Wanao
Read between the line mleta mada Hana hoja ulizo wakilisha... Anaongelea mauaji na utekaji unaokumbatiwa na serikali kwa kuwanyamazisha whistle blowers wadogo kitaasisi. Ni uhuni tu ukweli Samia ka fell big time hana uwezo wa kuongoza nchi.Wakati ukishauri serikali iyafungie haya makanisa waza yafuatayo
Rc , KKKT wanamiliki vituo vya afya na hospital ngapi?
Shule zinazomilikiwa na hayo makanisa
Vyuo vya kati na vyuo vikuu vinavyomilikiwa na hayo makanisa
Vituo vya kulelea watoto yatima nk
Watanzania walioajiriwa na hayo makanisa kwenye miradi yao mbalimbali
Je serikali iwapo itawafungia inao uwezo wa kuhudumia population ya watanzania iliyokuwa inapata Huduma kutoka kwenye hzo taasisi?