hapa nime copy kauli ya nape kwenye mtandao wa facebook.
WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa
Iliongezwa saa 3 zilizopita · ·
- Watu Watu 14 wamependezwa na hii.
- haya ni baadhi ya maoni ya watu waliochangia
- http://www.facebook.com/profile.php?id=100000944989509 Edward Mollel mmmh..!!! mheshimiwa aibu kwao tena..!!!daaah.!!hii imekaaje ndugu.? sio kwamba wao walikuwa wanatoa changamoto katika kazi...kwa maendeleo ya chama na taifa kwa ujumla....!!!??? sijui lakini wewe unamchukuliaje mwanachama ambaye yupo huru kuhoji au kutoa hisia juu ya mtazamo wake kwa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla..!!!??? Masaa 3 yaliyopita ·
Keneth Mkuchu kweli mnajivua gamba, lakn hali haitakuwa
<LI class="uiUfiComment comment_518836 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=500927718 Emmanuel N.M.Manase Vita hii mnapigana wachache kwa nini?ileteni katika sura ya kichama zaidi!vita iwe ya chama kizima!UVCCM wako wapi? Masaa 2 yaliyopita · ·
Mtu 1Inapakiwa...
<LI class="uiUfiComment comment_518846 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=649530740 Kimweli Mtonga Uvccm wafanyeje emanuel? Beside hii si vita ya wengi maana ni maamuzi ya vikao! Masaa 2 yaliyopita ·
<LI class="uiUfiComment comment_518850 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100000500786047 John Ibrahim Nape wewe ni kiongozi usitoa tungo tata. zimetoka lini, kwa hiyo tutegemee mapacha watatu kukosa chama siku chache zijazo??? Masaa 2 yaliyopita ·
<LI class="uiUfiComment comment_518851 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/rwebangira Bernard Rwebangira ni za kuwafukuza chaman au kuwaomba wajitoe au kuwapongeza? na ni kina nani hasa? all I can see your still beating about the bush, we don't know who are they, i think thats the missing link here mkuu. Masaa 2 yaliyopita · ·
Mtu 1Felix Mafuru Zephrine amependezwa na hii.
<LI class="uiUfiComment comment_518852 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100000500786047 John Ibrahim Nape CDM hutaja majina hawamumunyi maneno, wewe unarushwa mawe hovyo halengwi mtu. Na Mukama ndiye aliyesema hafukuzwi mtu sasa wewe na Mukama nani bosi wa mwenzeke? Masaa 2 yaliyopita · ·
Mtu 1Inapakiwa...
<LI class="uiUfiComment comment_518855 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/Dr.higash Robert Lyimo Aibu kwao! Nani? Aibu kwenu mnaolazimisha kuaminiwa wkt hamtekelezi mnachosema, acha ufundi wa maneno! Hamuwez kuwatoa mafisadi na hili liko wazi. Na wala sitapoteza muda kufuatilia kauli zako mana huna ishu ya maana. Masaa 2 yaliyopita · ·
watu 2Inapakiwa...
<LI class="uiUfiComment comment_518857 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100001477608436 Mh Said Sambala Nape. . UNAWEZA KUWADANGANYA WATU KWA WAKATI FULANI LAKINI KAMWE HUWEZI KUWADANGANYA MDA WOTE. . SEMA KWELI BARUA ZIMETOLEWA HAZIJATOLEWA. . . Tumechoka na maigizo. . . Masaa 2 yaliyopita · ·
watu 2Watu Watu 2 wamependezwa na hii.
<LI class="uiUfiComment comment_518858 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100001477608436 Mh Said Sambala Nape. . UNAWEZA KUWADANGANYA WATU KWA WAKATI FULANI LAKINI KAMWE HUWEZI KUWADANGANYA MDA WOTE. . SEMA KWELI BARUA ZIMETOLEWA HAZIJATOLEWA. . . Tumechoka na maigizo. . . Masaa 2 yaliyopita · ·
watu 4Watu Watu 4 wamependezwa na hii.
<LI class="uiUfiComment comment_518862 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100001477608436 Mh Said Sambala ‎@Lyomo hata mimi nakuunga mkono kaka tena ni zaidi ya Commeds. . . Itafika pahala watu watamchoka NAPE na asisubir kuchokwa. . . Na sisi VIJANA WENZAKE. . . Ambao tulimwamini. . kama saa moja iliyopita · ·
watu 2Inapakiwa...
<LI class="uiUfiComment comment_518865 ufiItem ufiItem">
Husna Kidesu good,good,good!@NAPE kama saa moja iliyopita ·
<LI class="uiUfiComment comment_518867 ufiItem ufiItem">
Adolph Milunga Tatizo la Bw. Nape huwa ha-comment hoja aliyoianzisha, hii inamaanisha sote sisi ni vikaragosi, hamjambo vikaragosi wenzangu? kama saa moja iliyopita · ·
watu 2Watu Watu 2 wamependezwa na hii.
<LI class="uiUfiComment comment_518868 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100000461712228 Wilkntony Peter Huyu nape ajivue gamba, mana nape ni joka la kibisa kama saa moja iliyopita · ·
Mtu 1Inapakiwa...
<LI class="uiUfiComment comment_518871 ufiItem ufiItem">
http://www.facebook.com/profile.php?id=100002137134131 Abdul Rusaku Omary ni vema utujuze ni barua za nn,kwani inaweza kuwa ni barua za kuwaomba msamaha na si vngnevyo.mmewapa akina