USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Anyway, wangebadilika jamani hata kama ndio vipo hivyo viti. Wengine toka niko darasa la 3 wamo Bungeni hadi leo nina miaka karibu 50 wapo tuuuuuuuuuu eeeikhhhhh!!!
 
Kwa mfano huyu hapa pichani.
Anaacha waumini wake, anaenda kuvizia viti maalumu.
Si agombee basi. anashindwa hata na binti mdogo, Halima Mdee!!

rwakatare.jpg
 
Hii TZ sijui inaelekea wapi kimaendeleo, maana inapiga hatua mbili mbele na kurudi hatua nne nyuma !!!!!!!!!
Kuna vyeo vya kupeana vingi visivyo na nyuma wala mbele !!! huu ni uharibifu wa kodi za wadanganyika!!!!
 
Kwa mfano huyu hapa pichani.
Anaacha waumini wake, anaenda kuvizia viti maalumu.
Si agombee basi. anashindwa hata na binti mdogo, Halima Mdee!!

rwakatare.jpg
Unajua nini Ndibalema, analinda ujasiriamali wake, unamfahamu vizuri.
 
Hawa ndio zeroooooooooooooo lala lala tu bungeni, je since viti maalum vimeanzishwa kuna hata mmoja anaweza kutaja vivid example ya maendeleo au kupingania kilichowapeleka? jibu ni hamna lolote, ni kufuta hawa mzigo mtupu kwa walipa kodi, utawakuta maduka ya vipodozi Dodoma wamejaa jioni, mapooooda tu, kungarisha sura, kula & kulala nimesahau na kupiga miayo bungeni, utasikia Dr Slaa kasema nini..?, sijamwelewa, yaani wapo physically, hawapo mentally, na wengi ni wa CCM
 
Unajua nini Ndibalema, analinda ujasiriamali wake, unamfahamu vizuri.

Yaani nikimwona this, thiiiiiiiiiiis woman, chefuchefu paaaaap kinanijia, ole wao walio manabii wa uongo jehanamu kunawangoja, she is nabii wa uongo, aaaaaaaaaaaahhhh aaanngrrrrrr grrrr hasira, this woman, nooooooo, mara biashara ya dini, MP, mashule yaani shetani
 
na mbaya zaidi ni kuwa wanaochaguliwa ndio wale wale kila baada ya miaka mitano,wengine wanazaidi ya miaka 15 ,je bado tu hawajapata experience ya kwenda kugombea???:hippie:
 
VITI MAALUM MUHIMU SANA KWANI WABUNGE WA KIUME HUWA HAWAENDI NA WAKE ZAO BUNGENI. Vijisenti alikuwa amajaribu lakini naona mama mstari umekula kwake.
 
Hivi viti maalumu vinawekwa ili kubalansisha mahesabu. Hata wale 10 wa kuteuliwa na rais inabidi wafutwe, tayari tuna wabunge wengi kuliko tunaowahitaji. Znz peke yao wako kama 60 ukiangalia population ya Znz haiingii akilini kuwa na wawakilishi wote hawa.

Nadhani itabidi tufike mahali tupunguze hata majimbo ili rasilimali zitumike vizuri, kuna watu kibao wanakwenda mjengoni kusinzia na kusubiri posho.
 
Lakini wengi wa hawa nahisi wanazawadiwa kwa mchango wao wa kampeni za kitanda kwa kitanda
 
Ni muhimu sana katiba ibadilishwe ktk swala hili...tunapoteza fedha nyingi sana kwa kulipa fadhila badala ya kuelekeza fedha hizo ktk miradi inayoleta uuwiano ktk jamii. Maajabu sana kuona Bunge limekuwa na hutumika kama mradi wa kuchumia matumbo ya watu.
 
Kwa kweli mkuu hivi viti maalumu havina tija kwa watanzania, hizi ni gharama za kupuuzi embu angalia hapa chini mishahara pamoja na marupurupu yao;
12,000,000 x 95 kwa mwezi = 1,140,000,000 kwa mwaka 1,140,000,000 x 12=13,680,000,000 kwa miaka mitano 13,680,000,000 x 5=68,400,000,000/= ukichanganya na kiinua mgogngo itakuwa 40,000,000 x 95 =3,800,000,000+68,400,000,000= 72,200,000,000/=

Kwa hiyo taifa linapoteza bilioni 72 kwa wabunge wa viti maalumu

My take: serikali inatakiwa ituambie ni kazi gani hawa watu wanafanya ambayo inaweza kuzalisha zaidi ya Bilioni 72 kwa miaka mitano ili waweze kupata mishara yao na taifa lipate faida pia.
No way! This is getting out of hand bana! vifutwe tu.
 
husawa haupatikani kupitia viti maalumu, bali kwa kuchagua serikali iliyomakini.....hiyo ni kwa wanawake , walemavu etc
 
Kwa kweli mkuu hivi viti maalumu havina tija kwa watanzania, hizi ni gharama za kupuuzi embu angalia hapa chini mishahara pamoja na marupurupu yao;
12,000,000 x 95 kwa mwezi = 1,140,000,000 kwa mwaka 1,140,000,000 x 12=13,680,000,000 kwa miaka mitano 13,680,000,000 x 5=68,400,000,000/= ukichanganya na kiinua mgogngo itakuwa 40,000,000 x 95 =3,800,000,000+68,400,000,000= 72,200,000,000/=

Kwa hiyo taifa linapoteza bilioni 72 kwa wabunge wa viti maalumu

My take: serikali inatakiwa ituambie ni kazi gani hawa watu wanafanya ambayo inaweza kuzalisha zaidi ya Bilioni 72 kwa miaka mitano ili waweze kupata mishara yao na taifa lipate faida pia.

Aisee hii hela ni mingi aisee! hebu mwenye calculator apige hesabu ni sawa na mishahara ya Walimu wangapi, au madarasa yenye full madawati mangapi
 
KWANZA UMEJIUNGA LAST MONTH ILA ULITAKIWA UWE NA POST HATA 20 NA MENGINEYO,LAKINI WEWE NI WA MSIMU HUJUI UNACHOANDIKA WAVAMIA TU POST.. HIVYO KAA MBALI NA SISI USITUAMBUKIZE UPUMBAVU... JAPO SINA MDA MREFU KWENYE JF LAKINI UMEANDIKA UJINGA..
CAH MUIMU KUFANYA KAZI NA SIO KUANGALIA KWAMBA NI UKABILA, UDINI,UFAMILIA , WEWE NI WA WAPI??
NAZANI HUMKUMBUKI NYERERE MANA ALIPINGA SANA AYO MANENO YAKO YA SHOMBO NA YA UPUMBAVU
shkh Yahya

Junior Member

Join Date:
Fri Oct 2010
Posts:
4
Thanks:
0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Good PAS!!!!! Tel him the truth.
 
Wabunge "VITU MAALUMU" wako 96, Mshahara TZS 12mil X 96= TZS 1.152bilioni kwa mwezi; TZS 13.824bilioni kwa mwaka; TZS 69.120bilioni kwa miaka mitano; TZS 3.84bilioni za mafao yao mwishoni...jumla TZS 73bilioni....
KWELI TUNA UTASHI SAHIHI WA KULETA MAENDELEO KATIKA TAIFA HILI?...KUNA SABABU GANI ZA KUWA NA WABUNGE WA viti maalumu?..kun...a nchi zilizoendelea BUNGE ZIMA LINA WABUNGE 96....TAFAKARI; TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Mkuu hata mimi binafsi sijaelewa maana hasa ya hivi wanavyoviita maalum, cha ajabu ni pale hawa wenzetu wa serikali wanapopigania kuongeza idadi ya hivi viti na kuongeza idadi ya mikoa/willaya/wMajimbo/Kata/Tarafa na upuuzi mwingine unaofanana na huo bila kujali huko ni kuongeza gharama za matumizi kwa serikali wakati ma[pato ni yaleyale........Ndio maana nchi itaendelea kukopa na rais kuwa ombaomba!
 
Back
Top Bottom