USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

"Pale ambapo wabunge wa majimbo hawatimizi, sisi tumekuwa tukiziba mapengo"....Esther Bulaya(MP)...Hoja inabaki palepale viti maalum ni mzigo si hatuhtaji waziba mapengo bali mbunge anayetimiza wajibu wake jimboni 100%.
 
NI muda wa kupiga kelele zaidi mkuu husichoke
maana wao hawatachoka kukutoza kodi kila mwezi kuna kila sababu
za kupiga kelele mpaka kilelewe , hii hoja inaitaji umoja wa wananchi maana naona kama
vyama vya siasa hazina mwitikio kabisa na mambo kama haya maana wao ndio wananufaika na hizi nafasi
lakini sisi tunaumia na kuwashabikia, tupige kelele bila kujaru vyama vyetu itawezekana tu,

Nimelipigia kelele hili muda mrefu tu humu. Tunaigharamia sana SIASA huku huduma muhimu kwa WATANZANIA ikidorora vibaya.
 
NI muda wa kupiga kelele zaidi mkuu husichoke
maana wao hawatachoka kukutoza kodi kila mwezi kuna kila sababu
za kupiga kelele mpaka kilelewe , hii hoja inaitaji umoja wa wananchi maana naona kama
vyama vya siasa hazina mwitikio kabisa na mambo kama haya maana wao ndio wananufaika na hizi nafasi
lakini sisi tunaumia na kuwashabikia, tupige kelele bila kujaru vyama vyetu itawezekana tu,
Bunge hili ni kubwa sana ndugu yangu. Majimbo ni mengi bila sababu. Kuna viti 10 vya Rais. Kuna viti 5 vya Baraza la Wawakilishi mbali Wabunge zaidi ya 50 toka NCHI ya Zanzibar! Kwa uchumi huu na ukubwa huu wa Bunge ambako tayari ndani ya miaka hii 50 ya uhuru tumeshajenga majengo makubwa mawili ya Bunge kwa gharama za ajabu, sasa hivi upo mpango wa kujenga nyumba zaidi ya 350 za Wabunge pale Dodoma. Umetengenezwa mfuko maalum wa kuwakopesha Wabunge wote magari kila baada ya miaka mitano. Nusu ya mikopo hiyo italipwa na serikali na riba ya huo mkopo nusu ni asilimia3 tu!
 
Kwa nchi zetu za africa wanawake bado wanadharaulika,mi naona ni jambo jema tu wanawake kupewa hivi viti maalum,ili na wao watoe mchango kwenye jamii, ila sasa malengo yanatumika vibaya sijui mchumba wa fulani, mama mkwe, marafiki.

Siku moja nilikuwa nasoma moja ya hotuba ya hayati Mwalimu Nyerere alipokuwa akiwakumbusha Wanajeshi wetu majukumu.Akatoa mfano wa nchi ya marekani wakati wa kudai usawa kati ya wamarekani weusi na weupe. Ikafikia sehemu akatoa mfano wa kesi zilizokuwa zinaendeshwa mahakamani baada ya weusi kufanyiwa faulo mbalimbali. Unajua Mahakimu walikuwa wanaamuaje? Wanamwita mweupe(mf George) wanamuliza "Bw. George kwa nini umemtemea mate huyu Ghachocha(mweusi)? Hujui kama kwa misingi ya katiba yetu yeye ni sawa na wewe? Haya nendeni,usimtemee tene mate huyu;mko sawa" Unajua nini kinafuata? Usishangae kuona hatua tano kutoka mahakamani ametemewa mate tena na kesi ikawa vilevile!

Labda ntawakera baadhi yenu lakini nakiri siyo lengo langu na naomba nisamehewe. Mpaka hapa mimi nimejifunza kuwa USAWA HAUOMBWI. Usawa huu mnaoutaka wenzetu haupatikani kwa kupitia migongo ya wanaume wanaotuhumiwa kuwanyanyasa.Badala yake mkitaka usawa wenye heshima onyesheni kweli kwamba mnaweza! Msipewe bure! Mkiona wametangaza nafasi na nyie kachukueni fomu. Pigeni kampeni sambamba na wanaume.Mkishinda mtakuwa mmeweza. Mkipewa nafasi tu hapo siyo tu mtakuwa hamwezi bado ila pia mtakuwa mmejidhalilisha zaidi kwa kusubiri kumegewa,Na kwa hiyo mtakuwa hamjui mnafanya nini! Unajua ni kipi kibaya kuliko vyote hapo? Ni hiki kipengele cha kulipa fadhila kwa waliokumegeeni. Mtaendelea KUDHALILIKA TU.(Igeni kwa Hilary Clinton;wale wanaweza!)
Siyo Huko mjengoni tu,kote;mshuleni maofisini mitaani n.k. Mkisikia kuna nafasi 200 za sekondari wafundisheni binti zenu na wadogo zenu kuzipigania hizo 100. Na mkitaka kuonyesha mnaweza "kama wanaume" kama mnavyodai msikubali kushushiwa alama kwa kigezo cha kuwa wanawake.Mkikubali mwisho wa siku itakuwa kweli kuwa mlipeleka wasichana 100 wasio na sifa kwa vigezo ila walioachiwa tu na haohao wanaume ili tu mridhike mko sawa.Haya ni matusi na yataendelea hivyo mpaka muelewe tatizo liko wapi.Msitake kuwezeshwa kabisa!Vinginevyo huo usawa hautakuwa na heshima!Hii kaulimbiu ya kitoto ya "WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA"ifutwe kwani inawafanya dhalili zaidi.Kwamba bila huruma na fadhila za wanaume hamchomoki hapo.Mpaka muwezeshwe!USAWA HAUOMBWI.

Mkiona kuna kikosi cha wanajeshi kinajiandaa kwenda kwenye operationi ulizeni kuna wanawake wangapi wanakwenda? wako kwenye vitengo gani? Msikubali spicial treatment wala favours! Chukueni the same standard,no more no less.Hapa watawaheshimu.Lakini kabla ya 'kukagua majeshi' kakagueni mafunzo ili mhakikishe wanajifunza sawasawa na wanaume,No favours no special treatment. Ndugu zangu safari ya kudai usawa ina miiko.Kama mnanielewa hii ndiyo njia sahihi!

Kwa hiyo kwa mtizamo wangu hivi viti maalum Havina maana.Vimelenga kubeba kundi fulani la marafiki ambao hawajapata nafasi rasmi serikalini.Ila kwa kuogopa upinzani usiseme na wao wakaruhusiwa! Hivi ni kweli kuna mtu anaweza kuniambia inakuwaje kuna MBUNGE wa VITI MAALUM VIJANA.Mbunge ambaye sisi vijana anotuwakilisha hatujamchagua wala hatujashirikishwa uteuzi wake? Huu Ni upuuzi.

Ni kweli kuna wanaosaidiasaidia lakini kwani hata wasiosaidia kwani wanawajibika kwa nani hawa? Ulisikia wana ofisi au bosi zaidi ya waliowateua? Labda tupate mfano; Mbunge wa viti maalum Mh.Mch.Dr. Lwakatare tangu ameingia bungeni hiyo awamu ya nne kuna aliyewahi kumsikia akichangia hoja yoyote? Pamoja na u sifuri huo mbona bado karudi na kiti chake Maalum?

Hii ni hasara kwa taifa.Mishahara nauli na posho jumlisha usafiri na mengineyo! Lakini si ni kweli pia kuwa hii nchi haina viongozi mwenye kuijali? Huu ni mfano tosha. JAMANI TUBADILISHE HII KATIBA KWANZA HALAFU TUANZE KUKAMATANA UCHAWI MCHANA. Hasara hizi si za msingi Kabisa na zinauma kuzitafakari.!!!!
 
Nilikuwa Sijajua kama wapo 102 Duh! Ukiwatizama kuacha wenye ulemavu wengi ni nyumba ndogo na wakwe za wenye nguvu ndani ya vyama.

''Wajiuzulu haraka Sana'' hawana tofauti na wahujumu uchumi Ndio wanaozomea sana bungeni.
Ati wanasema hushirikiana na wabunge majimboni mh!!
Ati Wabunge wasipokuwepo wao hukava nafasi!! oi..
Basi kama ndio hivyo kipato kiwe sawa!? kwa kukaimu tofauti na katiba isemavyo blah!
Wizi mtupu!

Watizame wapime harafu wafanye Uamuzi...W.Mukama
 
Tulishasema sana hapa kwenye jaamii. Viongozi wengi wako slow sana kimawazo
 
Dr kashilia ameongea lakin napingana nae katika mtindo alioshaur kuwa katika majimbo kumi manne wagombee wanawake kwa kwel hiyo sikubalian naye kwasababu wananchi wanataka mwakirish bora atakae watumimikia kwahiyo tusilazimishe kuwawekea wanawake hata kama ni wabovu eti kwasababu tunataka kukidhi haja ya wanawake wanne katika kila majimbo kumi, kinachotakiwa kama wanaweza na wao waingie majimbon wagombee kama wenzao akina Halima Mdee, Anna Kilango na wangineo. Kwahiyo cha muhimu mimi naona kwel viti maalum vifutwe kwasababu moja kubwa kwamba wanatumiwa kwa ajil ya maslah ya watu na maslah ya chama na si kwa maslahi ya wananchi au kwa Taifa. Kitu kingine nakubaliana pia na Dr Kashilila katika swala la wakuu wa mikoa na wilaya inabidi waondolewe kwasababu :-
kama tuna mkurugenzi mtendaj wa wilaya mkuku wa wilaya ni wa kazi gan kama hayupo pale kwa maslahi ya Chama? Na kama tuna katibu wa mkoa Mkuu wa wilaya wa nini? Mwisho nakubaliana kuwa viti maalum vifutwe na wakuu wa mikoa na wilaya wasiwepo na hili suala liangaliwe vizuri katika katiba mpya kama tutaipata. Ni hayo tu kwa Leo. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
kwa uchambuzi ulioufanya nakupa Phd ya uelewa,
miiko ya kuomba omba na kubebwa au kubebana tunatakiwa kuivunja
wenzetu wa ulaya walitupeleka BEIJING na kutujaza ujinga, nchi masikini tukatoka huko tukaanza
kugawa shughuli nyeti za umma kwa upendeleo wa nafasi maalumu za wanawake, (mfano huyo mama ANNA ABDALLA ni lini hatajiweza, ana miaka 30 bado anakalia hivyo viti vya nafasi maalumu, RITA MLAKI kakimbia jimbo na kwenda huko viti maalum, kwa nini kakimbia jimbo? niwazi anataka vya mtelemko, kwanza hii ni sawa na wanawake kugandamizana wenywe kwa wenywe yeye tayari anauzoefu wa siasa kwa nini hakuacha na wengine waingie kwa hizo nafasi ili wapate mwangaza?

wao wakaondoka na kwenda kuwawezesha wanawake bila nafasi za upendeleo na wanasonga,
sisi tumebumaa kiuchumi, kijamii na kifikira kwa kulishwa hizi pumba na wenzitu wakati wao hawafanyi hivyo, mwanamke hawezeshwi kwa kumgawia cheo kisha kumuomba rushwa ya ngono!!!!

Taifa zima litaangamia kwa matumizi haya mabaya ya pesa , tunanenepesha watu bila faida yeyote

Siku moja nilikuwa nasoma moja ya hotuba ya hayati Mwalimu Nyerere alipokuwa akiwakumbusha Wanajeshi wetu majukumu.Akatoa mfano wa nchi ya marekani wakati wa kudai usawa kati ya wamarekani weusi na weupe. Ikafikia sehemu akatoa mfano wa kesi zilizokuwa zinaendeshwa mahakamani baada ya weusi kufanyiwa faulo mbalimbali. Unajua Mahakimu walikuwa wanaamuaje? Wanamwita mweupe(mf George) wanamuliza "Bw. George kwa nini umemtemea mate huyu Ghachocha(mweusi)? Hujui kama kwa misingi ya katiba yetu yeye ni sawa na wewe? Haya nendeni,usimtemee tene mate huyu;mko sawa" Unajua nini kinafuata? Usishangae kuona hatua tano kutoka mahakamani ametemewa mate tena na kesi ikawa vilevile!

Labda ntawakera baadhi yenu lakini nakiri siyo lengo langu na naomba nisamehewe. Mpaka hapa mimi nimejifunza kuwa USAWA HAUOMBWI. Usawa huu mnaoutaka wenzetu haupatikani kwa kupitia migongo ya wanaume wanaotuhumiwa kuwanyanyasa.Badala yake mkitaka usawa wenye heshima onyesheni kweli kwamba mnaweza! Msipewe bure! Mkiona wametangaza nafasi na nyie kachukueni fomu. Pigeni kampeni sambamba na wanaume.Mkishinda mtakuwa mmeweza. Mkipewa nafasi tu hapo siyo tu mtakuwa hamwezi bado ila pia mtakuwa mmejidhalilisha zaidi kwa kusubiri kumegewa,Na kwa hiyo mtakuwa hamjui mnafanya nini! Unajua ni kipi kibaya kuliko vyote hapo? Ni hiki kipengele cha kulipa fadhila kwa waliokumegeeni. Mtaendelea KUDHALILIKA TU.(Igeni kwa Hilary Clinton;wale wanaweza!)
Siyo Huko mjengoni tu,kote;mshuleni maofisini mitaani n.k. Mkisikia kuna nafasi 200 za sekondari wafundisheni binti zenu na wadogo zenu kuzipigania hizo 100. Na mkitaka kuonyesha mnaweza "kama wanaume" kama mnavyodai msikubali kushushiwa alama kwa kigezo cha kuwa wanawake.Mkikubali mwisho wa siku itakuwa kweli kuwa mlipeleka wasichana 100 wasio na sifa kwa vigezo ila walioachiwa tu na haohao wanaume ili tu mridhike mko sawa.Haya ni matusi na yataendelea hivyo mpaka muelewe tatizo liko wapi.Msitake kuwezeshwa kabisa!Vinginevyo huo usawa hautakuwa na heshima!Hii kaulimbiu ya kitoto ya "WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA"ifutwe kwani inawafanya dhalili zaidi.Kwamba bila huruma na fadhila za wanaume hamchomoki hapo.Mpaka muwezeshwe!USAWA HAUOMBWI.

Mkiona kuna kikosi cha wanajeshi kinajiandaa kwenda kwenye operationi ulizeni kuna wanawake wangapi wanakwenda? wako kwenye vitengo gani? Msikubali spicial treatment wala favours! Chukueni the same standard,no more no less.Hapa watawaheshimu.Lakini kabla ya 'kukagua majeshi' kakagueni mafunzo ili mhakikishe wanajifunza sawasawa na wanaume,No favours no special treatment. Ndugu zangu safari ya kudai usawa ina miiko.Kama mnanielewa hii ndiyo njia sahihi!

Kwa hiyo kwa mtizamo wangu hivi viti maalum Havina maana.Vimelenga kubebe kundi fulani la marafiki ambao hawajapata nafasi rasmi serikalini.Ila kwa kuogopa upinzani usiseme na wao wakaruhusiwa! Hivi ni kweli kuna mtu anaweza kuniambia inakuwaje kuna MBUNGE wa VITI MAALUM VIJANA.Mbunge ambaye sisi vijana anotuwakilisha hatujamchagua wala hatujashirikishwa uteuzi wake? Huu Ni upuuzi.

Ni kweli kuna wanaosaidiasaidia lakini kwani hata wasiosaidia kwani wanawajibika kwa nani hawa? Ulisikia wana ofisi au bosi zaidi ya waliowateua? Labda tupate mfano; Mbunge wa viti maalum Mh.Mch.Dr. Lwakatare tangu ameingia bungeni hiyo awamu ya nne kuna aliyewahi kumsikia akichangia hoja yoyote? Pamoja na u sifuri huo mbona bado karudi na kiti chake Maalum?

Hii ni hasara kwa taifa.Mishahara nauli na posho jumlisha usafiri na mengineyo! Lakini si ni kweli pia kuwa hii nchi haina viongozi mwenye kuijali? Huu ni mfano tosha. JAMANI TUBADILISHE HII KATIBA KWANZA HALAFU TUANZE KUKAMATANA UCHAWI MCHANA. Hasara hizi si za msingi Kabisa na zinauma kuzitafakari.!!!!
 
ukiweka wa rais na hivyo vikundi vingine ni karibu 120,
cha kushangaza hayo makundi yanaishi wapi, kama ni shule ziko majimboni, walemavu ni watu kama sisi wanaweza kuwakilishwa vizuri tu na wabunge wa kawaida, kwa kifupi kodi yetu haina wa kuilinda

Nilikuwa Sijajua kama wapo 102 Duh! Ukiwatizama kuacha wenye ulemavu wengi ni nyumba ndogo na wakwe za wenye nguvu ndani ya vyama.

''Wajiuzulu haraka Sana'' hawana tofauti na wahujumu uchumi Ndio wanaozomea sana bungeni.
Ati wanasema hushirikiana na wabunge majimboni mh!!
Ati Wabunge wasipokuwepo wao hukava nafasi!! oi..
Basi kama ndio hivyo kipato kiwe sawa!? kwa kukaimu tofauti na katiba isemavyo blah!
Wizi mtupu!

Watizame wapime harafu wafanye Uamuzi...W.Mukama
 
Dr kashilia ameongea lakin napingana nae katika mtindo alioshaur kuwa katika majimbo kumi manne wagombee wanawake kwa kwel hiyo sikubalian naye kwasababu wananchi wanataka mwakirish bora atakae watumimikia kwahiyo tusilazimishe kuwawekea wanawake hata kama ni wabovu eti kwasababu tunataka kukidhi haja ya wanawake wanne katika kila majimbo kumi, kinachotakiwa kama wanaweza na wao waingie majimbon wagombee kama wenzao akina Halima Mdee, Anna Kilango na wangineo. Kwahiyo cha muhimu mimi naona kwel viti maalum vifutwe kwasababu moja kubwa kwamba wanatumiwa kwa ajil ya maslah ya watu na maslah ya chama na si kwa maslahi ya wananchi au kwa Taifa. Kitu kingine nakubaliana pia na Dr Kashilila katika swala la wakuu wa mikoa na wilaya inabidi waondolewe kwasababu :-
kama tuna mkurugenzi mtendaj wa wilaya mkuku wa wilaya ni wa kazi gan kama hayupo pale kwa maslahi ya Chama? Na kama tuna katibu wa mkoa Mkuu wa wilaya wa nini? Mwisho nakubaliana kuwa viti maalum vifutwe na wakuu wa mikoa na wilaya wasiwepo na hili suala liangaliwe vizuri katika katiba mpya kama tutaipata. Ni hayo tu kwa Leo. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

hao nao ni kundi jingine la wameza kodi zetu, na hapo sasa ndipo una weza kukuta tunapoteza karibu one bilioni kila mwezi kwa hivi nyeo visivyo na manufaa kwa pamoja na hao wabunge wa viti maalumu
soma hapa kutokana na kukosa kazi au mgongano wa madalaka katika ya wakuu wa wilaya na wakurungezi kinachotokea ni hiko

http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=30307
MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Halima Dendego, amepewa siku 21 kumsafisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Ephrem Kalimalwendo, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Akizungumza kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam jana, Kalimalwendo alisema kwamba tuhuma za ubadhilifu katika ununuzi wa matrekta madogo maarufu kama power tillers zilizotolewa na mkuu huyo dhidi yake si za kweli.
Awali, Dendego aliamuru kukamatwa kwa mkurugenzi huyo na watu wengine kadhaa kwa madai kuwa waliingia mkataba mbovu na kampuni ya Millysteel Distributors ya Dar es Salaam wa kununua matrekta 50 yenye thamani ya sh 225,000,000.
"Pamoja na kwamba mzabuni huyo alishinda kihalali kabisa kwenye mchakato wa manunuzi kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2004 lakini baada ya kuchelewa kutimiza makubaliano hayo mimi kwa nafasi yangu, nilivunja mkataba huo ili kutoa nafasi ya kupata mzabuni mwingine," alisema Kalimalwendo.
Mikataba hiyo ilivunjwa kwa barua yenye kumbukumbu namba KDC/B.10/3 ya Oktoba 6 mwaka jana baada ya kukubaliwa na vikao husika vya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
Kalimalwendo, kwa mujibu wa maelezo yake, alilazimika kuwa nje ya ofisi mwezi mmoja baadaye na kukabidhi ofisi kwa wasaidizi wake na tangu hapo hajui kilichoendelea nyuma yake.
"Ni hapo ndipo ninaposhangaa iweje na mimi niingizwe kwenye tuhuma za ununuzi wa power tillers hizo wakati zilipokewa baada ya kuvunjwa mkataba na mimi wala sikuwapo tena ofisini?" anahoji Kalimalwendo.
Alimtaka Mkuu wa Wilaya kutoa vielelezo kuthibitisha tuhuma zake ndani ya siku 21 vinginevyo angelazimika kutumia vyombo vya kisheria kujisafishia jina na hadhi yake.
Akijibu swali huhusu tuhuma zinazoelekezwa kwenye halmashauri hiyo na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) kuwa ilitumia sh 15,000,000 mwaka 2008/09 kwa matengenezo ya Injector Pump ya gari, Kalimalwendo alikiri kuwapo kwa matengenezo hayo.
"Lakini nadhani kuna makosa katika usahihi wa uandikaji wa tarakimu hizo. Ukweli injector pump ya gari hilo STJ 6392 la Idara ya Kilimo ilitengemezwa kwa sh 1,663,200 na si kama LAAC inavyosema.
"Malipo ya matengenezo hayo yalifanyika kwa LPO namba 0565 tarehe Agosti 19 2008, na ndio malipo pekee ya utengenezaji wa injector pump kwa mwaka huo," alisema Kalimalwendo.

MY TAKE: TKUNA MANUFAHA GANI HAPO KWA TAIFA?
HAO WANAGOMBANA KWA SABABU HAKUNA MFUMO MZURI WOTE WAKO LEVEL YA WILAYA LAKINI WANATUNISHIANA MSULI KWA SABABU HAKUNA WA KUMWAMBIA MWENZAKE KITU, KILA MTU NI BOSI ,
HAPO TUNAITAJI MMOJA TU MKURUGENZI MKUU WA WILAYA NI MWANASIASA
 
Hawa si viti maalumu, bati ni vitu maaluma, kwa ajili maalumu, kwa watu maalumu, sehemu maalumu, muda maalumu,watakapo hitajika nawasilisaha
 
nadhani hatafukuzwa kazi kama TIDO MUHANDO kagusa chakula ya wazee
Sijuhi Kashirira naye ataitwa mchochezi,tusubiri

kimsingi wanaongeza umasikini kwa kufaidi rasilimali zetu,napendekeza tutafuta ratio kwa kila mkoa labda tuweke tu kwamba pale chama kinaposimamisha wagombea wake ama kimajimbo ama kimkoa basi iwe razima kila chama kitenge asilimia kadhaa ya wagombea wake eg.20% wawe ni akina mama

na wao waende wakasimame majukwaani waombe kura watakaochaguliwa waende na watakaoshindwa kwenye kura basi ilimradi vyama vitakuwa vimewasaidia kwamba walipewa nafasi lakini kupitia sanduku wananchi hawajamchagua fulani

nadhani hii itasaidia kuwabeba kichama lakini na wao watakuwa wameonesha wamepigana na wananchi wamewaridhia ...hii vipi wanajamii
 
tatizo wanawake wamejilegeza mno, badala ya kupambana kama wanavyodai 50 kwa 50 sasa wanakuwa wanategemea jeck za wanaume, na mbaya wanaume wasiomuogopa Mungu ukijipendekeza kuwa karibu yake lazima akuchakachue kwa kukuahidi viti maalum. wanawake andamaneni kupinga kupewa viti maalumu. Mnadharilishwa kwa hilo

Labda hao wanawake wakianza, baadaye hata Tanzania nzima tutaandamana kwa kudhalilishwa na misaada toka nchi za nje ama na kuibomoa CCM iliyotujengea (wake kwa waume) tabia ya kupenda utegemezi.
 
Nimekuelewa

siku moja nilikuwa nasoma moja ya hotuba ya hayati mwalimu nyerere alipokuwa akiwakumbusha wanajeshi wetu majukumu.akatoa mfano wa nchi ya marekani wakati wa kudai usawa kati ya wamarekani weusi na weupe. Ikafikia sehemu akatoa mfano wa kesi zilizokuwa zinaendeshwa mahakamani baada ya weusi kufanyiwa faulo mbalimbali. Unajua mahakimu walikuwa wanaamuaje? Wanamwita mweupe(mf george) wanamuliza "bw. George kwa nini umemtemea mate huyu ghachocha(mweusi)? Hujui kama kwa misingi ya katiba yetu yeye ni sawa na wewe? Haya nendeni,usimtemee tene mate huyu;mko sawa" unajua nini kinafuata? Usishangae kuona hatua tano kutoka mahakamani ametemewa mate tena na kesi ikawa vilevile!

Labda ntawakera baadhi yenu lakini nakiri siyo lengo langu na naomba nisamehewe. Mpaka hapa mimi nimejifunza kuwa usawa hauombwi. Usawa huu mnaoutaka wenzetu haupatikani kwa kupitia migongo ya wanaume wanaotuhumiwa kuwanyanyasa.badala yake mkitaka usawa wenye heshima onyesheni kweli kwamba mnaweza! Msipewe bure! Mkiona wametangaza nafasi na nyie kachukueni fomu. Pigeni kampeni sambamba na wanaume.mkishinda mtakuwa mmeweza. Mkipewa nafasi tu hapo siyo tu mtakuwa hamwezi bado ila pia mtakuwa mmejidhalilisha zaidi kwa kusubiri kumegewa,na kwa hiyo mtakuwa hamjui mnafanya nini! Unajua ni kipi kibaya kuliko vyote hapo? Ni hiki kipengele cha kulipa fadhila kwa waliokumegeeni. Mtaendelea kudhalilika tu.(igeni kwa hilary clinton;wale wanaweza!)
siyo huko mjengoni tu,kote;mshuleni maofisini mitaani n.k. Mkisikia kuna nafasi 200 za sekondari wafundisheni binti zenu na wadogo zenu kuzipigania hizo 100. Na mkitaka kuonyesha mnaweza "kama wanaume" kama mnavyodai msikubali kushushiwa alama kwa kigezo cha kuwa wanawake.mkikubali mwisho wa siku itakuwa kweli kuwa mlipeleka wasichana 100 wasio na sifa kwa vigezo ila walioachiwa tu na haohao wanaume ili tu mridhike mko sawa.haya ni matusi na yataendelea hivyo mpaka muelewe tatizo liko wapi.msitake kuwezeshwa kabisa!vinginevyo huo usawa hautakuwa na heshima!hii kaulimbiu ya kitoto ya "wanawake wakiwezeshwa wanaweza"ifutwe kwani inawafanya dhalili zaidi.kwamba bila huruma na fadhila za wanaume hamchomoki hapo.mpaka muwezeshwe!usawa hauombwi.

Mkiona kuna kikosi cha wanajeshi kinajiandaa kwenda kwenye operationi ulizeni kuna wanawake wangapi wanakwenda? Wako kwenye vitengo gani? Msikubali spicial treatment wala favours! Chukueni the same standard,no more no less.hapa watawaheshimu.lakini kabla ya 'kukagua majeshi' kakagueni mafunzo ili mhakikishe wanajifunza sawasawa na wanaume,no favours no special treatment. ndugu zangu safari ya kudai usawa ina miiko.kama mnanielewa hii ndiyo njia sahihi!

Kwa hiyo kwa mtizamo wangu hivi viti maalum havina maana.vimelenga kubebe kundi fulani la marafiki ambao hawajapata nafasi rasmi serikalini.ila kwa kuogopa upinzani usiseme na wao wakaruhusiwa! Hivi ni kweli kuna mtu anaweza kuniambia inakuwaje kuna mbunge wa viti maalum vijana.mbunge ambaye sisi vijana anotuwakilisha hatujamchagua wala hatujashirikishwa uteuzi wake? Huu ni upuuzi.

Ni kweli kuna wanaosaidiasaidia lakini kwani hata wasiosaidia kwani wanawajibika kwa nani hawa? Ulisikia wana ofisi au bosi zaidi ya waliowateua? Labda tupate mfano; mbunge wa viti maalum mh.mch.dr. Lwakatare tangu ameingia bungeni hiyo awamu ya nne kuna aliyewahi kumsikia akichangia hoja yoyote? Pamoja na u sifuri huo mbona bado karudi na kiti chake maalum?

Hii ni hasara kwa taifa.mishahara nauli na posho jumlisha usafiri na mengineyo! Lakini si ni kweli pia kuwa hii nchi haina viongozi mwenye kuijali? Huu ni mfano tosha. Jamani tubadilishe hii katiba kwanza halafu tuanze kukamatana uchawi mchana. Hasara hizi si za msingi kabisa na zinauma kuzitafakari.!!!!
 
MKUU NI KWELI UNALIVYOSEMA LAKINI MIMI NALIONA KAMA NI SUHALA LA KITAIFA ZAIDI KULIKO CHAMA, ccm wanafanya haya kwa sababu wanajua watanzania ni wapole na wavumilivu wa kila aina ya ujinga.
kila nchi unayoijua duniani yenye maendeleo yameletwa na wananchi wenyewe na sio vyama vya siasa, kipindi hawa ccm wanajivua gamba na chadema wa piga kampeni kuleta mabadiliko katika nchi.
ni wakati sasa sisi wananchi kujivisha gamba la uzalendo na kupigania nchi yetu.

kwa maelezo zaidi soma signature yangu hapo chini
ni ujumbe kutoka kwa mwanaharakati Martine Luther Jr

Labda hao wanawake wakianza, baadaye hata Tanzania nzima tutaandamana kwa kudhalishwa na misaada toka nchi za nje ama na kuibomoa CCM iliyotujengea (wake kwa waume) tabia ya kupenda utegemezi.
 
Hapo akina ****** watapinga vibaya mno manake mnagusa maslahi yao, watakosa totoz?????
 
zaidi ya asilimia 100 wamegawa uroda wakapata viti maalum,hadi leio ndio viburudisho dodoma.angalia akina getruda lwakatare anadai kuwaombea watu wawe na tabia njema je kwa nini waasiwaombee mafisadi wenzake waache wizi?anaombea ndoa za watu zidumu je yeye mbona hana mume ya kwake ilimshinda au nyani haoni kundule!
 
Back
Top Bottom