Ushauri: Tuache kukosoa stori kwa kusema "chai"

Kama kweli unataka kujifunza basi shukuru hao wanaocall out chai chai. Au unataka kulishwa uongo?
 
Ingependeza uzi huu uwe na kapicha au kavideo..
 
Kama kweli unataka kujifunza basi shukuru hao wanaocall out chai chai. Au unataka kulishwa uongo?
Uwe unasoma na unaelewa unamaanisha siwezi kutofautisha ukweli na uongo? Nitachukua chenye mantiki kisicho na mantiki/uongo naachana nacho. Ninachosema tuache utoto wa kuita stori za watu 'chai' la msahihishe huyo mleta mada au stori kwa kuweka ukweli kupinga uongo wake na sio kusema tu 'chai'
 
Kutunga story na kudai ni kisa cha kweli ndiyo utoto.
 
Watu wanaoandika fiction huwa hawadai kuwa ni visa vya kweli?
Hawa wa JF huhitaji PhD kujua story ni ya kweli au sio kweli. Stori nyingine unaona kabisa ni ya kweli and is based on historical events ambazo zinajulikana but mtu from no where sijui kaishia darasa la pili anakuja utasikia 'chai' it's really annoying na inakatisha tamaa watu wanaotumia muda wao mwingi kuelemisha watu ila watu kama wewe hamuoni hilo na mnaona upande mmoja tu.

Kama ni chai why usijibu kwa hoja badala vihoja?that's why tuna suggests iwekwe ban button. Ili mtu anayeleta mada yake aepuke watu wasio jibu hoja kwa hoja.

Sawa ni chai bring up the fact basi.. ili tupime hiyo ndio JF tunayoitaka
 
Kuna majukwaa ya simulizi nendeni huko na chai zenu. Ukienda MMU ukaweka stori ya uongo tutakwambia CHAI
 
Pole sana, binadamu ndivyo walivyo wazoee tu...
 
Wanakera sana hawa
 
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe,,

Utakuta mtu anaukejeli uzi fulani wa mtu hapa jukwaani,,
wakati yeye mwenyewe hajawahi kuleta uzi wowote hapa ,,
Hata uzi wa ugomvi wa kuku hajawahi andika hapa jukwaani,

Lakini kutwa kusema chai kwenye nyuzi za watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…