USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Wakifuta viti maalum utashanga wanaanzisha Meza Maalum. Wajanja sana hawa!
 
Hoja naikubali kw roho safi ila wa kufanya hayo yote c serikali ya sisiem. isipoondoka madarakani hii serikali ya kurithi hakuna mabadiliko yeyote ya kutegemewa hili litatimia tu endapo serikali hii itaondolewa madarakani kwani hawana jipya walichorithi ndo hcho hcho hawafikirii kuongeza lao wala kupunguza. LUCK OF KNOW HOW
 
mi nadhani hivi, tuseme wanawake wanaweza halafu tufutilie mbali viti maalum!
ama wanawake hawawezi halafu tuwape tu ukuu wa wilaya na mikoa, ukurugenzi, etc,
ni kero sana vitu maalum, labda kama ni wa vitu maalum!
HATUNA HELA JAMANIIIIIIIIII...! thanks
 
Hoja ya msingi sana hii, mwanamke hawezi kupata heshima yake kama tutaendelea kuamini kuwa hana uwezo wa kushindana na mwanaume kwenye uchaguzi.

By the way, tuna wanawake wengi wameweza kuongoza majimbo kwa muda mrefu sana, mfano wa Anna Makinda, hii ni ishara kuwa katika Tanzania ya leo mwanamke anachagulika na pale atakaposhindwa sio kwa sababu ya jinsia yake bali ni uwezo wake kama inavyotokea pia kwa wanaume wengi tu.

Tumeona waliokuwa wabunge wa kuchaguliwa majimboni kama Anna Abdallah na Ritha Mlaki ambao baada ya kufanya vibaya kwa kutokidhi matarajio ya wapiga kura wao sasa wamekimbilia kwenye mteremko wa viti maalumu kusiko hitaji uwajibikaji kwa yeyote, huu ni upuuzi.

Kwa nchi maskini kama yetu tunakila sababu ya kuitumia kila senti yetu vizuri kwa maendeleo yetu na katu zisitumike kwa kufurahishana au kuwapendeza wahisani, hatuna uwezo wa kufanya anasa hizo.
 
Naunga mkono hoja hii, hatuhitaji kabisa maalumu. Na sio viti maalumu tu, bali pia napendekeza kusiwepo wabunge wa kuteuliwa, hivi hawa wanafanya nini? kwani wa kuchaguliwa hawatoshi? Mwisho, wakuu wa mikoa pia wasiwe wanaingia bungeni
 
Ni kweli kabisa baadhi yao ni nyumba ndogo,lkn msisahau ni kwa ajili pia wake wa wakubwa,watoto wao na wapambe wao.Katika hao 104,watakao paza sauti zao,sijui hata kama watafika 20.WANAUFANISI MDOGO SANA UKILINGANISHA NA WINGI WAO!
 
The case against Special Seats, Nominated MPs, Z’bar Reps…
Saturday, 04 December 2010 22:11 digg

By Karl Lyimo
A THIRD of Tanzania’s 339-seat National Assembly’s made up of members who didn’t get there through the noble qualification of Merit, Merit and nothing but undiluted Merit to become an MP outside the statutory ‘conditionalities’ in the Constitution and related legislation…

Even the attorney-general (A-G) – who may’ve the best academic and other qualifications in the place – isn’t a popularly elected MP. No wonder he doesn’t vote!

The situation’s even less democratic, because the A-G is an ex-officio MP, appointed by the President. In the event, if he/she crosses swords with the president, the latter can revoke the appointment as easily as pushing a drunk off a log rolling downhill on a wet dark night! [Article 59 of the Constitution…].

The president can also nominate up to ten MPs at will.

For its part, the Zanzibar House of Representatives can shoehorn five of their own into Parliament… To say nothing of the more than one hundred (105 this time) women MPs who saunter into the august House courtesy of the political parties represented in Parliament.

In other words, none of these MPs directly represents the constitutional and constituency electorate in particular – and the Tanzanian people at large! They all represent vested, narrower interests. Their ‘political constituencies’ – if I may stretch the term – are the President (10 nominated MPs-plus-A-G) the political parties (special women seats) and the Zanzibar House!

In such a situation, why should Tanzania spend a fortune on a third of MPs who aren’t representatives of the people in a Govt. that claims to be of, by and for the people? Why? I ask you!

Ideally, at best they shouldn’t be there at all; and at worst, they should have no Vote (along the lines of the ex-officio A-G). They’re in the House at the pleasure of the President, their political parties and the House of Reps!

Secondly, if we must continue to bow to extraneous pressure and continue with the gender equality fallacy, then we must impose a severe limit on that. For instance, special-seat (women) MPs should be limited to a single term regardless. If they’re that good, then they should thereafter be able to carry their weight at the constituency level, where they’d have the advantage of a five-year experience as MPs – which newcomer-candidates (both male and female) don’t have!

What Tanzania really needs is a Parliament founded upon merit; and to dilute that with virtual excess baggage is doing gross disservice to 44m Tanzanians. The President knows this; the MPs themselves know this; the Judiciary knows this… And the up-and-coming Fourth Estate of the Realm – the Press – very well knows this!

We’ve been missing the point all these years…Instead of beating about the bush, engaging in woolgathering and indulging in excessive sentimentalism, we must realize and accept what’s crucial for meaningful and sustainable socio-economic development on the ground – and then work on it!

Mwalimu Nyerere repeatedly warned us against selecting/electing leaders on ground(s) of religion, tribe, ‘old schooldays’ network (Mwenzetu: one of us), etc. But, we’ve gone on doing so… Including a factor that none ever talks about: choosing leaders – both elective and nominative – on political partisanship/affiliation, thereby discriminating against members of ‘other’ political parties!

Of course, nothing’s perfect or ideal… But, that’s largely why our Parliament’s so lopsided in favour of those already in power… And principal public officials, including ministers, are invariably from the ruling party. That’s discrimination just as much as was shutting out male aspirants to the Speaker post last November… Cheers!
 
And while at it, "kupita bila kupingwa" is another nasty piece of business.
 
Hii nimeipenda...!

Jamaa amezungumza ukweli mtupu...! Hivi hii notion ya Special seats itaisha lini? Naona kuna akina mama wanaitumia kama mtaji...!
 
Wana JF; Kwa nchi changa kama Tanzania, ambayo ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani tunahitaji kweli kuwa na "wabunge wa kuteuliwa"??

Wapo pia wabunge wa "Viti Maalum"...kwa mfano wanowakilisha "walemavu"...nadhani hii kidogo is understandable, maana watatetea haki za makundi yao (walemavu)!! Sasa katik ahaya haya makundi maalum nimesikia sasa kuna wabunge wa viti maalum wanowakilisha "NGOs" sijui "UWT", na jumuiya nyingine za wanawake vyama tofauti....

Kweli tunawahitaji hawa?? Wanamuwakilisha nani biungeni? (tuwaache walemavu)!! Kama kweli tunataka wanawake wapewe nafasi, mbona wana uwezo mkubwa tu? Kwa nini wasiende majimboni?...Leo hii eti Anna Abdallah anaingia bungeni kisa yupo UWT?? Eti Ritha Mlaki anawakilisha "NGOs"?? Kuna sijui makundi ya vijana wa vyama etc.....mbona tunachezea fedha za walipa kodi?

Hii imekaaje wana JF??
 
Katiba mpya ndo suluhisho na suala kama ilo. Na si hayo tu. Vyeo ka uVP, unaibu waziri, uRC na uDC,navyo havina tija katika taifa letu.
 
@ RAJ PATEL we need more special seats for what??? ru out of your mind o ur joking?? watu wanawakilisha sijui nini afu wanakaa 5yrz bungeni hata kuongea once hajawahi..!!! kwa watu wenye ulemavu sawa but otherz staff ni kutumia vibaya hela za walipa kodi....! and we say WE DO NAT NEED THEM AT ALL!
 
Special seats hizi, hivi zipo kule kwa Obama na David Cameron pia? Waafrika bwana tuna matatizo upstairs, tunapenda kugawana vyeo!
 
If you ask me get rid of viti maalumu..... Punguza majimbo hence cut the number ya wabunge... Nchi hii, wajukuu zetu watatucheka sana kwa jinsi mababu zao tulivyokuwa mazezeta..... Nchi inaliwa as if there is no tommorrow
 
Habari zenu jf ni wazo binafsi sioni umuhimu wa viti maalamu wanamaliza kodi zetu'hesabu za haraka mbunge anapokea maybe 20 mil per month'salary slip,mfuko wa jimbo' na mengineyo kwenye kamati'kuna wabunge zaidi ya 100 wa viti maalumu hii ina maana kwa mwenzi wanatke bili 2'kwa mwaka ni 24 bil kwa 5 yearz ni 120 bil'ni kiasi kikubwa cha kodi zetu hiko kinapotea bure'kwanza hawachangii hoja'kazi kulala bungeni na viburudisho'hongera kwa halima mdee alionyesha ni maana ya viti maalumu'pili zanzibar ina kadiriwa kuwa na watu laki 8'kwanini itoe wabunge karibu 50 hatuoni ni ubadirifu mkubwa hapo'jimbo la ubungo lina watu karibu 1.5 mil mbunge mnyika mmoja 2 were are going'wizara zipunguzwe ziwe kumi na mbili'tufute manaibu waziri sioni umuhimu wao kwani makatibu wakuu hawapo'
 
Anayejua formula ya kimahesabu inayotumika kupata idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa chama fulani anisaidie.

Nikiipata nitaweka kwenye software zangu ili huko mbeleni tusibabaishane kuchakachuliwa hata idadi ya wagombea viti maalumu.

Naamini lazima kuna thinker mmoja anajua jinsi ya kupata viti maalumu baada ya matokeo ya uchaguzi.

Saidia tafadhali.
 
Anayejua formula ya kimahesabu inayotumika kupata idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa chama fulani anisaidie.

Nikiipata nitaweka kwenye software zangu ili huko mbeleni tusibabaishane kuchakachuliwa hata idadi ya wagombea viti maalumu.

Naamini lazima kuna thinker mmoja anajua jinsi ya kupata viti maalumu baada ya matokeo ya uchaguzi.

Saidia tafadhali.

Nilidhani swali hili nikilileta kwa thinkers humu JF nitapa jibu very fast. Lakini hadi leo hakuna contribution hata moja.
 
Back
Top Bottom