Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Tuokoe kukauka vyanzo vya Mai a.k.a maji kwa kunywa sana beerrreee,badala ya mai🤓.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuokoe kukauka vyanzo vya Mai a.k.a maji kwa kunywa sana beerrreee,badala ya mai🤓.
a.k.a Nguvaaa🤓Bar maid
Sio changu******doa😁😁a.k.a Nguvaaa🤓
Ilkuwa je?Huu ushaur ni nyoko yalishanikuta sijui utaniambia nini kuhusu hawa malaya
Huyo bar mais sio single mother!?Wakuu
Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani
Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.
Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo
Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi