Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Ishi au Jenga mbali kabisa na maeneo yao. Ni ushauri wa bure kabisa kulingana na uzoefu wangu nikiishi huko hivyo ukiamua kudharau usije jilaumu
Ugomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na pangaTusanue, wanauana au ?
Ishi au Jenga mbali kabisa na maeneo yao. Ni ushauri wa bure kabisa kulingana na uzoefu wangu nikiishi huko hivyo ukiamua kudharau usije jilaumu
Kama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Lete Maneno......Naunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
😁😂♻️Palestina hao
Nimekumbuka mbali sana maji ya chai sabato daah,,Kama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.
Hizo ni dhana za kizamani kwa sababu makabila kama ya wanyaturu walikuwa wanatafuta kazi za kulima na kukata majani ya ng'ombe na ni watu wanaopenda ushirikina.
Hii iliwafanya wameru waone watu wa makabila mengine kama ni watu maskini wenye mila za kijima, ila muda unavyoenda, wasukuma, wahaya na makabila mengine yanaweza na kuoana na wameru na mambo yanaenda fresh.
Pia kama wewe ni mwanaume ofisa wa jeshi, wameru wanapenda sana jeshi na kupata mke easy tu.
Kuna mchaga alishinda uenyekiti wa serikali za mitaa ule wa mchongo kipindi Cha Jiwe.Wameru walimfanyia figisu mpaka alitolewa kwenye hiyo nafasi akawekwa Meru🤔Kama pesa ya kula ipo, dharau zitoke wapi? Mimi mluguru mix mmeru kwa mama na mbona napangisha wameru fresh tu maji ya chai sabato.
Hizo ni dhana za kizamani kwa sababu makabila kama ya wanyaturu walikuwa wanatafuta kazi za kulima na kukata majani ya ng'ombe na ni watu wanaopenda ushirikina.
Hii iliwafanya wameru waone watu wa makabila mengine kama ni watu maskini wenye mila za kijima, ila muda unavyoenda, wasukuma, wahaya na makabila mengine yanaweza na kuoana na wameru na mambo yanaenda fresh.
Pia kama wewe ni mwanaume ofisa wa jeshi, wameru wanapenda sana jeshi na kupata mke easy tu.
Wameru bado wanakata/toa KASEJA GOLINI aka ANTENNA?Ishi au Jenga mbali kabisa na maeneo yao. Ni ushauri wa bure kabisa kulingana na uzoefu wangu nikiishi huko hivyo ukiamua kudharau usije jilaumu
akinisubiria kwa panga mimi si nakuja na bunduki, au?Ugomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na panga
Vitisho vipi, kuna kitisho gani hapo.Acha vitisho Wewe!
Kabla ya hapo Mwenyekiti yule wa chadema ni mmeru?Kuna mchaga alishinda uenyekiti wa serikali za mitaa ule wa mchongo kipindi Cha Jiwe.Wameru walimfanyia figisu mpaka alitolewa kwenye hiyo nafasi akawekwa Meru🤔