Viongozi wake wakuu duniani wa hayo makanisa duniani hawafanyi siasaSina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"
Tunaiomba wizara ya mambo ya ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu
Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa
Nawasilisha
Hivyo matamko yao hayawakilishi makanisa yao.Wao sio wasemaji wa juu kabisa wa hayo makanisa
Gwajima yeye ndie msemaji mkuu wa hilo kanisa lake