Mfanyakazi wa kibanda cha kutoa huduma za kifedha usipompa pin atafanyaje kaziUsimoatie mtu yeyote neno la Siri aka pin......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfanyakazi wa kibanda cha kutoa huduma za kifedha usipompa pin atafanyaje kaziUsimoatie mtu yeyote neno la Siri aka pin......
Hapo mkuu mtafute mtuhumiwa..... Voda hawahusiki kwa sababu hawakukwambia umwajiri mtu.Mfanyakazi wa kibanda cha kutoa huduma za kifedha usipompa pin atafanyaje kazi
Hayo mambo yako ya kukariri darasani weka pembeni. Jamaa ana hoja, hiyo line ni ya biashara, mkataba alioingia nao ni wa huduma ya kutoa na kuweka pesa, huduma hiyo tu. Hoja yake,. Inakuaje, muajiriwa wake ameweza kufanikisha hilo la kukopa bila hao "voda" kumjulisha mmiliki?Narudia tena kusisitiza kwamba
Kwa Kesi yako hii, kabla ya kutoa ushauri wowote ule ni LAZIMA kwanza Mtoa Ushauri anapaswa kujua Wajibu na Haki za kila upande wa Mkataba wenu mliosainiana.
Yawezekana pengine wewe ndiye chanzo cha tatizo hilo kutokea, labda ulizembea mahali, labda haukutekeleza Wajibu wako ipasavyo.
Kumbuka kuhusu: "Agent-Principal Relationship Contract."
Unaweza ukawalaumu VodaCom lakini pengine kumbe huenda tatizo unalo wewe mwenyewe.
Aidha, tambua ya kwamba kwenye kila Mkataba, kuna WAJIBU na HAKI kwa kila upande ulioingia Mkataba.
Kwa namba ya wakala inayoingiza millions kwanini wasikukopeshe wakati wana uhakika wa kukata hela zao ukifeli rejesho🤣 unapigwa kwenye commission.Sidhani kama voda wanakopesha kiasi hicho cha hela kiholela namna hiyo.
Hayo mambo yako ya kukariri darasani weka pembeni. Jamaa ana hoja, hiyo line ni ya biashara, mkataba alioingia nao ni wa huduma ya kutoa na kuweka pesa, huduma hiyo tu. Hoja yake,. Inakuaje, muajiriwa wake ameweza kufanikisha hilo la kukopa bila hao "voda" kumjulisha mmiliki
Hahahah na huu ndio ukweli, yeye kaingia mkataba na Voda. Vodacom hawamtambui huyo kijana wake wa kazi so wanaamini wanafanya kazi na yeye katika huduma zote.Hapo mkuu mtafute mtuhumiwa..... Voda hawahusiki kwa sababu hawakukwambia umwajiri mtu.
Songea pia ulikubali vigezo na masharti kwa kubonyeza 1.
Pole sana
Ova
Duh hio riba kiboko, mimi ningetupa line kummmk kama mbwai na iwe mbwai tu😁 bora kesi iungurume.Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.
Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?
Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?
Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?
Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wapi?
Sitaki salamu na mtu!

Tatizo ulishindwa kuishi nae kwa upendo, hivi mtu anakufanyiaje ubaya kama unaishi nae kibinadamu? Ukute mshahara ulikuwa hulipi kwa wakati unajifanya mwamba na kelele nyingi sasa dogo kapiga kwenye mshono. Pambana na hali yako tu 🤣Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa kufungua kesi.
Inakuwaje line yangu ya biashara aweze kukopea mtu mwingine?
Mimi huduma niliyosajiliwa kwenu ni pamoja na hiyo ya kuomba mikopo?
Hamjui kuwa kwenye viduka vyetu tunafanya kazi na watu wa mshahara?
Uthubutu wa kukopesha ovyo mmeupata wapi?
sasa mkuu mfanyakazi umempa uwakala wa ofisi ya miamala ya M PESA na Tigo pesa tena ana NIDA yako,LESENI,TIN namba na PASSWORD alafu isitoshe wakala anaruhusiwa kukopa kuongeza Float..na kijana amekopa kwa jina lako sababu umempa accss ya taarifa zako zote za biashara.. kwakuwa biashara inamesajliwa kwa majina yako hao voda hawajui nani anaendesha biashara bali wanamtambua mmiliki tu..Namjua ila ndio keshaniibia.
Hili lipo kwa wenye mamlaka hayo (polisi)
Lawama zangu kwa voda ni iweje line niliyosajili kwa NIDA yangu, LESENI YA BIASHARA yangu TIN number yangu.
Alafu mfanyakazi wangu aweze kukopea bila mimi kuwa na taarifa?
Unatoaje milioni hizo bila uthibitisho kuwa mimi mteja wako ndiye ninayekopa?
Sasa hao watamsaidia niniMTAFUTEE chief Godlove. Au MWIJAKU
Mkuu hujui usemalo.Tatizo ulishindwa kuishi nae kwa upendo, hivi mtu anakufanyiaje ubaya kama unaishi nae kibinadamu? Ukute mshahara ulikuwa hulipi kwa wakati unajifanya mwamba na kelele nyingi sasa dogo kapiga kwenye mshono. Pambana na hali yako tu 🤣
Dogo nimekaa nae miaka 5 hadi sasa.Tatizo ulishindwa kuishi nae kwa upendo, hivi mtu anakufanyiaje ubaya kama unaishi nae kibinadamu? Ukute mshahara ulikuwa hulipi kwa wakati unajifanya mwamba na kelele nyingi sasa dogo kapiga kwenye mshono. Pambana na hali yako tu 🤣