Naunga mkono hii hoja mia kwa mia...Kwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:
1. Hana eneo analowakilisha( No area of jurisdiction)
2. Analipwa sawa na Mbunge mwenye jimbo ambapo yeye hana wananchi wanaomtegemea.
3. Ubunge wa Viti maalum huzalisha wanawake wanaojipendekeza kwa viongozi wa Chama zaidi kuliko Wananchi.
4. Wabunge hawa hawawajibiki kwa Wananchi _ Hasara na mzigo
Mapendekezo:
Mabadiliko ya Katiba kufuta Wabunge wa Michongo, wengi wao ni Wake ama wapenz wa Viongozi na Wanasiasa na baadhi yao ni nyumba ndogo. Katiba iweke mazingira sawa kwa jinsia zote kugombea na kupata ubunge wa majimbo.
Fedha wanazolipwa zingeweza kununua vifaa tiba kwenye vituo vya afya au hata kuajiri vijana walio mitaani kwa kutumia mamilioni ya bure wanaochukua Wabunge wa viti maalum wasio na majimbo.
Unataka wafe njaa?Kwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:
1. Hana eneo analowakilisha( No area of jurisdiction)
2. Analipwa sawa na Mbunge mwenye jimbo ambapo yeye hana wananchi wanaomtegemea.
3. Ubunge wa Viti maalum huzalisha wanawake wanaojipendekeza kwa viongozi wa Chama zaidi kuliko Wananchi.
4. Wabunge hawa hawawajibiki kwa Wananchi _ Hasara na mzigo
Mapendekezo:
Mabadiliko ya Katiba kufuta Wabunge wa Michongo, wengi wao ni Wake ama wapenz wa Viongozi na Wanasiasa na baadhi yao ni nyumba ndogo. Katiba iweke mazingira sawa kwa jinsia zote kugombea na kupata ubunge wa majimbo.
Fedha wanazolipwa zingeweza kununua vifaa tiba kwenye vituo vya afya au hata kuajiri vijana walio mitaani kwa kutumia mamilioni ya bure wanaochukua Wabunge wa viti maalum wasio na majimbo.
MbungeHivi unapokuwa Mbunge viti maalum unapokaa Bungeni mle wenzako wa Majimbo wanakuonaje?
Umechanganya vitu 2 tofauti, kuna Wabunge wa Viti Maalum kila Mkoa wasiopungua 2, kwahyo kwa Mikoa 26 ya Tanzania Bara unazungumzia Wabunge zaidi ya 52 wasio na Majimbo, na wote hawa ni Wanawake ambao kwa uchache kabisa kila mmoja kila mwezi anakunja si chini ya 20mill,.Ninavyojua (ruhusa kunikosoa) Ubunge maalum uliwekwa Kwa sababu maalum , in case Raisi akaona mtu anayefaa kumteua kuwa Waziri ambaye siyo mbunge atalazimika kumteua kuwa mbunge wa Viti maalum ili aweze kukidhi takwa la kikatiba , msimamizi mkuu wa shughuli za kiserikali Kwa wizara Fulani atalazimika kujibu hoja za wabunge kuhusu wizara hyo hivyo lazima awe sehemu ya Bunge ....
Tatizo ndo Hilo kuwa lengo kuu limepinduliwa na hzo nafasi basi imekuwa kichaka cha kulipana fadhila au kufanyiana demotion na hata kuchomeka vimada
Ni ujinga kuwa na wabunge ambao kigezo chao kuingia Bungeni ni jinsia zaoKwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:
1. Hana eneo analowakilisha( No area of jurisdiction)
2. Analipwa sawa na Mbunge mwenye jimbo ambapo yeye hana wananchi wanaomtegemea.
3. Ubunge wa Viti maalum huzalisha wanawake wanaojipendekeza kwa viongozi wa Chama zaidi kuliko Wananchi.
4. Wabunge hawa hawawajibiki kwa Wananchi. Hasara na mzigo
Mapendekezo:
Mabadiliko ya Katiba kufuta Wabunge wa Michongo, wengi wao ni Wake ama wapenzi wa Viongozi na Wanasiasa na baadhi yao ni nyumba ndogo. Katiba iweke mazingira sawa kwa jinsia zote kugombea na kupata ubunge wa majimbo.
Fedha wanazolipwa zingeweza kununua vifaa tiba kwenye vituo vya afya au hata kuajiri vijana walio mitaani kwa kutumia mamilioni ya bure wanaochukua Wabunge wa viti maalum wasio na majimbo.
Kwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:

Sawa mkuuUmechanganya vitu 2 tofauti, kuna Wabunge wa Viti Maalum kila Mkoa wasiopungua 2, kwahyo kwa Mikoa 26 ya Tanzania Bara unazungumzia Wabunge zaidi ya 52 wasio na Majimbo, na wote hawa ni Wanawake ambao kwa uchache kabisa kila mmoja kila mwezi anakunja si chini ya 20mill,.
Wa pili ni Wabunge 10 wa Kuteuliwa na Rais, na wao wanakunja huo mshiko..ukijumlisha na kuzidisha kwa miaka 5 unakuta ni mabilioni ya hela wamelipwa watu bila kazi.
Hawa watu ni mzigo wa Zege kwa Taifa,
Nakubaliana na wewe mkuu sijui wakuu wa mikoa, na DAS watoke tuu wabaki wabunge wa kuchaguliwa tuu … kwanza itawafanya wafanye kazi (wabunge)..Wabunge wa viti maalum, wakuu wa Wilaya, wakuu wa Mikoa, Ma RAS, Ma DAS, nk wanalifilisi tu Taifa letu. Nafasi zao hazina tija yoyote ile kwa walipa kodi wa nchi hii.
I wish ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, ingepitishwa kama ilivyo; ili vyeo vya upendeleo na vilivyopitwa na wakati kama hivi, vingefutiliwa mbali.
Uzuri sijaja inbox kwako kuomba unga!Tafuta ela
Ndio Tiba mzuri ya kuacha tabia ya wivu
Ww unaonea wivu hata wanawake duh
Utitiri wa Viongozi wenye marupuru ya kutupa kila Mkoa...katika nchi ambayo unaambiwa mwalimu mmoja anafundisha watoto 200 mkondo mmoja huku akilipwa kiduchu na kudanganywa kwa kupewa kishikwambi cha afunne bila bando. Hakuna vipaumbele kabisaNakubaliana na wewe mkuu sijui wakuu wa mikoa, na DAS watoke tuu wabaki wabunge wa kuchaguliwa tuu … kwanza itawafanya wafanye kazi (wabunge)..
Na fadhila !Mazingira ya ulaji 😅👍🏾
#CCMOYEEEAAAHH!
Uzuri sijaja inbox kwako kuomba unga!