Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Wakuu

Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani

Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.

Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo

Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi
Watoto wawili kila mmoja na baba yake bro ur the next victim kama utachagua single mother
 
Mkuu oa huyo bar maid, hiyo kazi yake isiwe kikwazo sana ikiwa anajitambua mana si utamwachisha au? Pia huyo bar maid hatakuwa na jipya la kupapalikia na pia moyo wake uko na amani sana mana ameshazoea fujo, matusi na kejeli za walevi hivyo atakuwa na busara sana.

Kumbuka mwanamke humheshimu na kutokumsahau mwanaume alie fanya aitwe mama shauri yako.
Unaweza Kuta mwanamke ni Bar maid harafu single mom.Patamu hapo 😁😁
 
Hii dunia watu wana roho mbaya sana,wanaokomenti hapa wengine tayari walishaoa single mama,wanaugulia hawataki kusema ukweli ili mwamba apate abcd,the same wapo waliooa barmaid lakini hawataki kutoa uzoefu.......mkuu ukileta Uzi baada ya kuoa mmoja wao ndiyo watakupa majibu 😀😀
 
Back
Top Bottom