Nashauri uongozi wa JF, utengeze namna ambayo user mmoja anaweza kum-ban/block user mwingine ambaye anaonekana ni msumbufu hasa katika lugha za kukera kama matusi, mizaha kwenye jambo serious ni mengine km aliyosema mleta mada.
Baadhi yetu tupo hapa kujifunza mambo mbali mbali na kupata new experience ya vitu mbali mbali ambavyo wengine wanapitia so anakuja mtu from no where tena unakuta hata stori yenyewe hajasoma anamwagia tu kwenye comment utasikia 'chai' it sound nowdays wale watoto wa FB wajaa sana humu so tupewe hiyo option niliyo suggests hapo juu ili kutenganisha pumba na mchele.
If you find the story is rigged just stay away from it without causing any trouble. Itakuwa bora sana. Wengine hatujajaliwa vijapi vya kuandika story msiwakatishe tamaa hao wanaotuburudisha.