USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Nakubaliana na dr.kashilila ktk hii, wale kina vicky kamata na wenzake wanazingua!
 
Hii Hoja muiangalie kwa umakini...uwepo wa Viti Maalum pamoja na udhaifu wake, ndio umeipa Chadema Haki ya Kuitwa Chama wenye wabunge wa Upinzani wengi kule Bungeni...Wakiondolewa hawa...Chadema watakosa Haki hio.

May be kwa katiba Mpya na Uchaguzi wa 2015.....
 
Itakuwa pigo kubwa kwa Chadema mpaka sasa watakuwa wamepoteza wabunge wao 25 wa viti maalumu, ni pigo kwa ruzuku na maandamano kwa ujumla
 
Wao wanasema wanaweza sasa huo umaalumu unatoka wapi??hawa ni kuwaondoa tu maana hawana tija yeyote na ni mzigo mkubwa sana kwa taifa na kwanza wa nini??
 
Itakuwa pigo kubwa kwa Chadema mpaka sasa watakuwa wamepoteza wabunge wao 25 wa viti maalumu, ni pigo kwa ruzuku na maandamano kwa ujumla

ccm wana wabunge wangapi viti maalumu na tena ndio wapiga makofi wakubwa hata kwa hoja zisizo na mashiko bora imetoka chamani kwa kifupi wanadumaza maendeleo.
watoke waviti maalumu chadema ni hakika wanaweza kurudi mjengoni kupitia majimbo.
back to the topic NATIONAL INTREST FIST hakuna mambo ya chama hapa bana
 
MBUNGE KUWAKANGA VITI MAALUMU SOON, HII NI JANA ALIPOKUWA KWENYE MJADALA WA KATIBA MPYA

Mbunge wa Ziwani (CUF) na hoja binafsi
Katikati ya mjadala huo Mbunge wa Jimbo la Ziwani, Mohamed Zuberi Ngwali (CUF), alisema umefika wakati wa kujadili fedha za umma na hata nafasi ya wabunge wa viti maalumu, ambao hawana kazi kubwa kuliko wabunge wa majimbo.

Alisema katika kuhakikisha anasimamia fedha za umma yupo mbioni kuwasilisha hoja binafsi bungeni, kwani wabunge hao hawafanyi kazi kubwa zaidi ya kununua hereni za dhahabu na magauni wawapo bungeni.

“Nitawasilisha hoja binafsi ili kuhoji nafasi na kazi za wabunge wa Viti Maalumu bungeni … sisi tupo wawakilishi wa majimbo tuliochanguliwa wao wana kazi gani?” alisema na kuhoji mbunge huyo.
 
Wakuu, mini naona pamoja na posho za wabunge kupunguzwa. Pia Viti Maalumu na Vile vya kuteuliwa na Rais vingefutwa. Mimi sioni mantiki ya kuingizia taifa hasara ya mamilion ya hela. Wote wapitie majimboni. Kama vyama vina sera za kuongeza idadi ya wanawake bungeni basi wawateue kwenye kura zao za maoni na kuwapeleka wapambane na vyama vingine. Hata ufisadi wa kupitishana majina utapungua hapo

Nawasilisha Hoja
 
hiyo ni janja ya kulundika wabunge tu mjengoni, wanamuwakilisha nani hao, waende wakapigane majimboni huko watu wakubali kuwapa dhamana ya kuwa wasemaji wao sio kupewapewa tu, wanaongeza matumizi buree.
 
Kuna mbunge kasema last week kuwa wabunge wa viti maalum kazi yao kubadili magauni na kushindana kupaka wanja!
 
Hii ni sahihi, sasa hivi umeibuka mtindo kwamba huyu ni kupitia ngo, mara kupitia wanawake, n.k. Kwa kweli viti maalum hawana kazi na wanaongoza kwa utovu wa maadili ya kitanzania. Tumeshuhudia wengine wakivaa vikuku, nusu uchi, kujilemba kama wanakwenda kujiuza na hata michango yao ni hafifu. Hapa labda nakubaliana na wale wanaoteuliwa na rais kwa kuwa baadhi yao wanawezakuwa na special knowledge kama vile huyu mhe. Wa sayansi na teknolojia.
 
Mkuu hao wengi wao huwa ni wabunge wa magamba, ndio kazi yao hao!
 
by the boss :Bunge lijalo ni full skendo za ngono...
Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........

Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....

Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......

I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........

Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku
........

Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......

Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....

Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........

Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????


Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni

wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????


I am more than dissapointed na hii nchi..........

Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????​
 
Komba inaonyesha analala kila siku. Yeye anadhani picha hiyo ni juzi au jana? hiyo picha yake watu wanayo kwenye kwenye maktaba zao siku nyingi. Aibu kwa wawakilishi wa aina hiyo. Halafu ndio hao wanasisitiza kulipwa SITTING ALLOWANCE, huo si ni wehu kabisa.
 
komba anakula kuku wa 2 na hali mbaka ayaone mapaja ma 4 ni family friend wetu so namjua in and out anakunywa mizinga ya konyagi miwili hadi mitatu, na akitaka kuongea bungeni lazima apige simu kwake "jamani niangalieni" akimaliza kuongea anampigia mtoto wake eti "nimeuza sura eeh" ana matusi mfano hakuna hamna kitu hapo, bichwa maji kwa hiyo kulala wala sikushangaa!!!** bado ku pyuku tu kaushuzi
 
Jamani Bunge ni mahali pa kupiga story kwa wabunge viti maalum!!?

WanaJF leo saa 2 usiku kwenye taarifa ya habari TBC1 nimeshangazwa na Mbunge mmoja viti maalum alipokua shuhuda wa tukio la Mbunge wa viti maalum aliyeugua ghafla bungeni mapema leo asbh!!! Shuhuda huyo alipoulizwa akadai walikua wamekaa karibu mule bungeni wakawa wanaongea mambo yao ya nyumbani ghafla mwenzie akaishiwa nguvu na kuanguka!!

Wakati tukio hili linatokea ilikua ndani ya bunge na kikao kinaendelea lkn waheshimiwa hawa walikua wanaendelea na mambo yao tena ya nyumbani kwao mpaka ugonjwa ulivyowaumbua!!! Swali langu ni kwamba ina maana wabunge viti maalum hasa wa Chama Cha Magamba (CCM) hawana mchango wowote bungeni!?
 
270073_10150245147449589_841309588_7058007_6092276_n.jpg
 
Back
Top Bottom