ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 644
- 569
Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..!
Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya saa 48 zijazo. Kama Rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.
Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.
Nawasilisha!