USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Bingeni ndo nini, hebu tulia kwanza uandike vitu vinavyoeleweka hapa JF. Kwa style hii nimeamini kuwa Mbowe katepeliwa kwa kuajiri vijana wakurupukaji ndani ya chama. Na pia hata ukiandika kwa kutulia, hela yako kesho utaipata tu pale Ufipa, maana wewe ni chawa mzoefu wa mwenyekiti na makamu wake.
 
Kachimbe shimo pale burigi ili uwe karibu na mumeo
 
Wale wako pale kuuza nyanya zao
 
SIKU ZOTE HAVIKUWA NA UMUHIMU WOWOTE ZAIDI YA SHUKURANI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:
1. Hana eneo analowakilisha( No area of jurisdiction)

2. Analipwa sawa na Mbunge mwenye jimbo ambapo yeye hana wananchi wanaomtegemea.

3. Ubunge wa Viti maalum huzalisha wanawake wanaojipendekeza kwa viongozi wa Chama zaidi kuliko Wananchi.

4. Wabunge hawa hawawajibiki kwa Wananchi. Hasara na mzigo

Mapendekezo:
Mabadiliko ya Katiba kufuta Wabunge wa Michongo, wengi wao ni Wake ama wapenzi wa Viongozi na Wanasiasa na baadhi yao ni nyumba ndogo. Katiba iweke mazingira sawa kwa jinsia zote kugombea na kupata ubunge wa majimbo.

Fedha wanazolipwa zingeweza kununua vifaa tiba kwenye vituo vya afya au hata kuajiri vijana walio mitaani kwa kutumia mamilioni ya bure wanaochukua Wabunge wa viti maalum wasio na majimbo.
 
Nakazia
 
Hao ni kama asante ya wakubwa kwa ndugu,jamaa na rafiki zao bila kusahau nyumba ndogo eg mukya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…