Huu udhalimu utakwishalini?
Mamilioni ya watz wamesema, sasa iweje watu hawa ambao kimsingi walikuwa vilaza darasani, wajione wako smart hata kupindua matokeo ya kula tulizopiga?
Nionavyo mimi, hii hali ya kutangaza ubunge na kuacha urais ni loop hole ya kuchakachua matokeo. Naamini, wana'delay' ili wananchi wawe full charged walete prukushani na ndani ya hizo chaos waweze kuchakachua kiulaini!
Mie nafikiri saa na muda wa ccm ku'phase-out' umefika, hakuna kumtazama nyani usoni, Dr. Slaa asikubali kuachia ufisadi uendelee kutuwekea mirija kwa miaka mingine mitano, kwani kula sio zake, ni zetu wananchi, asipofanya hivyo atakuwa ametusaliti wananchi. Ki msing it is not up to him to decide, wananchi wameamua and he is to excute.