hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Jamaa wa GADI TV analeta matukio mengi ya wameru
hahaha.. Momela?..mbona watu wenye heshima sana.Dharau zinakuja kulingana na tabia za makabila mengine walizonazo...kuna mila za kimeru ambazo ni nzuri sana kwa kijana wa kiume na wakike jinsi wanatakiwa wawe sasa ukiwnda wewe umetoka pwani unachekecheka, na huna msimamo lazima wakuchukulie kwa dharauNaunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Kwani huko kwenu hakuna wanawake wakuoa nyumbu nyieIshi au Jenga mbali kabisa na maeneo yao. Ni ushauri wa bure kabisa kulingana na uzoefu wangu nikiishi huko hivyo ukiamua kudharau usije jilaumu
Oa kwenu Mzee au hakuna wanawakeTusanue, wanauana au ?
Hata Israel hawependi kuoa mataifa mengineNaunga mkono hoja.Hao watu ni wabaguzi na Wana roho mbaya sana dhidi ya makabila mengine.Mimi naishi,Mtaa wa Chemchen,Imbaseny,Maji ya chai ,Arumeru,Arusha🤔
Bunduki utoe wapi wewe nyumbu?akinisubiria kwa panga mimi si nakuja na bunduki, au?
Halafu pisi za kimeru hazina AntenaIshi au Jenga mbali kabisa na maeneo yao. Ni ushauri wa bure kabisa kulingana na uzoefu wangu nikiishi huko hivyo ukiamua kudharau usije jilaumu
Ndio ,hawajawahi weka Kiongozi yeyote wa kuja.Vinginevyo hawatoi michango ya maendeleo au hawafanyi kazi za kujitolea!Ninazo Barua za serikali za mitaa Isingekuwa issue ya kimaadili ningeweka hapa iliouone majina ya hao wenyeviti!Kabla ya hapo Mwenyekiti yule wa chadema ni mmeru?
Wewe bila shaka utakuwa mmoja wa wamachame waliyefukuzwa kwa tuhuma za uchawi na Mangi wa wamamchame huko uchagani wakakimbilia kandokando ya mlima Meru a.k.a Mmeru🤔Hata Israel hawependi kuoa mataifa mengine
Hawataki kuchanganya damu na wapumbavu kama nyie
Ukweli kabisa .wana visasi visivyoishaUgomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na panga
Mosha ni Mmeru?Ndio ,hawajawahi weka Kiongozi yeyote wa kuja.Vinginevyo hawatoi michango ya maendeleo au hawafanyi kazi za kujitolea!Ninazo Barua za serikali za mitaa Isingekuwa issue ya kimaadili ningeweka hapa iliouone majina ya hao wenyeviti!
Unaweza fananisha vijiji vya Meru na vya Rufiji au Kaliua au Dodoma au Mugumu, Newala, Lindi, Geita, bariadi?Ugomvi wa Mmeru hauishi.Ni wabishi Mha weka kando
Mnakumbuka mgogoro wa kanisa KKKT ulivyotikisa Meru enzi za mzee Kaaya rip?
Mnamkumbuka mzee Japhet Kirilo alikwenda UNO kudai uhuru wa ardhi ya Wameru?
Kuna mtu aliniambiaga hili kabila wana laana enzi za mkoloni waliua wamisionari walikuja eneza dini.
Sina uhakika na hilo Wameru msinichukie
😂😂😂😂😂 nakubaliiii.Palestina hao
Mbona naogopaa sasa, Lol.Ugomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na panga
Mambo ya zamani hayo ninyi msidanganyane aisee nipo Arusha zaidi ya miaka 15 nilianza kuishi Ngurelo kule juu kwao kabisa walikua wanashangaa natoa gari waende kwenye shughuli zao iwe msiba au harusi bure nilipota eneo sehemu ingine walisikitika sana sisi kuhama walijaribu kumitafutia eneo ili nibaki nilikataa tu jamaa ukiishi nao vizuri wapo poa sana..Ugomvi wa mmeru huwa hauishi, atakutafuta wewe ataenda shambani kwako atafyeka mazao yako, atasimama barabarani kukusubiria na panga