USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

aliyeanzisha swala la viti maalum bungeni sijui alikuwa na lengo gani hasa, maana wengi wao hawachangii chochote zaidi ya kupiga makofi na kutoa uroda kwa mabosi wao

kipindi wanaanzisha dodoma hakukuwa na totoz , sasa zipo wafute tu wakatafute mitaani
 
- Dada Regia umenifurahisha sana my Friend, I mean hujamuona Mzee Ndesamburo bungeni! ha! ha! ha! ha! Hujaona watoto na wake za Viongozi wa chama chako bungeni au na wewe umerithi siasa za makengeza? ha! ha! ha! Sikutegemea unaweza kwenda this low anyways kwenye Demokrasia wote huwa wanasikilizwa including hii hoja yako! ha! ha! pole sana na karibu sana!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

ila hiyo ya wabunge kuoana wapige ban, bunge linakuwa la kulegezeana macho badala ya hoja za kujenga taifa, kama wakiingia bungeni sio wanandoa wasubuli mpaka wamalize na tusisikia kuna mbunge ana jiiba kwa mwingine
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

That is too low.
The way unavyo uliza maswali bungeni unavyobandika mabandiko yako hapa jf inaonyesha thinking capacity yako ni ndogo sana dada yangu.
Umeambiwa mara nyingi hapa jf chunga kauli zako.
Na hii ndio aina ya wabunge maalum vilaza mlio jazana bungeni na kulikosti taifa huku mkirudisha hisani kwa kufanywa viburudisho kwa walio wateueni kuwa wabunge.
Shame on u
 
Siyo suala la viti maalum tu, hata pia hawa mawaziri na idadi ya wizara.

Tanzania rais anajichagulia tu namba ya izara anazotaka kuwapa wenzake bila kuwa na utaratibu maalum. Mawaziri pia kuna haja ya kutokuwa wabunge kwa wakati mmoja ili kuepuka conflict of interest
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
Afadhali uli walk out, huna hoja.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Katika hao Vimada kuwa bungeni ni asilimia 0.001 ya nguvu za kiuchumi kuliwa na hao Wabunge wa kuteuliwa

Tatizo kubwa ni Nguvu za Uchumi kumilikiwa na asilimia 1% ya wananchi, hao ndio wanaiongoza serikali yetu haijali watu wangapi hawana kazi, magonjwa mangapi yanaidhuru nchi na Watu wangapi wanafia barabarani kwa ajali.

Baada ya Azimio La Zanzibar 1990 Njia kuu za Uchumi zimebadilisha Mkono;

Nyerere alitupa Jembe na tulikuwa na Ardhi Bure; Baada ya hilo Azimio waliokuwa na Uwezo wamejilimbikizia zaidi hawajali wananchi wadogo hata kidogo... Gap kati ya waliyo navyo na wasio navyo imeongezeka.

Sasa hivi ni Aibu ukipita Mijini hakuna Usawa hata kidogo; Rais wetu hazungumzii hayo yeye muda wote ni kupata safari na kuongea yasioneemesha Nchi...

Kwangu Mimi Ubaya Sio hao Wabunge wa Viti Maalum walikuwepo toka zamani ni kwanini sasa mnaona wao ni kero? Kero ni Siasa za Chama Tawala na kutupa Jembe na Ardhi za wanyonge na kujilimbikizia Matumboni Mwao na Watoto wao...

Watoto wote wa Mawaziri na Viongozi wa Serikali Tawala Wanaishi Nje ya Nchi hawajui na kujali nchi yao ila Matumbo yao na Wazazi wao
 
viti maalum mie naona vina faida kwa wachache na tungeweza kupunguza hadi kufikia viti 10 tu nchi mzima... pia tungehitaji mid term review ya performance ya wabunge

wengine ni zero kabisa

Unaposema vian faida kwa wachache unakusudia nini?
 
Uko sahihi sana mkuu, na nadhani ndio ugonvi ulioko kati ya CDM na CCM/serikali. kwani Rais ana madaraka makubwa mno, na kama serikali ina kataa ushoga basi ikatae na hili la Viti maalum maana sioni wanafanya nini mfano mbunre kama Mch. Rwakatare anasign tu posho na haieleweki anamwakilisha nani.

badala yakwe tunakuwa na wabunge wengi wasio wawakilishi wa wananchi wanamwakilisha mtu bisafsi, waziri fulania au Rais. Huu ni upumbavu usiokubalika.

rwakatare ni viti maalum au aliteuliwa na rais katika nafasi ya viti 10 anavyoteua rais. Navyo ni viti maalum au viti hisani?
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Regia mawazo yako hanishangazi sana kwani haya ndiyo matunda ya kuwa mbunge wa kuteuliwa wengi wenu ni maduwanzi na wafinyu wa mawazo;hii yote ni kwasababu hamuawajibiki kwa wananchi, suala na nani amuoe nani hilo halihusu katiba kama wabunge wa jinsia tofauti wamependana ni vyema waoane ili wawe mfano kwa jamii, wabunge wetu wanapokuwa bungeni ni kama vile wapo kwenye picnic kwani wameweka starehe na zinaa mbele; juu ya muda wa kuwa mbunge hilo tuachiwe wananchi wenyewe, ingekuwa ni bora kama katiba itazingatia viwango vya elimu kwa wabunge wetu; madaraka ya raisi kuteuwa wakuu wa mikoa na wilaya yaondolewe, hawa wapigiwe kura kama wabunge, katiba inatugusa wananchi wote bila kujali itikadi za vyama, mabadiliko yasifanywe na bunge hili kwani wabunge tulionao hawawakilishi mawazo yetu inabidi tuletewe tuyapigie kura, hakuna haja kuharakisha mabadiliko ambayo hayawagusi watanzania.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
regia... This is absolutely disgusting, especially coming from you...its a piece of shit, we have high hopes for u but not this one at all. Ungejibu hoja kwa hoja mf. Ya mfumo dume, baadhi wabunge useless wa kuchaguliwa kama mteketa, rushwa, wizi wa kura, mfumo wa uchaguzi nk.

Kwa hili ni bora uombe radhi tu... No way out!!

I AM SAYING THIS BECAUSE I KNOW YOU HAVE A CAPACITY TO BUILD UP HOJA NA KUJIELEZA, DONT GET CARRIED AWAY COZ ITANIHUZUNISHA SANA

mtm in alberta
 
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!

- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.

Much Respect People!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Bill,

Heshima mbele.......lugha mkuu!......kwani hata wale waliochaguliwa na wananchi pia wanaweza kuwa vimada.......au?
 
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!

- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.

Much Respect People!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Hallow Bill....this is definitely true..we need to get rid of this...kuna wabunge wa viti maalum wanamaliza miaka mitano ..hawajapata kufunua midomo...Yao...inanuka tu...Kama Kutakuwa na haja ya kuwa na wabunge wawili wanawake kila mkoa wapigiwe kura kwenye uchaguzi mkuu...
 
Wabunge wa kuteuliwa hamna kitu, hata uchungu wanakuwa hawana kwani ubunge wanakuwa wameupata kwa dezo. Sawasawa na zile degree za heshima.
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Hivi huyu dada CV yake ikoje,kwani mimi simuelewi kabisa!
natazama sana maswali,hoja zake bungeni mimi simulewi kabisa.

Huyu mdau anahoji msingi wa nyie kupewa ubunge kinyeji,CCM,CHADEMA,CUF nk kwamba tutazamae kama ina tija kwa nchi au tuifute kupitia katiba mpya.

Sasa huyu badala ya kujibu hoja yeye ananzisha issue nyingine,Wewe kama mbunge tujulishe umuhimu wa nyie kupewa ubunge mezani,ona mnaitwa vimada wa viongozi,kanusha hili kwa mifano,after that tuanze hoja ya kutazama ubunge kuwa na kikimo.
 
Viti maalum kwa wanawake vifutwe kwa kuwa licha ya sababu nyengine vinadhalilisha wanawake
Ni wanawake wachache sana wana caourage ya kusema ulichokisema. Niko karibu sana na baadhi ya wanaharakati wa haki za wanawake, na huwa wananishtua na kufedhehesha wanapotetea viti vya wanawake. Hawaelewi kabisa nadharia ya kulemazwa na "uharibifu chanya" kama aliouongelea mtumwa Frederick Douglass alipokataa kata kata msaada wa kuokolewa na mtu yule yule anaemzamisha ili ajifunze kusimama wima mwenyewe:

`` Do nothing with us! Your doing with us has already played the mischief with us. Do nothing with us! If the apples will not remain on the tree of their own strength, if they are early ripe and disposed to fall, let them fall! ... And if the negro cannot stand on his own legs, let him fall also. All I ask is, give him a chance to stand on his own legs! Let him alone! Your interference is doing him positive injury.``

Frederick Douglass
 
Mkuu W J Malecela.

Mkuu vipi za siku nyingi,nashukuru umerejea ukumbini.
Nakubalina na hoja kabisa hawa wabunge wa viti maalumu hawana maana sana sana wanatuongezea mzigo walipa kodi.Mku kuna vile viti kumi vya Magogoni yafaa vifutwe sijui wanamwakilisha nani ?,tunahitaji wabunge wa majimbo tu.

- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!

- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.

Much Respect People!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Looks like you have taken it personal!!!!!!!
 
Duh kazi kweli kweli napita tu wakuu.

Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
 
Back
Top Bottom