mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Tatzo utampata unayempenda ww hakupendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah tupo pamoja mkuu ....japo hapo nyuma kidogo michango yako iliadimika ila ni Jambo jema kukuona tena tu-pamoja.Very interesting imenipa faraja kusikia hivyo, hakika ni jambo la heri kuona unawagusa watu katika jamii inayotuzunguka kwa namna moja au nyingine pitia ushauri, kama ulivyosema nimekufanya uwe hapa kwa mawazo yangu machache karibu sana , basi poa mkuu shukrani sana.
Nashukuru karibu muda wowote hata kama una jambo lako pia unaweza nifuata pm tu, tuko pamoja sana ndugu.Yah tupo pamoja mkuu ....japo hapo nyuma kidogo michango yako iliadimika ila ni Jambo jema kukuona tena tu-pamoja.
Anataka kuwa mtumwa wa mapenzi, jela lake ni la milele kifungo cha maisha [emoji23]Tatzo utampata unayempenda ww hakupendi
Rebeca umepotea, nimekumiss sana rafiki,wasikulaumu mwaya,
kukaa na mtu usiyempenda is not healthy kwako na huyo mwenzio,
utam miss treat kwa kuwa humpendi,
then utaishia kuwa GUILTY kwa kufanya hivyo,
na yeye kuonyeshwa hapendwi kutamfanya awe angry at herself and guilty to why you dont love her,thinking why...
Kwa kifupi tunakaa kwenye mahusiano sio kwa kuwa tunapendana 100% bali tuna compromise vitu fulani,
Ukiona unasema humpendi,then hivyo vitu vya ku compromise vimekua vingi mno, na mambo hayako sawa
Solution ni kuondoka kwenye uhusiano wa hivyo,
kama unaweza ongea nae kwa upole au tafuta mtu anayemuheshimu aongee nae,
unaweza kushangaa miezi mitatu baada ya kuachana,yuko happy labda kapata somebody else na ana amani akashukuru uhusiano wenu uliisha...
Umeongea sana point mzee wanguSikia broo, mimi ni Malaya na kitombi haswa Hawa wanawake nimekaa nao Sana Kama uhuni nishafanya Sana ila kitu nilichojifunza ni mpende akupendae hata usipompenda utajifunza taratibu "time heals , time is a good teacher " nikwambie umezingua Sana umeyumba
Siku zote huwezi pata unachokitaka ila upatacho sometimes kinakuja kuwa bora kuliko ulivyotarajia
Kunguru mwana wa manzese
Shukran sana boss.Mkuu umenena vyema
Kwanza huenda mwanamke ni mshirikina,ukizubaa yatakukuta Kama Mimi watoto watatu na sijui nimefikaje hapa nilipo,alivyokuja rafiki yangu anaenijua deep down akasema mbona umepoteza dira,umelogwa mpaka umewekwa kwenye chipa na Sasa inafanyika mipango ya kukua kabisa,wallah ndo akili ikaanza kuzinduka nakumbuka jinsi nikivyopoteza pesa kukaribu kuweka mambo sawa,lakini mchezo wa kuniyumbisha anaucheza yeye akijua siku zitaenda na nitadhika kuwa yeye ndiye wakati sivyo.Hii maisha ya kuganda masomoni na kusahau mambo ya kitaa Ni shughuli,na usijetafuta mwanamke wa kupoozea unapokuwa umetendwa hell noo,inaleta wrong decided fact.Ni shiida Hawa wa kupoozea,kila Mara Tafuta viwango vyako hakuna shortcut hata Kama umetendwa mazima.Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu.
Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha huwa siwezi na ukizingatia sikumuelewa kabisa ikabidi nimpotezee mazima.
Yule binti baada ya hapo hakukata tamaa aliendelea kunitafuta mara kwa mara, kila mara alikuwa akianza yeye, pamoja na kumchunia kote hakukata tamaa na kipindi hicho alikuwa hayupo tena mkoa niliokuwepo!
Muda ulienda ikapita kama miaka miwili, mimi juhudi zangu za kupata mwenzi zikawa zinagonga mwamba, kuna wakati uchumi wangu uliyumba sana na kwa vyovyote nilikuwa nahitaji mtu wa kusimamia shughuli zangu ili mimi nipambane kivingine.
Huyu binti nilimpanga nianze kuishi naye akakubali, hapo kiukweli moyo haukuwepo kabisa kwake, kilichonivuta kwake ni ule uvumilivu na kutoomba hela kabisa. Nikajipa moyo pengine nitampenda nikianza kuishi naye.
Baada ya kama miezi mitatu, alipata ujauzito na mimi mambo yangu angalau yakaanza kwenda mbele. Hapo kuna mwanamke wangu ambaye alikuwa bado A level nilikuwa nachatt naye bado. Kuna siku alikuta sms, akatishia kuondoka akafunga mpaka mabegi, nikaona isiwe kesi nikaomba msamaha nikaita mpaka mtu akaniombea msamaha maisha yakaendelea.
Wakuu kuishi na mtu usie na hisia naye ni kazi sana, nikawa naona yote nafanya kumfurahisha yeye tu, kweli ananipenda sawa lakini kwangu je? Nitajidanganya mpaka lini, nikawa nawaza sana hivi huyu kweli ndo wa kufa na kuzikana? Kifupi sikuwahi kuwa proud na yeye hata siku moja, mapenzi yakageuka mateso bila chuki, hakuna kitu kigumu kama unalala na kuamka na mtu ambaye humpendi na wala huna hisia naye
Miezi ilienda mimba ikawa kubwa ikabidi arudi kwao kujifungua, hapo kwao hawanifahamu zaidi ya kuwasiliana na dada ake. Miezi ilienda akajifungua mtoto wa kike, copy yangu kabisa..furaha yake ilikuwa kubwa ila mimi kwangu ilikuwa tofauti nikawa nawaza sana hatma yetu.
Ilipita miezi kadhaa nikawafuata wakarudi nyumbani, hapo furaha sina najilazimisha tu. Mwanamke naye akaanza visirani vya hapa na pale, tatizo dogo mara atishie kurudi kwao, mara naenda lini kujitambulisha (moyoni nikawa najisemea huyu angejua).
Basi kuna siku katika pita pita huko mtaani kuna binti nikapata namba yake nikaanza kumtongoza kwa kutumia kisimu kidogo, sms inbox nikawa nafuta dah kumbe nilisahau kusett sent item zijifute, basi kwenye pekua pekua yake akakuta zile sms, akalia sana mara mimi nataka kumuua sijui mtoto mdogo n maneno mengine mengi sana.(kifupi toka nimekuwa naye sikuwahi chepuka kabisa). Basi baada ya hapo minuno ikaanza, nikijaribu kujirudi anakaza, nikasema poa isiwe shida.
Siku moja niliamka asubuh, sikumsemesha kitu akaweka maji bafuni sikuoga wala chai aliyoandaa sikunywa nikaondoka zangu, baadaye akatuma sms kwa haya maisha yamemchosha nikamwambia sawa, akataka nauli na mtaji. Nikamwambia mm nina nauli tu, akasema bila mtaji haondoki nikamwambia nauli hiyo hapo, ukiondoka sawa usipoondoka sawa ni wewe.
Kweli akakusanya mazaga yake, asubuh nikawapeleka ubt, wakaondoka. Niseme tu ukweli siku hiyo nilijihisi kutua mzigo mzito sana, nafsi ikawa nyeupe sana, japo nilijua nilimkosea na kumpotezea muda lakini ningefanyeje.
Sasa baada ya kuondoka haikupita hata wiki akaanza kuomba kurudi na kuomba msamaha sana. Kiukweli mimi sikuwa tayari, niligoma na sasa ni mwaka umepita tangu aondoke, kifupi bado sijapata mwanamke wa kueleweka atakayetuliza moyo wangu, kwenye hili wala sina haraka najipa moyo nitampata tu hata kama nitatumia miaka kumpata.
Sasa changamoto inakuja huyu mama wa mtoto wangu, bado hajakata tamaa mpka leo anaamini atarudi kwangu, kumwambia ukweli kwamba simpendi naona itamuumiza sana na hii sioni kama ni option nzuri.
Kwa wazoefu wa mambo, nitumie njia gani kumfanya huyu mwanamke aendelee na maisha yake, najua anadeserve furaha na kupendwa, but kwangu hivyo havipo na kamwe hatakuja kuvipata. Je nitumie njia gani kumuweka ajue kwamba hana nafasi kwenye maisha yangu.
Hivi kuna "utalaamu" wa kutumia condom kwa mwanamke unayeishi naye kama mke na mme.Sasa umemuacha aondoke na binti yako?! Ujinga wa kutotumia condom wakati unajua huna malengo wala mapenzi kwa wanawake zenu ...unapelekea watoto wengi kulelewa na mama/baba wa kambo(hii ni mbaya).
Na hapo umejifikiria wewe umesahau kuna mtoto ako.
Sure mkuu...hakuna kitu kigumu kama kukaa na mwanamke usiempenda ndani...yani unakua unamuona kero tu,kila analofanya unaona kero hata liwe jema vipi. Utakua unamnyanyasa sana kihisia na utajidhulumu nafsi..na hata wakiendelea kukaa pamoja hawatofika mbali maana hakuna mhimili (upendo) ambao unawaunganisha..Mapenzi sio huruma. Ni bora uishi na mtu unayempenda katika maisha yako kuliko usiyempenda. Hata angekuwa dada yangu siwezi kulazimisha aishi na mtu ambaye hampendi
hakuna haja ya kujitesa kwa kivuli cha karma mkuu....imagine akiendelea kukaa na huyo mwanamke afu maisha yao ya ndoa yasiwe na amani wala furaha daima..inakua haina maana mkuuHuyu Karma anayo hakuna namna ataikwepa! Kama anataka kuikwepa aamua moja Amrudie karma isimpate au achomoe Betri Karma iwe sehemu yake ya Maisha. Mdau mmoja hapo juu kapendekeza ufanyapo ngono na mtu usiye mjua vizuri tumia condom.