Viongozi wake wakuu duniani wa hayo makanisa duniani hawafanyi siasaSina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"
Tunaiomba wizara ya mambo ya ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu
Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa
Nawasilisha
Safi sana. Hili litekelezwe mapema. Then watu warudi kuabudu mizimu ya kwao ambayo haijui siasaSina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"
Tunaiomba wizara ya mambo ya ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu
Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa
Nawasilisha
Umesahau aka yako ya "PONJORO SUGU"!Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"
Tunaiomba wizara ya mambo ya ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu
Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa
Nawasilisha
Alihubiri pia kanisaniKumbe Ile speech Gwajima aliitoa akiwa kanisani kwake?
Kama aliitoa nje ya kanisa kulifungia kanisa lake sio haki
Ili tuishi kama mashetaniSina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia akishadadia "uchochezi"
Tunaiomba wizara ya mambo ya ndani iyafungie na ya kuyafutia usajili mara Moja haya makanisa maana yanaleata sintofahamu kwa nchi yetu
Ni Mimi mtanzania mzalendo Lumumba buku 7 a.k.a Kenge a.k.a chawa
Nawasilisha
Hamaanishi hayo makanisa yafungiwe, anamaanisha kanisa la ufufuo na uzima linaonewa maana makanisa mengi yamepinga uonevu hadharani na hayajaguswa kwa namna yoyote. Kwanini hili tuu?Hakuna serikali duniani iliyo wahi kushindana na Kanisa na ikashinda
Aliye kutamgulia mjini kakutangulia tu. RC ilikuwepo kabla ya serikali nyingi duniani. Mifumo yao imejichimbia chini zaidi. Kabla hujaing'oa basi wewe una ng'oka. Kabla hujaichimbua wewe ndio unachimbuliwa.Kama serikakli hii ni wanaume kwanini msifungie RC,KkT ,,Anglican n.k