USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

Wewe ni kima
 
Viongozi wake wakuu duniani wa hayo makanisa duniani hawafanyi siasa

Hivyo matamko yao hayawakilishi makanisa yao.Wao sio wasemaji wa juu kabisa wa hayo makanisa

Gwajima yeye ndie msemaji mkuu wa hilo kanisa lake
Kama kitu kipo ndani ya mipaka ya nchi husika maana yake hakina uwezo wa kubatilisha uamuzi wowote wa mamlaka, rejea kesi ya Twitter Tanzania
 
Ingekua misikiti imefungwa wangeandamana mpk na nguruwe kwenye msafala wao na kubazi zao.
Kazi ni kipimo cha utu
Msikitini hakuna uchochezi
 
Kumbe Ile speech Gwajima aliitoa akiwa kanisani kwake?

Kama aliitoa nje ya kanisa kulifungia kanisa lake sio haki
HAlafu waliotoa ndani ya makanisa wanaachwa
 
Niliwahi kusema haya makanisa na misikiti ndio vyanzo vya maovu duniani
 
Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
hivi unajua viongozi wa dini ndio wana maamuzi ya damu kumwagika kama unaona kwa nini mnakimbiliaga kuwaomba amani.
Yafungwe TU hakuna namna
 
Waifungie na misikiti maan imekuwa ikimpigia promo mama kwa kuwa ni muumini wao. Kiongozi wa dini kupiga promo za kisiasa kwa mwanasiasa hiyo ni kufanya siasa.
Wao huubiri amani tofauti na makanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…