Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wabongo bhana!! Kama kweli vile. Huo uwezo wa kuandamana na kulipa kisasi mtautoa wapi ndugu zangu ambao mna uoga kuliko hata ule wa kunguru? 😁Jamaa Ni juz tu anawatetea magaid wao eti kwa kusema kuwa Ni watu POA wkt Ni magaidi
Hamas wamemuua mdogo wetu bila kosa lolote dogo anajaribu kuwaelekeza lkn wapi wamemshikiria kana kwamba dogo Ni muisrael muyahudi na Kisha kumiminia risasi zizio na idadi
Sasa tunataka ubalozi huu ufungwe na maandamano makubwa yafanyike kushinikiza balozi aondoke hapa vinginevyo tutalipa kisasi na dunia ijue kuwa Tanzania hatuungi mkono magaidi kwa namna yoyote ile
Nikupongeze waziri wa maswala ya kigeni ndug January makamba Jr kwakuto pepeza maneno kwa kusema kuwa ndgu jushua mollel ameuwawa na magaidi wa Hamas
Yaani badala ya kuandamana nchi nzima ili kuiondoa hii serikali ya CCM inayonuka rushwa, wizi, ufisadi, ujangili, upigaji, na kila aina ya uovu! Tuandamane kuuondoa ubalozi wa Palestina nchini!!
My young bro!! Believe me!! You are not serious at all. 😁