Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini
"Mtanzania yeyote akikamatwa nje ya nchi na madawa ya kulevya ,usche anyongwe"hayati Mwendazake sasa sijajua huyu wa sasa sijua anawapenda watanzania au vp"""!!!!!!
 
Kazi ya kutoa elimu lazima iwe endelevu hasa kwa Wananchi wetu wanaosoma vichwa vya habari, Wanaosikiliza habari nusu nusu kwa Media za Magharibi. Ningeshauri watu Watazame TV nyingine

Media za Marekani zinamilikiwa ndiyo maana mwandishi atakayeisema Israel anatupwa nje.

Mzozo wa Palestina na Israel umeanza miaka 75 na upo kila siku, Wapalestina wakiuawa kwa mabomu.
Hakuna anayejua kwasababu hizo si habari! haztangazwi

Israel imeua zaidi ya watu 18,000 wengi Watoto na Wanawake na inasema ni 'collateral damage' yaani madhara ya vita. Madaktari kazini, Waandishi wa habari na Watumishi wa UN wameuawa (collateral damage)

Juzi wameua masista wa Kikatoliki sababu ni 'collateral damage' yaani madhara ya vita

Watanzania walikuwa kimya na collateral damage ikitokea.
Tumepoteza Vijana wetu kwa uchungu, je, hiyo siyo collateral damage kama ile wanayosema Waisrael?

Naomba kuelimishwa, kwanini collateral damage inakubalika ikitokea kwa Israel na kwa Hamas ni Ugaidi? why!

Aliyesaidia kukua Hamas ni BB Nyahu ili kuwatenga Wapalestina wasiweze kudai 'two state solution'
Leo 18/12/2023 BB amesema anafurahi kutenda jambo hilo.

Gaza ikawa chini ya Hamas, na West Bank kwa Palestina Authority.
Balozi wa Palestina ni wa West Bank hana mamlaka Gaza. Watanzania masikini hawajui hili

Watanzania wanataka ubalozi utoe maelezo, mbona hatajawahi kupata maelezo ya Balozi wa Ukraine au Urusi kutokana na kifo cha Mtanzania? maelezo kutoka India kwa kifo cha Mtanzania? Maelezo kutoka South Africa kwa kifo cha Watanzania? Kwanini iwe kwa balozi wa Palestina tena asiye na mamlaka na Hamas?

Watu wanasema Hamas ni Magaidi, lakini tujiulize gaidi ni nani na anasifa gani?
Wale masetla wanaoua Wapalestina na kuwapora nyumba na ardhi zao kwanini si Magaidi?

Tumesahau Israle ilishwahi kumuu kiongozi wa Hamas Dubai wakitumia passport za UK na Australia.
Kwanini si Ugaidi? imeua kiongozi wa Nyuklia wa Iran, kwanini si Ugaidi?

Israle imewafungia watu Gaza na kuweka West Bank chini yao, kwanini huo usiwe Ugaidi?
Nani anayetoa sifa za kundi kuwa la Kigaidi?

Nani anaondoa sifa hiyo ambayo ANC ya Mandela pia ilishawahi kuwa nayo?

Watanzania wanasema ndugu zetu wamekufa kifo cha Kikatili. Hakuna kifo cha kikatili kuliko kingine.

Ukatili ni ukatili tu ukifanywa na Mtanzania , Mmarekani, Mwarabu au Mwisrael , Hamas , Kaburu , M23, Kibwetere, Shakahola ni ukatili tu. Hakuna kifo kizuri cha kikatili

Kwanini kelele za kumuondoa Balozi wa Palestna kwa kifo cha kikatili wakati Mtanzania Alphonce Mawazo aliuawa kikatili? Mbwambo kule Arusha alichinjwa na msumeno mbona hatukusikia mkipaza Sauti?

Wale watu kwenye Viroba na mawe coco beach walikufa vifo vizuri!
Wale waliokutwa mto Ruvu nani anajua waliuawa vipi? Nani anajua alipo Azory Gwanda, Ben Sanane na Kanguye hatima zao zipoje ? Yale ya Wamasai ni ukatili Mzuri?

Kwa kutojua Watanzania wanasambaza video bila kujali Familia za marehemu na maumivu wanayopitia.
Zile video zinasaidia ku improve image ya Israel iliyoharibika kutokana na vita.

Wakati huo huo video zinasaidia Hamas kwasababu lengo lao la kutisha Watu wasiende Israel linatimia.
Hamas wanapewa msaada wa propganda kwa ujinga wetu wa kutofikiri sawa sawa na kudakia mambo.

Muhimu zaidi, tuache kusambaza video ili kulinda heshima na kutowaumiza Wanafamilia wanaopitia wakati mgumu sana usioelezeka. TuwafarIji ndugu zetu katika kipindi wanachohitaji faraja zaidi

Tuwape faragha na tusitumie picha za Wapendwa wao kuwaumiza! Tuwe na stara.
Vaa viatu ufikirie yule ni mwanao, mjomba wako, mdogo wako, kaka au rafiki. please tuwe na huruma

Pascal Mayalla Tindo JokaKuu The Boss
 
Panyaroad akiua foreigner ubalozi hausitishwi.
Wameua wahuni na sio serikali ya Palestine
 
Pascal Mayalla Tindo JokaKuu The Boss Watanzania bhaana, umeandika maneno mengiii!! Kwa hiyo Hamas nao wanabalozi zao ktk nchi zingine Kwa sababu wana eneo lao la utawala!? Halafu unatuzuia kusikiliza vyombo vya habari vya nchi za magharibi Kwa sababu haviaminiki na kwamba vinafanya propaganda, Kwa hiyo vinavyounga mkono Hamas vyenyewe vipo sahihi havifanyi propaganda!? Mm nimezungumzia Ukatili aliotendewa raia wa Tanzania, ni Watanzania na serikali yao Ndo wenye wajibu wa kuchukua hatua kali ili kulinda na kutetea raia wake. Kila nchi ina wajibika Kwa raia wake. Na acha kusema kwamba Watanzania hawajapiga kelele kuhusu mauaji ya Alphonse mawazo na wengine pamoja na waliopotea, km Ben wa Saa nane. Utakuwa unawakosea Heshima Watanzania. tumepiga kelele na bado tunapiga kelele ila serikali Ndiyo ipo kimyaa km ilivyo kimyaa sasa hivi Kwa mauaji ya huyu kijana mdogo aliyeuawa na wahuni wa Hamas.
 
ngungwangungwa

Umejeribu kujibu hoja kwa kuchagua ukiacha kujibu maswali niliyouliza. Narudia hoja kwa ufupi

1. Kuna Gaza na West Bank. Aliyechagiza maeneo hayo kutoungana ni Netanyahu kwa theory ya 'divide and rule'
Balozi wa Palestina ni kutoka mamlaka ya West Bank. Mshambulizi yalitoka Gaza! unategemea aseme nini?

2. Ikiwa tunahitaji Balozi wa Palestina aitwe na kushinikizwa aombe radhi kwa Watanzania, mbona kuna Mtanzania aliuawa vitani Ukraine hatukuwahi kumwita Balozi wa Ukraine au Urusi kuomba radhi?
Mbona kuna Mtanzania alikatwa kichwa India, hatukuwahi kumwita Balozi wa India aombe radhi ?
Mbona kuna Watanzania waliuawa kwa Xenophobia South Africa , hatujawahi kumwita Balozi aombe radhi?

Kwanini Balozi wa Palestina anakuwa treated tofauti na Mbalozi wa Ukraine, Urusi, India na S. Africa?

3. Kuhusu vyombo vya habari. Watangazaji wa CNN na TV za Marekani wanaambatana na askari wa IDF, unategemea kupata habari gani? Mtangazaji mmoja wa CNN Corrisa Wad ambaye ni Raia wa middle east ameingia Gaza, habari zake zinaletwa nusu nusu kwasababu ya ukweli anaoonyesha.

Tazama TV zingine kama Aljazeera, halafu ulinganishe na habari za BBC, CNN ili kupata ukweli, ndio hoja yangu
Hivi kwanini unafikiri Israel inaua Waandishi wa Aljazeera, Reuters lakini si wa vyombo vya Marekani?

4. Tunasikia watu wana hemka kwa kauli za '' Hamas ni Magaidi' , well tunauliza maswali haya
Ugaidi ni nini! Nani anaitwa Gaidi, nani anatoa hadhi ya Ugaidi, nani anaondoa hadhi ya Ugaidi!

Kama tuna majibu naomba nielimishwe, kama hakuna majibu ni 'upumbavu' kutumia neno usilojua maana yake
 
hamna ubavu huo wa kumfukuza nendeni mkajipange kanisani na papa kawabariki wote muwe mashoga
 
Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.

Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani kuwa na urafiki wa Kidiplomasia na nchi yenye vikundi vya kihuni na kikatili Kwa kiwango hiki. Kuna wanasiasa wajinga wanawatetea Hamas inashangaza sana..!

Binafsi namuomba Rais wetu amfurushe BALOZI wao ndani ya saa 48 zijazo. Kama Rais hatafanya hivyo, tutaitisha maandamano makubwa Dar na Dodoma kushinikiza huyo BALOZI wa taifa la wahuni atupishe nchini kwetu.

Najua vijana wa system mmejaa hapa JamiiForums na wengine tunawajua, mwambieni Rais amuondoe huyo BALOZI haraka! Kwenye nchi zingine huyo BALOZI angekuwa ameshanyolewa au yeye mwenyewe angejitokeza kukemea huo uhuni na Ukatili uliovuka mpaka.

Nawasilisha!
video ikowapi mkuu??
 
Back
Top Bottom