USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Tuthubutu kwenye mambo kama haya, hela ya maendeleo inatumika kwenye siasa
 
sasa wewe unataka mbunge asiwe waziri ni lazima mbunge awe waziri kwani ndio mifumo mingi ya serikali za duniani kwani tujimwage vya kutosha kwenye kujielezea hisia zetu ila mbunge kuwa waziri ni lazima na wabunge wa viti maalumu nao pia wawepo kwani wanawatetea watu ambao kama walemavu,wakinamama, na nk nakubaliana kwamba Rais aiteue wakuu wa mikoa kama sasa hivi karibia asilimia 80 ya wakuu wa mikoa ni wa kutoka chama ch CCM.
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.


HEHEHEE MHESHIMIWA MBUNGE!
Hii ni kali ya kufungia 2011....are u serious?Ila una point aisee.Kama mbunge anamuoa mbunge mwenzake, imagine huo mshiko double double - kulala - pesa, kukaa - pesa, kusimama - pesa!siyo haki
familia moja kula mipesa yote hiyo.KATIBA MPYA IZINGATIE WAZO LA MHESHIMIWA MTEMA, REGIA.
 
Mods nahasira sana don't delete this post
JK, Bunge, na wadau wengine shinikizeni wabunge wa BUREEE WAFUTWEEEE, mapema mwaka huu yaani
ifikapo June 2012 waondoke hawa, sbb zipo wazi, hatuhitaji diploma, degree or PhD
kujua hili, hawa WABUNGE HEWAAA, ni hasara, mzigo, functionless na ndio wa kwanza kutetea posho,
Imagine wabunge 105 wa bureee, this is pain, JK acha aibu....sema baba sema, tunajua hali ya serikali ni
Ngumu financially, futaaa hawa, sbb hizi hapa:

1: Wana wawakilisha nani?
2: Hawana ofisi, meaning hawana kazi, ndio wanalipwa buree
3: Ni mzigo, hasara, wafuja kodi za wa Tz maskini
4: mbaya zaidi bungeni wanaongeza LIST YA KULALA, hawana mchango wowote
na hii inachangiwa na KIWANGO KIDOGO CHA ELIMU, most of them
ni std 7, Fm4 failures, hawana changamoto of anykind, wafuteeeni
I can call them PARASITES, wanatufilisi...
5: Undugu, vimwana/nyumba ndogo, wamejaaa, kazi kujaaa masaluni tuuu, shuleless
plsee Jk hali no ngumu kwa serikali na wananchi, na KATIBA MPYA ITAJE HAKUNA VITI MAALUM, hivi umaalum wake ni niniiiiiiiiiiiiii...... i am sick of these unknown MPs....
Mungu tusaidie, Yesu namba yako ya simu or email, facebook account, twitter hujatuachia,
maana tuna sali daily hutujibu, JK akishindwa hadi June 2012, Yesu WAFUTEEE HAWA WANYONYAJI
i am out.....
 
Mkuu punguza hasira lol..

Hivi hawa UNKNOWN MPs wanadai POSHOOO? Nikisikia mbunge wa Viti visivyo julikana na uhakika
naweza to open a case to accuse them, this is sin, 105, 105, 105, 105, 105,
105, 105, nitarudi hili until Death, 105 wabunge hewaaa, why? Wanafanyaga nini?
Ukimuuliza mbunge hewa nitajie kazi zako hana jibu, kazi kwenda saloooooniiiiiiii
nisuportiniiiiiii......
 
Mkuu punguza hasira lol..

Hivi hawa UNKNOWN MPs wanadai POSHOOO? Nikisikia mbunge wa Viti visivyo julikana na uhakika
naweza to open a case to accuse them, this is sin, 105, 105, 105, 105, 105,
105, 105, nitarudi hili until Death, 105 wabunge hewaaa, why? Wanafanyaga nini?
Ukimuuliza mbunge hewa nitajie kazi zako hana jibu, kazi kwenda saloooooniiiiiiii
nisuportiniiiiiii......
 
Natoa wito wa kufuta viti vyote maalumu vya wabunge, wabunge wa kuteuliwa na Raisi, kupunguza majimbo ya uchaguzi mpaka yabaki 100 au 150. Kwa kufanya hivyo tutaokoa billioni za shilingi na kuimarisha huduma za jamii na mishahara na watumishi muhimu kataika kujenga taifa kama Huduma za afya elimu, na engineering.

Tufute takukuru na tuimarishe usalama wa taifa na CID ili viweze kufanya kazi za Takukuru kwani takukuru haina faida kwa taifa.
Tufumue TRA kwani imekuwa chanzo cha umasikini wetu kwa kushindwa kukusanya mapato.
tufute NECTA kwani imeshindwa kusimamia, kutunga, kusambaza na kulinda mitihani yetu.
Hayo ni baadhi ya maeneo yanayotakiwa kuwafanyiwa kazi ili kujenga taifa la ukweli.

Chief Mkwawa wa Kalenga.
 
Hakuna vya bureee nowadays, watokeeeee nq nitasema hadi kiziwi ataelewa, hatuwatakiii, watokeeeee, i am confident ni HASARA HAWA, wtf....
 
Kwani hawa wapo kikatiba? Maana wamejazana watu wanajaza ukumbi wa bunge tu. Kazi yao kuunga mkono kila hoja inayoletwa mbele yao. Ni mzigo mkubwa hawa watu wa viti maalumu na hawana wanalosaidia.
 
viburudisho vya wazee,nyumba ndogo za waheshimiwa,......hawana lolote hao zaidi kula posho na kuongeza sauti katika kiitikio cha 'WANAFIKI waseme ndiyo' ndiyoooooooooo!
 
Mr President yaani kama vile upo kwenye akili yangu,mimi mwenyewe huwa najiuliza hivi viti maalum maana yake nini?huo umaalum wao unatokana na nini?Hv wasipokuwepo wanapunguza kitu gani?Jamani tuliwasilishe hili pia kwenye Katiba mpya hawa pia ni mafisadi!Hata marehemu (jembe langu) Chacha Wangwe alishawahi kuwaongelea hawa wapiga vigelegele bungeni!Yaani hovyo kabisa!Aaaaaaggghhh!!!

Nawasilisha!!
 
Rais angeokoa mabilioni ya fedha na kusaidia sekta muhimu
iwapo angepeleka hoja kupitia Waziri wa Sera, bunge na uratibu quickly
kuwaondoa hawa, ni wengi sana, then wakibaki wabunge wa majimbo pekee hata wakilipana
posho ni AHUENI KWANI WATABAKI KAMA 230 hivi wabunge halali, kwani viti maalum SIO WABUNGE HALALI HATA KIDOGO, NI HATARI HAWA, God help Jk awe mkali hapa, Ooohh...God let JK read
this....& act....
 
huu ni ujinga mtupu na kweli nadhani kuna umuhimu tuandamane siku moja tuanzie mnara wa uhuru hadi ofiis wa bunge ya dar na tupeleke malalamiko yetu kwmab baada ya uchaguzi wa 2015 wasichaguliwe tena hawa wabunge wa viti vya upendeleo ,
hili jina la UPENDELEO tuu linajieleza ,
 
Naibu spaekar wa Bunge la JMT mr Ndugai amesema kuwa ubunge ni uwakilishi wa wananchi, lakini viti maalum ni vya upendeleo, katiba mpya inabidi ilimulike hili, kwa kuwa linakinzana na maana halisi ya Ubunge/Uwakilishi

ITV

My take;

Hivi viti havina tija,vifutwe
 
huyu naye mjinga, ni kweli kwamba hajui umuhimu wake kwa sasa, hata kama utekelezaji wake ndo wa kijinga?
 
Back
Top Bottom