Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Bar maid form 4, single Maza engineerTafuta aliyemaliza form 4
Huu ushaur ni nyoko yalishanikuta sijui utaniambia nini kuhusu hawa malayaMkuu oa huyo bar maid, hiyo kazi yake isiwe kikwazo sana ikiwa anajitambua mana si utamwachisha au? Pia huyo bar maid hatakuwa na jipya la kupapalikia na pia moyo wake uko na amani sana mana ameshazoea fujo, matusi na kejeli za walevi hivyo atakuwa na busara sana.
Kumbuka mwanamke humheshimu na kutokumsahau mwanaume alie fanya aitwe mama shauri yako.
Mkuu nimekuelewa zaidiNisikufiche Hakuna chaguo bora hapo, Endelea tu kufanya mambo mengine ya kimaisha.
Mzee wa Liverpool VPNSijui yule mzee wa kataa ndoa atapita huku
Kha!Wakuu
Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani
Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.
Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo
Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi
Achana na single motherWakuu