lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
huyo naye anaitaji kuwezeshwa?
kwanza ana majukumu mengi sana ya kidini na kibiashara (st mary's school) lakini Rais hakakosa watu waliojaa hii nchi wenye muda wa kutosha na mawazo mapya yenye uzalendo kwa nchi ila hakakuona huyo mama?
kuna siri nyingi sana zimejificha kwenye hivyo viti maalumu!!!!!
manufaa yake ni kwa watawala zaidi kuliko wananchi,
kuna mama nini mfahamu ndoa yake hiko kwenye matatizo kwa sababu ya kutumiwa wakati wa kutafuta hivyo viti, je huyo anaweza kuwa mwaminifu kwa taifa kweli kama kaisaliti ndoa yake?
siwe kumtaja kwa sababu naheshimu sana familia yake
lakini waliofanya hivyo na kupata hivyo viti ni wengi kama sio wote, wengine wamepata kwa sababu ya uhusiano wa karibu na viongozi au vigogo kwenye vyama vyao.
ni bora kuokoa hizo pesa kuliko kuzipoteza kwenye mambo yasiyo na msingi, hizi viti vifutwe.

zaidi ya asilimia 100 wamegawa uroda wakapata viti maalum,hadi leio ndio viburudisho dodoma.angalia akina getruda lwakatare anadai kuwaombea watu wawe na tabia njema je kwa nini waasiwaombee mafisadi wenzake waache wizi?anaombea ndoa za watu zidumu je yeye mbona hana mume ya kwake ilimshinda au nyani haoni kundule!