo na pia mwanamke atatulia ..

Kama huyo mwanamke ndo wa hiviii ulivyo bro nakushaur oa ..achana na hao unaosema unawapenda utakuja kujuta sanaa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Msipendi to hurt people for useless reason, hujamtendea haki, sasa nikwanini ulianzisha mahusiano mpaka na kumpata watoto baadae unasema hukumpenda,
 
Msipendi to hurt people for useless reason, hujamtendea haki, sasa nikwanini ulianzisha mahusiano mpaka na kumpata watoto baadae unasema hukumpenda,

Unajikuta malaika sana au vipi!
 
Yah ni kweli mkuu...
 
Msipendi to hurt people for useless reason, hujamtendea haki, sasa nikwanini ulianzisha mahusiano mpaka na kumpata watoto baadae unasema hukumpenda,
moja Kati ya watu walioni-inspire Sana kujiunga JF kutokana na michango yao...baada ya kuwa msomaji tu miezi kama 7....
big up mkuu..
 
Wee sigo binaadamu.. wee ni .... !!
Shukuru Mungu .. hiyo (kupata mtoto ni neema) ni baraka ..
 
Unajikuta malaika sana au vipi!
Halafu acha kuwa famba, wewe unatetea kitu gani yani mtu mzima ni kwanini uanzishe mahusiano na mtu usiekua na malengo nae, then unamzalisha kabisa bado unasema sina malengo nae ehh yani huoni mtoto atakulia kwenye mazingira ya kijinga sana ya upande mmoja tu pasipo kupata upendo wa baba, na maisha yakiwa magumu ndiyo mnazalisha watoto mtaani, kama hujui kaa kimya ficha ujinga wako
 

Tunachagua wapenzi wa kuishi nao, wale tuwapendao... hatuchagui watoto wa kuwazaa wala wazazi wa kuzaliwa nao!
 
moja Kati ya watu walioni-inspire Sana kujiunga JF kutokana na michango yao...baada ya kuwa msomaji tu miezi kama 7....
big up mkuu..
Very interesting imenipa faraja kusikia hivyo, hakika ni jambo la heri kuona unawagusa watu katika jamii inayotuzunguka kwa namna moja au nyingine pitia ushauri, kama ulivyosema nimekufanya uwe hapa kwa mawazo yangu machache karibu sana , basi poa mkuu shukrani sana.
 
Hakika boss, inatokea sana kweli karma haiko mbali na itamtafuna, huenda sasa yeye wakati anatafuta atakae vutiwa nae atampata lakini atapitia anayompitisha huyu mwenzake, maana anataka binti atakae mvutia tayari huo ni utumwa na atakae mpata atamfanya huyu jamaa kuwa mtumwa wa kutupwa na atakosa mapenzi anayoyatafuta na kuyakumbuka yale aliyoyaacha
 
Wakati unafanya yote yakutomtaka au visa unavyomfanyia uwa unamfikiria mwanao?
 
He will have the taste of his own medicine. Ni swala la muda mfupi tu! Hata baba yake Mondi alianzia huku huku.
 
Tunachagua wapenzi wa kuishi nao, wale tuwapendao... hatuchagui watoto wa kuwazaa wala wazazi wa kuzaliwa nao!
Kuwa makini sana na chaguzi sasa, na ni kipi ndiyo kigezo chako pindi unachagua.... Kuna vitu vingine sio muhimu sana kuweka kama kigezo namba moja hasa urembo sawa wenge mtakataa ila likija swala la ndoa mimi nitaweka heshima,upendo, hofu ya mungu na awe mwenye kujitambua ila uzuri wa kiasi sio mbaya hasa kwa lengo la kuingia kwenye ndoa, ndoa ni taasisi inahitajai watu makini sana kuyaishi maisha ya ndoa kuliko hata huo uzuri
 
Wazii ngoja akamzimikie cappuccino tunda [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakoma kuringa ...hamna rangi ataacha kuona...halafu huwa mabingwa wa ku-act mademu wa dizaini anayoitaka hasa akiwa na hela baada ya pesa kufunga speed gavana shetani atamuona live

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kubabeki unajuata kumfahamu mwanamke. Huyu jamaa bado amateur kwenye game tusimlaumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…