USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji

Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi

Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa

Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"

Tunaiomba Wizara ya mambo ya Ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu

Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa

Nawasilisha
Lazima mbegu IOZE ili iote, GO GO CCM
 
Wakati ukishauri serikali iyafungie haya makanisa waza yafuatayo
Rc , KKKT wanamiliki vituo vya afya na hospital ngapi?
Shule zinazomilikiwa na hayo makanisa
Vyuo vya kati na vyuo vikuu vinavyomilikiwa na hayo makanisa
Vituo vya kulelea watoto yatima nk
Watanzania walioajiriwa na hayo makanisa kwenye miradi yao mbalimbali
Je serikali iwapo itawafungia inao uwezo wa kuhudumia population ya watanzania iliyokuwa inapata Huduma kutoka kwenye hzo taasisi?
Naungana na wewe
 
Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji

Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi

Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa

Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"

Tunaiomba Wizara ya mambo ya Ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu

Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa

Nawasilisha
Na wewe ufungiwe JF kwa kututupia mavi yako humu jukwaani tena mavi mabichi
 
So it's double standard or what
The same mistake was conducted by those so called prime architects why then to consider this loser architect ufufuo and what
Not double standards, but a grim reality. In Tanzania, Christianity is not a unified front like elsewhere in Europe. The Government knows this weakness, and has chosen to exploit it.

All Christians are equal, but some are more equal than others. Catholics and Protestants are mainstream, while Walokole are in the fringes.​
 
Wazo zuri, ila hujasema taasisi zinazoendeshwa na hayo makanisa zitaendeshwaje?
Wa RC na wa ELCT watapata wapi huduma za kiroho?
 
Hiyo inawahusu vipi jamhuri
 
Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji

Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi

Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa

Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"

Tunaiomba Wizara ya mambo ya Ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu

Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa

Nawasilisha
Wewe unafananisha Makanisa hayo na haya ya akina Kwajima na Kiboko ya wachawi?
 
Back
Top Bottom